![Tundu Antiphas Lissu Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1330928965742104578/FKYvgrTK.jpg)
Tundu Antiphas Lissu
@TunduALissu
Followers
810K
Following
2K
Media
571
Statuses
2K
Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | Survivor
Tanzania
Joined March 2019
Here’s concrete evidence of ballot tampering orchestrated by NEC @TumeUchaguziTZ in favor of CCM. We urgently call for mass democratic action in retaliation to this shameless election fraud in TZ 🇹🇿! @robertamsterdam @WatchTanzania @hrw @amnesty @StateDRL. #SasaBasi #NguvuYaUmma.
Citizens in action! #Tanzania .Citizens have confiscated bag full of filled ballots (all voting for CCM) outside the polling station. Interestingly the police officer assisted the citizens in this heroic act.No free and fair elections - plain rigging!.#TanzaniaDecides2020
355
878
4K
It's now official: I'll be kissing Tanzanian soil once again on Wed. 25 Jan., 2023, at 13:35 hrs local time. I'll arrive aboard Ethiopian Airlines #ET805 from Addis Ababa. With the lifting of the illegal ban on political activity, it's now time to return home & get back to work!.
516
834
6K
Tumewasili Ukerewe kwa mtumbwi wenye injini. Magufuli na CCM yake wanatapatapa, wanafikiri kwa kuzuia kivuko wanamzuia #TunduLissu2020 ila wanaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi wenzetu wa #Ukerewe na #Kisorya. Retweet 🔁 tuwaambie tuna jambo letu tarehe 28 Oktoba!. #ChaguaLissu
288
3K
5K
Leo, Jumatatu, Juni 8, 2020 nimetangaza nia rasmi ya kugombea Urais wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Nawaomba Watanzania wenzangu mniunge mkono kwenye safari hii. #Tanzania
500
443
5K
Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi, hakuna mabomu wala risasi za kutuzuia!! Hatutishwi!. #SasaBasi.
342
639
5K
Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake na usafiri huu. Naelekea Kariakoo. #TunduLissu2020 #NiYeye2020 #NguvuYaUmma
317
650
5K
Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania 🇹🇿! Calling on the incumbent President John Magufuli for a public presidential debate!. Retweet 🔁 kama unakubaliana nami!!. #TunduLissu2020 #SasaBasi
622
2K
5K
Asanteni sana #Moshi kwa kujitokeza kwa kimbunga! Twendeni pamoja mpaka tarehe 28 ya mwezi huu. Tukapige kura ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Retweet 🔁 kama unaungana na wananchi wa Moshi! . #SasaBasi #ChaguaLissu #ChaguaCHADEMA #NiYeye2020 #NguvuYaUmma #TunduLissu2020
261
2K
5K
Nimepata heshima kubwa ya kushiriki mkutano wa leo na Sheikh @PondaIssa , kiongozi wa kidini ambaye siku zote amesimamia haki, na imemgharimu vikubwa. Alikuja kuniona #Nairobi baada ya shambulio dhidi yangu na yaliyomkuta baada ya kurejea #Tanzania nyote mnayajua. #ChaguaLissu
164
697
5K
Kuelekea siku za mwisho za ratiba ya kampeni, napenda kutoa shukurani za dhati kwa wote waliotuunga mkono, na kuomba mchango wenu uendelee ili tumalize kwa kimbunga kile kile. Retweet 🔁 tufikishe ujumbe huu kwa wote wanaojali haki. #ChaguaLissu #ChaguaCHADEMA #NiYeye2020
257
3K
5K
Masaa 7 ya kukabiliana na kizuizi cha Polisi, tumebarikiwa na uwepo wa Baba Askofu Emmaus Mwamakula ambaye amejitokeza katika nyakati hizi ngumu kuwa mmoja wa viongozi jasiri wa kiroho katika nchi yetu. Sasa nasi tumempata Desmond Tutu wetu. #SasaBasi #NguvuYaUmma #ChaguaLissu
198
540
4K
#Tanga pia wapo tayari kuondoa serikali hii ya kidhalimu. Asanteni sana Tanga. Twende tukapige kura ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu!. #SasaBasi #ChaguaLissu #ChaguaCHADEMA #NiYeye2020 #TunduLissu2020 #NguvuYaUmma
195
740
4K
Nani mwenye akili timamu hapa nchini, anayeweza kusema kuwa @TumeUchaguziTZ haipendelei CCM? Nani mwenye akili timamu anayeweza kusema kuwa Jeshi la Polisi halipendelei CCM? Mnaimba ‘Amani, Amani!’ wakati mmetukanyaga shingoni!! Msitubabaishe!!. #SasaBasi #ChaguaLissu #NiYeye2020
263
533
4K
Wito kwa Watanzania wote:- mwezi ujao, tarehe 28 Oktoba, twendeni tukaondoe manyanyaso ya miaka mitano ya huyu anayejiita ‘Rais wa Wanyonge’!! . Tanzania 🇹🇿 sio taifa la ‘Wanyonge’!!. #SasaBasi #ChaguaLissu #TunduLissu2020 #NiYeye2020
371
645
4K
Rai kwa Mgombea wa CCM John Magufuli:- kwenye kampeni kuna kushangiliwa na kuzomewa. Naomba hao wananchi ulioamuru wakamatwe, uagize watu wako wawaachie! Kwa sababu nitakuja Kagera, na usipowakomboa, nitawakomboa baada ya 28 Oktoba 2020!! . #SasaBasi #TunduLissu2020 #Niyeye2020
317
462
4K
Leo nimepanda @DARTMwendokasi kwa mara ya kwanza kuelekea soko la Kariakoo Shimoni na kufanya manunuzi ya mchele, matunda na viungo mbalimbali vya chakula. Nimefurahi kukutana na wafanyabiashara wenye shughuli mbalimbali za kiuchumi. Nao wamefurahi kuonana nami. #TunduLissu2020
207
428
4K
The deed is done!!! We’re officially nominated as Presidential and Vice-presidential candidates. Now we face anyone wishing to object to our presidential run! #NguvuYaUmma #NiYeye2020 #TunduLissu2020 #SasaBasi
286
468
4K
Vitambulisho havina jina, wala picha, wala anuani ya anayetambulishwa nacho?! Vitambulisho vinavyouzwa Sh. Elfu 20, tena bila risiti??! Na tunadanganywa vitatumika kupata mikopo benki? Wanafikiri Watanzania ni washamba? . Tunasema #SasaBasi #ChaguaLissu #ChaguaCHADEMA #NiYeye2020
213
695
4K
Asanteni sana #Karatu ya @ParessoCecilia ✌🏾! Twendeni kwenye Uchaguzi kwa kimbunga kama hiki!. #ChaguaLissu #SasaBasi #TunduLissu2020 #NiYeye2020 #NguvuYaUmma
151
493
4K
It's now official: I'll be kissing Tanzanian soil once again on Wed. 25 Jan., 2023, at 13:35 hrs local time. I'll arrive aboard Ethiopian Airlines #ET805 from Addis Ababa. With the lifting of the illegal ban on political activity, it's now time to return home & get back to work!
290
533
4K
Mbeya nimewavulia kofia kwa heshima! Hii iwe onyo kwa yeyote anayefikiri kwamba anaweza kuiba Uchaguzi Mkuu huu! . #SasaBasi #NguvuYaUmma #TunduLissu2020 #NiYeye2020
249
356
4K
Siku ya Wazee Duniani:- Ilani yetu inazungumzia kwa kirefu juu ya maslahi ya wazee, lakini kwa kifupi, tunapendekeza utaratibu wa wazee kuishi maisha ya heshima, kupata mafao stahiki na huduma bora za kijamii kama afya. Nawatakia kila la kheri katika siku yao hii. #ChaguaLissu
77
357
3K
Ni heshima kubwa kuungana na Mh. @SeifSharifHamad @ACTwazalendo kutafuta Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Kwa miaka yote ya Muungano siasa za #Zanzibar zimeamuliwa Dar es Salaam. Tarehe 28 tukapige kura ya kurudisha haki za Wazanzibari. #SasaBasi #ChaguaLissu #ChaguaCHADEMA
101
446
3K
Sauti ya Umma ni sauti ya Mungu! Sauti ya hapa #Katoro #Geita na sauti ya Watanzania hazitaweza kupingwa. Tukapige kura kwa kimbunga ili kila mtu apate haki nchini! Hawatathubutu kuharibu Uchaguzi huu. Wataishia The Hague!!. #SasaBasi #ChaguaLissu #NiYeye2020 #TunduLissu2020
307
508
3K
Hapa ni #Runzewe kata ya #Uyovu, tukiwa tunaelekea kwenye mkutano wetu wa mwisho kwa siku ya leo. CHATO!. #SasaBasi #ChaguaCHADEMA #ChaguaLissu #NiYeye2020 #TunduLissu2020
161
569
3K
Asanteni sana #Moshi! Nitarudi tena kwa ajili ya mkutano rasmi. Kwa leo, pokeeni salamu zangu za dhati. Kwa pamoja tutashinda Uchaguzi Mkuu huu kwa kimbunga!. #SasaBasi #ChaguaLissu #TunduLissu2020 #NiYeye2020 #NguvuYaUmma
251
540
3K
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha #Kisorya kwa ajili ya msafara wetu kwenda #Ukerewe. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba! Haturudi nyuma! #ChaguaLissu
239
638
3K
Kuanzia kesho tutafanya maandamano ya amani nchi nzima, kuweka msimamo wetu kwa Tume ya Uchaguzi kurudisha wagombea wetu wote wa vyama vya upinzani walioenguliwa kwa sababu hizi za hovyo, tena kuwarudisha bila masharti yoyote! . #SasaBasi #NguvuYaUmma #NiYeye2020 #TunduLissu2020
275
301
3K
Maelekezo ya kupiga kura ya Urais kwa Tundu Lissu @ChademaTz. Nachukua fursa hii kuhimiza Watanzania tujitokeze kwa wingi tarehe 28 Oktoba kupiga kura ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Retweet 🔁 tusambaze ujumbe huu kote!. #ChaguaLissu #ChaguaCHADEMA #SasaBasi #Niyeye2020
139
1K
3K