Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
@zittokabwe
Followers
2M
Following
8K
Media
10K
Statuses
170K
Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Mwandiga-Kigoma/Dar es Salaam
Joined March 2010
Demokrasia ni gharama. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni msingi muhimu wa #DemokrasiaYetu. Tunakuomba utushike mkono ili tuweze kufika kila mahala kuwanadi wagombea wa @ACTwazalendo . Naomba TUCHANGIE
13
23
143
Kesho Saa Nne asubuhi nikiwa na Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Taifa Maalim @SeifSharifHamad tutaungana na Viongozi Wakuu wa @ChademaTz akiwemo @freemanmbowetz na @TunduALissu kuzungumza na Waandishi wa Habari. Tutakuwa Makao Makuu ya CHADEMA.
419
602
5K
Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumwua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? @MagufuliJP SIKUOGOPI aslani.
645
396
5K
Ewe Mwanachama, mfuasi na mpenzi wa Chama cha @ACTwazalendo kura ya Urais wa Jamhuri ya Muungano ni kwa Tundu Lissu @TunduALissu . Huu ni wakati wa Mabadiliko. Tusigawe kura zetu wapinzani. Mimi nitampigia kura Tundu Lissu awe Rais wangu.
295
732
5K
Tundu Lissu, karibu nyumbani. Umati uliokupokea ni ishara ya mapenzi makubwa kwako na shukrani kwa Mola. Sisi Viongozi wa @ACTwazalendo na wenzako wa @ChademaTz tunahikikisha tutakuwa na ushirikiano madhubuti ili kuleta MABADILIKO. Kurejea kwako ni chachu. Ni Furaha kubwa kwetu.
98
257
4K
Siku ya 3 mfululizo naingia naingia ofisini nikiwa nimevaa Jezi ya @SimbaSCTanzania na ndio siku ambazo ufanisi kazini umekuwa mkubwa kuliko wakati wowote ule. Huu Uzi ni hatareeeeeeeeee
215
188
4K
Polisi walivamia Ofisi za @ACTwazalendo Kata ya Vingunguti ili kutukamata Mimi na Viongozi wenzangu. Nawashukuru Wananchi na Wanachama wetu waliozuia nisikamatwe. Ni maandamano ya AMANI yasiyo kikomo hivyo tutaendelea kuandamana mpaka madai yetu ya msingi yatekelezwe.
193
312
4K
Simba Sports Club, a symbol of unity,.Bringing fans together, creating a community. Through victories and defeats, they stand tall,.Their passion for the game, never to fall. @SimbaSCTanzania
139
157
4K
I have received the sad news of the death of President Mkapa, President of Tanzania 1995-2005. It is a big loss to Tanzanians. My condolences to the family, relatives and all Tanzanians. #RIPMzeeMkapa
123
402
3K
Nashukuru sana bado kuna Watanzania wenye kujali weledi ( professionalism ) kama huyu. Anajibu bila woga na kwa ufasaha mpaka Amiri Jeshi Mkuu anakosa maswali wala mifano ya kujenga hoja zake. Natumai Rais @MagufuliJP atakuwa amejifunza kusikiliza wataalamu
587
360
3K
Nimezungumza kwa Simu na Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama @SuluhuSamia kumpa pole ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania @MagufuliJP kufuatia Taarifa Rasmi ya msiba huo kwa Taifa.
100
210
3K
Naibu Katibu Mkuu wa Chama @ACTwazalendo ndg. Nassor Mazrui AMETEKWA na wanaosemekana kuwa Vijana wa Jeshi la JKU Zanzibar asubuhi ya Leo. Nazitaka Mamlaka za Zanzibar kumwachilia mara moja Mazrui. Huu ni uchokozi uliovuka mpaka.
113
365
3K
Nilivyomwelewa Rais @SuluhuSamia leo . 1.Tumalize Miradi yote ya kimkakati inayoendelea.2.Tuimarishe Taasisi za utoaji Haki kwa Wananchi na Wawekezaji .3.Tujielekeze kukuza uchumi wa Mwananchi mmoja mmoja kwa kuongeza mzunguko wa Fedha .Basi Rais asiongee tena Mwaka mzima!.
185
290
3K
Polisi Lindi, tunajua mnachomfanya Dkt. Mmoto Mgombea Ubunge wa Upinzani Jimbo la Nachingwea. Mnampa makosa ya Ugaidi na mnamtesa. RPC Lindi acheni kabisa huu unyama mnaoufanya. Tanzania inaona, Dunia inaona. RC Lindi Bwana Zambi tunakuongeza katika orodha ya ICC. @MariaSTsehai.
135
306
3K
#Zambia President @EdgarCLungu has conceded in a letter sent to now president elect @HHichilema of @UPNDZM. Once again Zambia has shown the world the level of its democratic maturity. Peaceful transfer of power is happening for third time in history. Congratulations Zambians.
90
604
3K
Mimi nipo tayari kuwa shahidi wa mapambano ya kutaka demokrasia Tanzania. Kesho 2/11/2020 nitaandamana kwa Amani kutaka.⁃Uchaguzi Mpya .⁃Tume Huru ya Uchaguzi .⁃Kulaani mauaji ya raia, utekaji wa Nassor Mazrui na wengine na uvamizi wa kijeshi Zanzibar .#Nitaandamana.
244
362
3K
Tunasikia kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) haitateua baadhi ya wagombea kutoka Vyama vya Upinzani katika nafasi ya Urais na Ubunge kwa sababu mbalimbali za kubumba. Namtahadharisha Jaji Kaijage asikubali kuhalalisha mpango huo dhalimu vinginevyo HAPATAKUWA na UCHAGUZI #Umma.
272
279
3K
Ninatamani kufanya Mdahalo na Rais @MagufuliJP kuhusu hali ya Maendeleo ya Nchi yetu kwa kutumia takwimu zinazotolewa na Mamlaka za Serikali yake mwenyewe. Nadhani Watanzania wanastahili mdahalo huo wakati wa Uchaguzi 2020.
404
185
3K
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol unawezaje kukubali Kituo cha Polisi kutumika na genge la watekaji? Unajisikiaje raia ambaye anapaswa kujiona salama kituoni akiteswa kutoka kituoni? Unawezaje kukubali Jeshi hili? Kamanda Wambura nakuomba 1) Ufanyike uchunguzi HURU wa kina.
#Video Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay. Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya
486
817
3K
Mimi ni Mbunge wa Kigoma Mjini. Nipo Dar es Salaam. Sijakwenda Dodoma Bungeni Kwa sababu ninaamini kuwa Bunge lilipaswa kuahirishwa ili kupambana na Korona. Sitakwenda Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam hana Mamlaka yeyote ya kuniamulia niwe wapi katika Jamhuri ya Muungano.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo May 06 ametoa Saa 24 kwa Wabunge wote waliogoma kushiriki vikao vya Bunge na kwenda DSM kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo watakamatwa kwa kosa la Uzururaji.
485
263
3K
Yes Mr. President. A bit louder please from the top of Mount Kilimanjaro so that whole of Africa hears @HHichilema @Chipokota @FirstZambian @monicamusonda
186
1K
3K
Shambulio dhidi ya @freemanmbowetz Mwenyekiti wa @ChademaTz linashtusha na kukasirisha. Natoa pole kwa familia ya Mbowe, wanachama wa CHADEMA na Watanzania. Vyombo vya uchunguzi vinapaswa kufanya uchunguzi wa kina dhidi ya matukio ya kinyama kama haya.
175
218
3K
Rais @MagufuliJP kakusanya marais wastaafu huko Chamwino. Nimetazama picha wote hawajavaa Barakoa. Wote 3 ni watu wazima sana walio hatarini mno kuathiriwa na Korona. Juzi Rais @jmkikwete alikuwa na Barakoa, Leo kaiacha. Mkapa pia. Mzee Mwinyi ( @Dullahmwinyi1 ??? ) pia. SIO SAWA.
574
132
3K