Richard Mabala
@MabalaMakengeza
Followers
302K
Following
111K
Media
586
Statuses
63K
Hata ningekuwa Mataga ningevaa nyeupe leo. Tuna Rais bora, maendeleo yasiyowahi kutokea, wananchi wenye furaha, wapinzani hohehahe. Tumwogope nani? Waje tu kushindana na sis. Tume huru itathibitisha #77Nyeupe
154
233
2K
#povertyporn .ngoja nitoe mfano. Mwanangu alipolazwa Muhimbili miaka 25 uliopita, kila Ijumaa alikuja Mwislamu fulani kwenye wodi. Kila Ijumaa akasoma dua na kuzunguka kutoa 5000 kwa kila mgonjwa kisha kutoweka. Nilipouliza ni nani nikaambiwa Bakhresa no kamera, no kujitangaza.
81
272
1K
Kweli mtihani wa kwanza tumefaulu vizuri sana. Tafakuri ya leo: Kumbe Jeshi la Polisi likitumia busara katika kulinda amani lina nguvu zaidi maradufu kuliko likitumia nguvu. Asante @UpoleTu kwa wazo hilo.
47
105
1K
Tukiwa na tume huru, Tutalala na kuamka salama na kujenga taifa kwa nguvu zaidi na zaidi 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 @MariaSTsehai
37
71
1K
yes yes yes yes yes . naam naam naam naam naam.👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊.
"Ukiniuliza mimi, honest opinion Nchi yetu haiwezi kuzungumza Kiingereza, hivyo tunahitaji kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha, tusipokuwa na mjadala huu, hatufiki popote kwani language of instruction is everything" - LISSU.#MillardAyoUPDATES
51
73
1K