Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
@TumeUchaguziTZ
Followers
39K
Following
356
Media
3K
Statuses
5K
Kusimamia na Kuratibu Uendeshaji wa chaguzi kwa mujibu wa Sheria ili kulinda demokrasia kwa manufaa ya wananchi, vyama vya siasa na wagombea.
Dodoma, Tanzania
Joined May 2017
Mgombea mwenza wa CHADEMA, Bw. Salumu Mwalimu akishuhudia zoezi la uhakiki wa fomu za uteuzi za chama hicho. Zoezi hilo linaendelea Ofisi za Tume, Njedengwa, Jijini Dodoma. #uchaguzimkuu2020 .#kurayakosautiyako .#nendaukapigekura.#nendakapigekura.#28oktoba2020
64
57
679
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUTEULIWA WAGOMBEA PEKEE WA UBUNGE KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2020 #uchaguzimkuu2020.#kurayakosautiyako.#nendaukapigekura.#28oktoba2020
469
82
617
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU RUFAA ZA WABUNGE! .#uchaguzimkuu2020.#kurayakosautiyako.#nendaukapigekura.#28oktoba2020
104
83
432
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU PINGAMIZI DHIDI YA WAGOMBEA WA KITI CHA RAIS KWA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 #uchaguzimkuu2020.#kurayakosautiyako.#nendaukapigekura.#28oktoba2020
97
50
390
TAARIFA KWA UMMA!.#uchaguzimkuu2020 .#kurayakosautiyako .#nendaukapigekura.#nendakapigekura.#28oktoba2020
29
32
226
Katibu wa Kamati ya Maadili ya Taifa, Bw. Emmanuel Kawishe akisoma taarifa kwa umma mbele ya Waandishi wa Habari inayofafanua adhabu ya Mgombea wa kiti cha Rais kwa tiketi ya CHADEMA, leo Oktoba 3, 2020 Jijini Dar es Salaam. #uchaguzimkuu2020.#kurayakosautiyako.#nendaukapigekura
90
18
213
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU RUFAA ZA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI! .#uchaguzimkuu2020.#kurayakosautiyako.#nendaukapigekura.#28oktoba2020
56
37
197
WAHUSIKA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA . #Kujiandikishakuwampigakuranimsingiwauchaguzibora
11
21
131
wagombea walioteuliwa kuanza kampeni kesho tarehe 26 Agosti 2020 hadi tarehe 27 Oktoba 2020. Uchaguzi Mkuu utafanyika tarehe 28 Oktoba 2020. #uchaguzimkuu2020 .#kurayakosautiyako .#nendaukapigekura.#nendakapigekura.#28oktoba2020.
2
16
125
Mfano wa karatasi itakayotumika kupigia kura kwa nafasi ya Kiti cha Rais kwenye uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani tarehe 28 Oktoba 2020. #uchaguzimkuu2020.#kurayakosautiyako.#nendaukapigekura.#28oktoba2020
58
25
126
TAARIFA KWA UMMA RUFAA ZA WAGOMBEA UDIWANI!.#uchaguzimkuu2020.#kurayakosautiyako.#nendaukapigekura.#28oktoba2020
33
20
115
Zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linatarajiwa kuzinduliwa tarehe 01 Julai, 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma. #tumehuruyataifayauchaguzi.#uboreshajiwadaftari .#nendakajiandikishe .#kaboreshetaarifazako .#tuwemo
6
5
94
Zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linatarajiwa kufanyika tarehe 01 Julai, 2024 katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma. #tumehuruyataifayauchaguzi.#uboreshajiwadaftari .#nendakajiandikishe .#kaboreshetaarifazako .#tuwemo .#mpigakura
8
11
91
TAARIFA KWA UMMA RUFAA ZA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI!.#uchaguzimkuu2020.#kurayakosautiyako.#nendaukapigekura.#28oktoba2020
27
12
87
Mfano wa Tactile ballot 🗳 folder 📂 (Jalada la nukta nundu) litakalotumiwa na watu wasioona kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani tarehe 28 Oktoba 2020. #uchaguzimkuu2020.#kurayakosautiyako.#nendaukapigekura.#28oktoba2020
19
14
78
KUANZISHA MCHAKATO WA UBORESHAJI MTANDAONI. #Kujiandikishakuwampigakuranimsingiwauchaguzibora
15
15
79
MWALIKO WA WAANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA . #Kujiandikishakuwampigakuranimsingiwauchaguzibora
7
6
76
TAARIFA KWA UMMA RUFAA ZA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI!.#uchaguzimkuu2020.#kurayakosautiyako.#nendaukapigekura.#28oktoba2020
15
11
74
MWALIKO WA TAASISI NA ASASI ZA KIRAIA KUTOA ELIMU WAKATI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA . #Kujiandikishakuwampigakuranimsingiwauchaguzibora
4
9
72