VICTOR Profile Banner
VICTOR Profile
VICTOR

@blackboyvictor

Followers
4,878
Following
834
Media
14,820
Statuses
145,861

roadman

Booth
Joined February 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Kwani toka umezaliwa ushawahi kumuona babako anasafishwa kucha?
51
25
594
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Watoto wako wanafanyia wapi commedy tuwaone?
@JotiOfficial
Joti
1 year
Mtoto wa mfanyabiashara akiwa mfanyabiashara, hakuna shida, ila mtoto wa kiongozi akiwa kiongozi tunaona kuna shida.
577
88
2K
127
47
491
@blackboyvictor
VICTOR
7 days
Topic tunazoziweza sisi 1. Simba Vs medali za kafu 2. Diamond Vs Kiba 3. Sex tape ya bongo movie imevuja 4. Subaru na Crown ipi inakimbia sana 5. Challenge za wasanii mitandaoni Mambo ya msingi kama haki za raia utasikia “mimi sipendi siasa”, “wanapinga kila kitu” waseng nyie!
56
136
499
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Alisema amejenga kwao nyumba 4, kwanini asirudi home tu..?
14
10
432
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Ben akiwa anaandika list ya vinywaji alivotumwa
Tweet media one
36
6
343
@blackboyvictor
VICTOR
4 months
Kuna ile picha wako wamevaa nguo za ma rubani, mwenye nayo afanye mpango 😅😅😅
28
17
344
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Bamia + bilinganya ule na chapati? Married niggaz mnapitishwa njia ngumu sana! 😂😂😂
25
8
331
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Dem kama umeolewa acha kuTweet/ Status “si mtoto wa mtu aninunulie sijui nini nini…” unakua ka unajiuza flan!
30
33
332
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
😂😂😂😂
Tweet media one
68
10
307
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Hahaa jamaa alikua anatumia fursa ya kumfundisha social media marketing kikajaa!
21
3
296
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Tatizo na nyie kila mwaka mnaenda, lazima muone mambo yaleyale mue mnapumzika mtafeel the difference!
19
7
287
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Kuna a learned brother nae hua pick me sana!
13
7
286
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
UVCCM wana Jokate, Kenani, Victoria Charles, Jerry Slaa halafu BAVICHA wana Pambalu, Hilda, Simon miwani, Mdude! Hahaa fumueni hiyo Bavicha…
25
12
270
@blackboyvictor
VICTOR
11 months
Ile piano la Ali siku inatoka niliona kama ya kawaida 😅😅, ila ndio ngoma nairudia sana kwenye playlist zangu!
25
13
274
@blackboyvictor
VICTOR
7 months
Yule doc kanogewa kinoma na zile confessions, nahisi alipania sana kupata engagement!
69
11
267
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Unauza iPhone unakosa dem wewe ni domo zege tu! Pumzika
@bohny_chengula
Boniface Chengula
1 year
Kuna one of my very good friend (female) aliniambia yani boni wewe unahitaji like 3 years of building yourself financially ndio uanze kupambana na haya mambo ya mahusiano, moyoni nilisema lakini kweli. ila kajuaje? Wanawake wananusa future zetu na akikwambia wewe kweli ingia
165
59
677
126
44
264
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Tukiwa kwenye Prado letu tunakula kipupwe!
Tweet media one
45
5
255
@blackboyvictor
VICTOR
3 years
MnaTweet unyamwezi ila mnaongea kiLugha lugha 😂😂
20
7
238
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Ki mwenyekiti chetu kiDictator kisenge 😂😂😂
7
5
235
@blackboyvictor
VICTOR
4 months
Hao watu kama unaona ni wachache wabadili kua familia yako halafu tupe budget ya chakula kwa siku!
@georgerugambwa
George Rugambwa
4 months
Kilele cha maandamano ya CHADEMA Mwanza leo. Mbowe ndani, Slaa ndani, Lissu ndani, wote walikuwepo. Hawa ndo walisema leo Mwanza itasimama 😁😁😁😁 Mungu nifundishe kunyamaza mimi.
Tweet media one
92
16
142
50
37
227
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Hii kazi hua haizungumzwi sana ila uhakika!
33
5
220
@blackboyvictor
VICTOR
8 days
We jamaa toka najiun twitter unapush reli, kama hujajenga nyumba na huna gari nitashangaa sana!
@ManenoIzaak
Handsome La Kijiji
8 days
Suala la ukabila halifai, Nyerere was right
116
35
136
86
20
216
@blackboyvictor
VICTOR
4 years
Heshima na pongezi kwa @zittokabwe , katika vijana waliofanikiwa (Late youth) wewe ni mfano mkubwa sana, @ACTwazalendo ya leo sio sawa na miaka mitano iliyopita, historia yako katika nchii haitafutika... hongera sana
10
12
204
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Kwahiyo sasa leo saa 4 usiku tusiangalie UEFA tuje kuuliza maswali space!?
Tweet media one
36
8
206
@blackboyvictor
VICTOR
9 days
Club za Ulaya hua zinakuja na list moja ya wachezaji zinazoachana nao, achaneni na hizi drama za kila kukicha, weka list moja kausheni!
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 days
Maboresho ndani ya timu yanaendelea. Kaa karibu na Simba App leo saa 7:00 Mchana. #NguvuMoja #WenyeNchi
Tweet media one
121
68
2K
75
11
212
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Fidovato anaimba amapiano, tukisema Arusha hamna wagum mnaanza kutuona haters
Tweet media one
33
6
210
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
“Na ubishoo wote unaitwa Cosmas” 😂😂
22
11
205
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Sema kwa hii picha ulitakiwa usome sana shem!
@amina_hafidh
mimilicious🌹🍒
2 years
Naumiss huu mwili haki😂😂
Tweet media one
314
56
1K
83
9
199
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Toxic kamnunulia jezi Funjo na Funjo kamnunulia Toxic
Tweet media one
19
2
192
@blackboyvictor
VICTOR
4 months
Hahaa sasa mbona humlipii ada ya kusomea uongozi??
@ItsKamala
Kamala Dickson
4 months
This generation! Girlfriend tu unaona mzigo? We unaweza kuwaongoza watanzania M63? Ukiwalipa mshahara si utatangaza kwenye TV “unamuona yule namlipa hela nyingi” Support kwa girlfriend inakufanya uyabebe Majukumu na uwe humble
44
11
89
75
26
201
@blackboyvictor
VICTOR
3 years
Mbona hata App yako ina bigger issue kuliko Wawa na tumekausha... App ina stack sana ile...
60
19
192
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
“Leo nakupa attention” humu bwana…
Tweet media one
35
7
187
@blackboyvictor
VICTOR
2 months
Suala la radio yenu kukosa mvuto nalo mnalizungumzia lini?
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 months
#VIDEO Wakati @ChademaTz bado wanaendelea na maandamano, mjadala ndani ya #SupaBreakfast ni kuhusu maandamo hayo kuonekana tofauti na wakati yanaanza ambapo @kissadaniel2 na @exaudwamtei wanasema yamekosa mvuto. #EastAfricaTV
251
11
157
33
35
193
@blackboyvictor
VICTOR
4 months
Watu pekee mnatakiwa mtuamini ni sisi tunaoingia humu bila kutegemea hela kutoka mtandaoni!
13
39
193
@blackboyvictor
VICTOR
7 months
Muziki nao ni kama bahati, huyu Darasa huwa hatumii nguvu hata kidogo ila anapokelewa vizuri 😅
22
15
183
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Unawajua wale jamaa wakiwa na birthday wanakutumia picha uwapost?? Ndio uto sasa kwa Laliga
14
11
165
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Wife wa mwenyekiti akiwa anapika ugali wa timu
Tweet media one
20
8
169
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Future tweet “Pigeni kelele me naingiza hela”
Tweet media one
20
3
166
@blackboyvictor
VICTOR
4 months
Sema me hua naona bora useme tu kwamba mimi natiana kwa bei fulani, hizi harakati sijui za kuhudumiwa hata Rais mwenyewe kashindwa kutuhudumia sisi ndio tutaweza kuwahudumia!
22
31
173
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Think about a sales personnel wa bank vile they struggle kumfungulisha account mtu, bank company they sometimes introduce account ambazo hazina makato jus to reach everyone… sasa leo mtu wa marketing ataenda na sound gani kwa mteja aeleweke!? Hahaa
10
19
154
@blackboyvictor
VICTOR
8 months
😆😆😆😆😆😆😆😆😆hapa alikua anacheka kwa swaga? 😆😆😆😆😆😆😆😆ila bongo kumamaeee
@iboysean
Sean
8 months
41
9
117
68
8
160
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Unakuta Funjo kaikataa ile hashtag kisa kutunza respect anakuta wahuni wake walomDiss last time wanaruka nayo
Tweet media one
16
6
157
@blackboyvictor
VICTOR
6 years
Hivi hili swala la TID kusemwa anaishi kwa mama'ke (kwao) ni la kwel?? Maana naona km ameota kipara kabsa
19
4
141
@blackboyvictor
VICTOR
8 months
So nyie wenye mnategemea twitter kutoka kimaisha tutegemee kuwaona Forbes na Mo Dewji mkishidana utajiri?
@rollymsouth
Madenge
8 months
Endeleeni kuichukulia mitandao poa poa,team negativity mnajijua uzuri mtazidi choma bando tu watu wanaenda.
120
147
3K
15
14
153
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Unamualika futar mlevi, muda wote anaRT porno aisee
9
3
143
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Tweet media one
Tweet media two
27
10
146
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Sema humu namo hapaeleweki, ile agenda yenu ya kutokuponda biashara ya “vijana wenzenu” iliishia wapi? Au inategemea na kijana mwenyewe kama yupo kwenye circle yenu?
9
14
146
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Sherehe gani wewe acha kujipa umuhimu, ulikua unaTweet usenge thinkin you gonna be on top kila siku... tuliza matako.
@mpambazi
C H A M P
2 years
Fikiria kuna watu wamefanya sherehe kusikia eti sina mtaji ila waambieni siwachukii. Chuki haijengi tupendane na kusameheana kwa makosa tuliokosea hapo nyuma. "Mungu nae anahukumu mwisho wa maisha yetu" sio kwa kosa la jana na leo kwakua kuna kutubu na kujirudi.🙏 #CHAMPsoap 🔥🔥
198
28
686
23
16
144
@blackboyvictor
VICTOR
26 days
Waumini wenzio umetufungia Dm, fungua Dm kwa jina la yesu! 🙏🙏
@phinna88
Sara🥰
26 days
Happy sabbath ❤️🥰😇
Tweet media one
65
31
998
61
7
144
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Fresh flower bundle zinauzwa Tsh. 3.5K humu bei ni 30K! 😅😅😅
18
0
135
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Madem mnaotoaga mwili maofisini ili mpate favor mnaziharibu sana ofisi…
13
12
136
@blackboyvictor
VICTOR
5 years
Mpaka saiv wasanii wote wanafanya show play back, mic mbili (za kushare) bado unasema ni tamasha kubwa kuzid Fiesta?
@SuphianJuma
Suphian Juma Nkuwi
5 years
#WasafiFestival is bigger than Fiesta. Stage, Artists noma aisee....vibe kama lote. Respect to Fiesta thou! Any #TOT uliopo reply, tell the location nikufuate tupeane Cheers... Nasherekea @ACTwazalendo yangu na Upinzani kwa ujumla kujivua Uchafuzi wa Uchaguzi wa Magufuli.
28
18
191
33
10
124
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Smh!
Tweet media one
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
We ni moja ya watu huwa wanapandisha sana sukari wakipigwa spana, control maneno yako, usije anza mambo ya kutishiana sheria sijui mahakamani!
22
6
51
83
14
134
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Kitu ninachokijua huwezi kuta mtu mwenye gari (kwa nguvu zake) ana diss gari ya mtu hata ka ni Passo! Hahaa
@FatmahShokat
Chaurembo 🇹🇿
1 year
Mi nikiwa na Funguo Kama Hii sisemi kama namiliki Ndinga 😂
18
2
80
30
17
129
@blackboyvictor
VICTOR
6 months
Tatizo umaarufu na hela za haraka bila shule hua hazidumu, na bahati nzuri watu wote waliokosa shule hua wanajipimia kwa walioenda shule so yeah, hua wanadiss ila wanakubali kwamba shule muhimu 😅😅
@GoodluckMeth0d
ManLikeG⚓️
6 months
Jamaa anawaandama sana wasomi 😂
10
15
100
25
20
130
@blackboyvictor
VICTOR
4 years
Kafirane tu mzee hivi vingine achana navyo
@im__Pavlos
🌴FamboJr🌴
4 years
Hata hao waliopita wanaweza leta maendeleo pia. Tumekazania tu upande flani upite Ila hata hao pia wangeweza zingua. Kusema ni rahisi kuliko Kutimiza Ahadi ya Maneno yako.
15
3
43
22
11
125
@blackboyvictor
VICTOR
8 months
Mkishakua na circle yenu ya watu kadhaa, mkapata namba ya msanii mmoja wa bongo fleva na mchezaji mmoja wa Yanga/ Simba kwenye circle baasi the tunaobaki sisi ndio viande hahaa!
19
17
129
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Vijana nyie ambao hata dem akikukataa unaonesha kitambulisho? Acha wazee watuwakilishe hapo Ikulu!
@venant_clement
C L E M E N T 🦁🏷️
1 year
Leo nimeingiwa unyonge baada ya kuona picha hii ya Wasaidizi wa Ofisi ya Rais, nimeangalia mara Kadhaa sijapata kuona sura ya kijana, Hii ni ishara njema kuwa Vijana tuna kazi ya kufanya kuaminisha Mamlaka kuwa tunaweza. Mie naamini kuna vijana wanaweza sana kumsaidia Rais.
Tweet media one
135
60
804
24
9
128
@blackboyvictor
VICTOR
6 months
Ni sawa na Bihemo aseme anafanya kazi wizara ya fedha!
@TerazziJr
Roger_Zanzibar
6 months
Kwani ukipewa ishu ya matangazo ndiyo brand ambassador😁😁😁
6
3
24
37
6
129
@blackboyvictor
VICTOR
5 years
Ila zitto🤣🤣🤣
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
Polisi jijini Dar es Salaam, leo wamemsaka Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ZITTO KABWE kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama hicho kutokana na sababu ambazo hazijajulikana, lakini hawakufanikiwa kumpata. #KwanzaHabari
7
24
165
11
6
118
@blackboyvictor
VICTOR
4 months
Hahaa madem wengi wanaojifanya bright humu hua jau, sasa lile group la kungwi ukiwaangalia kama smart kumbe ndio jau kabisa
11
7
129
@blackboyvictor
VICTOR
8 months
Hujawahi kula taarabu halafu manzi ako anauliza mtandaoni kama mnakulaga taarabu!
Tweet media one
28
13
126
@blackboyvictor
VICTOR
3 months
Si uliolewa mkuu, mwana kaona ujuaji mwingi kasepa?
@20qnana
Malkia
3 months
Siamini Ramadhan inamaliza sijapata abaya, ndo mara ya kwanza kuwa single bila zawadi🥲
17
5
52
50
11
126
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Hivi yule Brenda mzuri mzuri hua anauza accessories za simu yupo?
21
1
124
@blackboyvictor
VICTOR
4 months
Ile mikato kama ya Lema ndio inatakiwa kwa wapush reli za kiwaki, mikausho mikali kama toy kmmk!
10
12
124
@blackboyvictor
VICTOR
5 years
Sema u-Model kwa wanaume hua hauSound vizur basi tu
8
5
111
@blackboyvictor
VICTOR
7 months
Jabir pekee inawezekana ndio hua anawahoji wasanii kwa nidhamu!
@earadiofm
EastAfricaRadio
7 months
#BURUDANI Ni Heshima ya #PlanetBongo na msanii wa BongoFleva 20%. Amefunguka madai ya taarifa za kuhitaji msaada wa pesa na kuwa na hali mbaya kiuchumi. #PlanetBongo #HeshimaYaBongoFleva
38
24
354
26
16
121
@blackboyvictor
VICTOR
1 month
Tweet media one
Tweet media two
48
6
121
@blackboyvictor
VICTOR
5 years
Unasema wewe ni mzalendo wa nchi?? Kuna huyo mwana anaitwa Mgalah wa mbeya alikuja na katiba ya nchi jeshini (JKT) ile tukidoji mwana anaenda piga msuli katiba😂😂😂
9
10
115
@blackboyvictor
VICTOR
3 months
Uwe na Ahmed Ally kama msemaji halafu mko form hahaa uto wangekua na wakati mgumu sana 😅😅
15
5
120
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Kuna hadi cake ya unbeaten? 😂😂😂 aisee dirisha dogo Simba waweke hela ya usajili bila hivo tutateseka sana!
18
2
119
@blackboyvictor
VICTOR
1 month
Siku hizi kombe la shirikisho sio la looser tena, maana ukiloose champions league unarudi kwenu 😅😅😅
4
8
119
@blackboyvictor
VICTOR
16 days
Unashangaa hashtag ya twitter kufungiwa inapushiwa humu humu na tweep 😂
31
10
117
@blackboyvictor
VICTOR
9 months
Fabrizio mwenyewe anapost wachezaji na logo za jezi zao, wewe mchambuzi wa wachafu fm ndio unajua branding kuliko mchizi? 😅😅
11
8
113
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Kaolewa, pumzika!
@gift_macha
Gift Macha
2 years
Mwalimu wa Darasani... Halafu pia Mwalimu wa kwenye TV.. Nakukubali sana @JoyceMwalimu ..
Tweet media one
50
24
1K
32
4
111
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Page ya Simba wala haijaleta mipasho kwa matokeo ya uto ila wangekua wao mipasho kibao 😂😂
18
6
109
@blackboyvictor
VICTOR
1 month
Hii clip ya Gardiola tuipate wazee 😆😆😆😆
20
0
111
@blackboyvictor
VICTOR
5 years
Data Management and general computer skills, Leadership skills na connection skills😁😁
@MarekaMalili
Lubasha Jr
5 years
Nina swali lingine wakubwa. Je kwa nyakati hizi za ukuaji wa Teknologia ni ujuzi gani Graduates wanatakiwa kuwa nao kabla hawajaingia soko la ajira na ujasiriamali? @ILO_EASTAFRICA #UjuziEndelevuKwaVijana
38
31
108
6
8
105
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
@DigitalMigrant1 😆😆😆😆😆kuna ile ya kupeana mikono, after corona hakuna kupeana mikono mlume na mwaka sijatimba ikafika muda wa kupeana mikono naona watu wanainama mi natoa mkono kumpa mwana akanikacha kw akuinama oyaa 😂😂😂
16
6
106
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Kwamba unatoka zako home kwenda kumchagua mtu uliyeambiwa na mwenyekiti ukamchague, sio kusikiliza hoja za mgombea!
5
4
103
@blackboyvictor
VICTOR
7 months
Ile ni salary slip au nini ile? App ya UN?
15
3
107
@blackboyvictor
VICTOR
4 years
Wengine tunajibiwa “awww” 😂😂😂
@rollymsouth
Madenge
4 years
Nimemwambia tena mtoto wa mtu i miss u kanijibu "mmmh"...
112
21
1K
7
2
101
@blackboyvictor
VICTOR
3 months
“Wala sivurugi ndoa yako Judy”
19
11
107
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Una puss kali
@NajjatOmar
Odo
1 year
Tweet media one
26
2
125
35
4
100
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Chelsea ni timu kubwa, sina wasiwasi, tunashinda hii!
20
1
99
@blackboyvictor
VICTOR
5 years
Mwenye ofisi yake anahitaji wafanya kazi ampe ajira mke wa huyu jamaa akili yake itulie
@nikkwapili
Nikkwapili
5 years
Ninavyo mwelewa rais JPM 1. Ana dira ya kujenga uchumi wa kitaifa mtaji wa ndani na kujitegemea 2. Uwajibikaji ni msingi wa uzalishaji 3.bila ulinzi wa rasilimali/ambazo ndio mtaji Biashara yetu ya maendeleo itakufa 4. Miundo mbinu ni dada wa uchumi 5. JPM is bold 💪
323
78
857
9
9
96
@blackboyvictor
VICTOR
9 months
Shekh “Masjid twitter” kumbe alimmind Ambwene 😅😅
22
4
102
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
“Mama maggie amka umnyonyeshe mtoto basi najua sio jukumu lako pambo langu”
Tweet media one
@MarekaMalili Unafeli nana Maggie! Unafeli! Ukiangalia kama kwa dini ya Kiislam, Mke kazi yake ni kukuzalia watoto tu! Yaani hata kumyonyesha mtoto mume inabidi umbembeleze!
45
5
68
31
8
97
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Kwa wote mlioRT ile tweet
Tweet media one
29
6
100
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Suala la Tale halina utetezi, mtu hata kuongea tu hawezi…
13
2
98
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Alivosema “my beautiful lodge” alimanisha yake au ambayo amelala?
Tweet media one
26
5
96
@blackboyvictor
VICTOR
1 year
Sema mambo ya faragha ni ya faragha tu, zile chatting zinachekesha aisee 😂😂
17
8
98
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Shem tunakupika wiki nzima, shift yangu me ni kesho!
37
9
92
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Date?
@funjojr
𝐌𝐀𝐑𝐋𝐄𝐘
2 years
Fitna kaka, sisi ni manigga poa tu.
Tweet media one
13
4
306
38
3
93
@blackboyvictor
VICTOR
2 months
Jeshi la polisi lenyewe halitaki dem mwenye mtoto, wewe unaexcuse gani sasa?
@tanpol
Police Force TZ
2 months
#AjiraPolisi Fani Zinazotakiwa kwa kila Ngazi ya Elimu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
144
286
2K
36
20
94
@blackboyvictor
VICTOR
7 months
Huyu Wakili Mpoki hua sio mtu wa media sana ila hua namskia zaidi kwenye utetezi wa haki za watu, Mungu ampe umri mrefu!
2
18
91
@blackboyvictor
VICTOR
1 month
Haya huyo dem anakulaga ugali daily ananuka kisamaki ni nani?
12
4
90
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Oya Dr. kumbuka @funjojr piga kazi
4
0
84
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Tweet media one
@20qnana
Malkia
2 years
Nshashiba ila kuosha hivi vyombo nlolia ndo shughuli. Dear future husband nateseka 🥲
15
1
40
54
5
86
@blackboyvictor
VICTOR
2 years
Kubadili oil ya gearbox fundi anatakiwa apewe bei gani? (Kasafisha hadi chekecho)
15
5
85