Clouds Media
@CloudsMediaLive
Followers
2M
Following
9K
Media
40K
Statuses
80K
A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
88.5 FM Dar es salaam
Joined June 2015
“Kama leo mkipiga Yope aliyonishirikisha Innoss’B nahisi itawainua watanzania wote waliolala majumbani kutokana na janga hili la Corona” @diamondplatnumz #BongeLaMpambanaji
791
283
5K
Mfanyabiashara kutoka Kariakoo amefunguka ya moyoni na kusema hatamani kumrithisha mtoto wake biashara ila anatamani aingie TRA maana huko ukiingia unajichotea. #KutokaKariakoo
196
542
3K
Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na familia ya TOT kwa msiba wa @BaloziMtaa. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahala pema peponi. Michango kwa ajili ya kusafirisha mwili kwenda kupumzishwa makazi yake ya milele inapokelewa kupitia +255753651307 jina PASCHAL SAMWEL RUTHA.
248
571
3K
HiliGame | @shaffihdauda1 - "Upande wa pili mimi naangalia why ? linaenda mbali sana , sikutegemea kama lingefika huko CAS ni jambo ambalo linazungumzika , unajua tunavyokwenda mbele tunasahau chimbuko ". "Chimbuko ni pale ambapo kuna Klabu ilimtamanisha .na yeye akajaa
150
72
3K
Hamisi Mwinjuma almaarufu @MwanaFA kupeperusha bendera ya CCM jimbo la Muheza #Uchaguzi2020
83
117
3K
Clouds Media Group inatoa pole kwa familia ya mwanamjengo @geoffiejeff kwa kuondokewa na Mama yake mzazi. Mwenyezi Mungu ampatie subira katika kipindi hiki kigumu. #BongeLaMpambanaji
219
107
3K
SportsXtra | @Caamil8 - "Niweke sawa kulikuwa na kombe linaitwa CAF CuP kombe hilo ndio wenzetu walifika Fainali , kulikuwa na shindano lingine linaitwa CAF Winners Cup (Kombe la Washindi) mashindano haya yaliunganishwa mwaka 2004 yakatengeneza CAF Confederation Cup hili ni
219
119
3K
"Yanga ana unbeaten 47, kwenye hizo unbeaten 47 amekutana na Simba mara tatu ameshinda moja sare mbili,lakini pia amempiga Simba FA nusu fainali, kampiga back to back ngao ya jamii"- @FKihamu
99
92
2K
Madaktari wetu wapo vitani kwasasa! Je upo tayari kukatwa robo ya mshahara wako kwa ajili ya kuwapa motisha wahudumu wa afya katika kipindi hiki cha mkipuko wa ugonjwa huu wa Covid19. #LeoTenaCloudsFm
600
94
2K
“Nafsi yangu ilitamani kwenda kuchezea Yanga, nilikubali kwenda kuichezea Yanga kwa kipato kidogo zaidi ya kile ambacho nilikikataa Simba SC, ni kwasababu ya mapenzi tu" -Feisal Salum @IamFeisalSalum LIVE muda huu kwenye #PowerBreakfast ya CloudsFM
106
78
2K
SportsXtra | @amrikiembatz . “Namna Azam ilivyosajiliwa kwenye karatasi ilionekana Azam hii ni Azam ya tofauti sana na kila wakati kwenye usajili Azam inaonekana mpya , lakini kwenye mchezo unaiona tofauti ya Yanga na Azam , Azam wao walipania lakini Yanga walionesha wao wana
34
55
2K
Billionaire Laizer ni baba wa watoto 30, mume wa wanawake 4, elimu yake ni darasa la 7. Anasikika LIVE kwenye Amplifaya ya CloudsFM muda huu kwenye exclusive interview na @millardayo
103
107
2K
SportsXtra | @amrikiembatz . “Watu wote wameanza kusema ametokea ndio amedaka lakini makipa huwa wanatoka na wanafungwa ,sheria inasema akitoka ukafunga ni goli kwa hiyo Ally Salim kutokea na kudaka anapaswa kusifiwa”. “Ile sio mara ya kwanza kudaka penati alisave penati mechi ya
45
57
2K
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Petro Magoti Itozya kuwa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe. Kabla ya uteuzi alikuwa, Bwana Itozya alikuwa Msaidizi wa Rais, Siasa. #CloudsDigitalUpdates
113
70
2K
“Mimi nimetokea kwenye familia ya kimasikini, mimi nasaidia familia yangu, ili mambo yaende ni lazima mimi nifanye kazi, Baba yangu anaumwa na mimi ndio nasimamia matibabu, yeye mwenyewe hapendi hili sakata liendelee kwasababu kuna mambo yanakwama” -🗣️ @IamFeisalSalum
113
143
2K
“Ukizungumza na mwananchi wa kawaida anamkumbuka Mzee Mkapa atakwambia kwamba aliingia soda ilikuwa shilingi 300 na aliondoka ikiwa shilingi 300 na hiyo ndio maana ya kurekebisha uchumi” - Prof Mark Mwandosya #KwaheriMzeeMkapa
71
152
2K
SIMBA DAY | @moodewji . “Ndoto yangu ni kuifanya Simba ishike nafasi ya kwanza Afrika ,tuwe mabingwa wa Afrika na tukipata ubingwa tutakuletea ikulu”. Rais wa heshima wa Klabu ya Simba Mohammed Dewji akizungumza mbele ya Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu
54
43
2K
HiliGame | @amrikiembatz . “Onana akishafungwa ni mpaka mtu akamuinue hata kama alifungwa kawaida yeye anaona amefungisha, bado hayupo sawa kisaikolojia , hamalizi mechi lazima aone kama yeye ndiye amechomesha “
23
44
2K
Mimi ni mzungu, mzaliwa wa Uingereza. Ni Mtanzania kwa kujiandikisha na nimekuwa Mtanzania kwa miaka 40 sasa. Ni mnyamwezi kwa Ubatizo. Nilikuja Tanzania mwaka 1973 hivyo nasherehekea miaka 50 ya kuishi Tanzania" - @MabalaMakengeza - Mwandishi wa Vitabu
82
73
2K
HiliGame | @shaffihdauda_ "CAF Champions League haijaanza mwaka 2000 , imeanza zamani ukiangalia kwenye timu zilizochukua mataji mengi unaikuta AlAhly ina mataji 10 , 1982 ndio wamechukua Kombe lao la Kwanza ". " Hakuna sehemu wanasema TP Mazembe kachukua kombe hili mara mbili
172
73
2K
Baada ya kikao cha masaa 5 - Bernard Membe azungumza juu ya kikao chake na Kamati ya Ndogo ya Maadili ya @ccm_tanzania
141
145
2K
Aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Mwenyekiti wa Professor Jay Foundation (Mwanamuziki) Joseph Haule aka @ProfessorJayTz akiwa na makamu mwenyekiti wa Foundation hiyo @Blackchatta (Black Rhino) wamewasili Bungeni Jijini Dodoma kwa mwaliko maalum wa Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa
5
56
2K
Napenda Watanzania waungane @MutahabaRuge unasisitiza uzalendo na kampeni ya #IshiNaMimi nimeipenda sana. @MagufuliJP #TukoTanga.
130
120
2K
TANZIA: Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast @masoudkipanya amefiwa na baba yake mzazi Mzee Masoud Nyomwa. Msiba uko Kijitonyama na mazishi yanatarajiwa kuwa leo saa kumi jioni. Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.
229
135
2K