nikkwapili Profile Banner
Nikkwapili Profile
Nikkwapili

@nikkwapili

Followers
671K
Following
313
Statuses
42K

U.R.T Presidents’ Office-District Commissioner Kibaha, Pwani

Tanzania
Joined October 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@nikkwapili
Nikkwapili
2 months
Zawadi unayoweza kuifungua mara nyingi ni kitabu, tusiwanyime watoto zawadi ya kitabu katika msimu huu wa sherehe na zawadi
Tweet media one
260
200
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
1 day
Liverpool 😂😂😂😂😂
0
0
25
@nikkwapili
Nikkwapili
4 days
Mwenye Nyumba amerudi tukutane msimu ujao. Imeisha hiyoo
Tweet media one
44
67
1K
@nikkwapili
Nikkwapili
6 days
Kujitofautisha ni bora kuliko kushindana
7
57
365
@nikkwapili
Nikkwapili
6 days
Matofali na nondo zinazo jenga maisha ya mtu ni maneno yake na matendo yake
6
41
349
@nikkwapili
Nikkwapili
6 days
Usiache kuyahesabu maovu yako kwa maana ndio kipimo cha uzito wa anguko lako
5
26
260
@nikkwapili
Nikkwapili
8 days
Amorin anaweza akatushusha daraja
20
7
139
@nikkwapili
Nikkwapili
9 days
Usipo iaminia kesho hutaweza kubadilika leo
2
35
225
@nikkwapili
Nikkwapili
11 days
Mawazo yakipekee hukujia unapokuwa peke yako, mawazo ya kufanana na wengine hupatikana unapokuwa na wengine
4
29
212
@nikkwapili
Nikkwapili
11 days
RT @ankochoka: NEW AUDIO: Weusi - Bembea [Feat. Tatii] (Official Audio) Cc @JohMakini @nikkwapili @GnakoWarawara
0
4
0
@nikkwapili
Nikkwapili
11 days
RT @SuluhuSamia: Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Sheikh Muhammad Iddi (Abuu Iddi), Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mwinyiamani, Mshau…
0
282
0
@nikkwapili
Nikkwapili
14 days
Manispaa Ya Mji Kibaha- kazi zinaongea 💪💪💪
0
1
10
@nikkwapili
Nikkwapili
14 days
VIWANJA VIWANJA ViPo Pembezoni Kabisa Mwa barabara Mpya ya Lami maarufu kwa Jina La Tamko Mapinga
Tweet media one
16
25
161
@nikkwapili
Nikkwapili
14 days
RT @SuluhuSamia: Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa neema na baraka zake leo ninapotimiza umri wa miaka 65. Sifa njema zote ni…
0
537
0
@nikkwapili
Nikkwapili
14 days
0
129
0
@nikkwapili
Nikkwapili
14 days
Hakuna aijuaye kesho hata mtunzi wa kalenda. Pambania ndoto yako
Tweet media one
32
25
629
@nikkwapili
Nikkwapili
15 days
Upendo wa Mungu na Baraka zake ziendele katika Maisha yako,Tuna Mshukuru Mungu kwa kukujalia siku mpya ya mwaka mpya katika Maisha yako, tuna mwomba akujalie siku nyingine nyingi zilizo njema. Asante kwa Uongozi wako Bora na wa ku- inspire, Happy Birthday Mh Rais @suluhu_hassan
Tweet media one
3
6
177
@nikkwapili
Nikkwapili
15 days
RT @TuliaAckson: Ama namna gani 🤣
Tweet media one
0
41
0
@nikkwapili
Nikkwapili
16 days
RT @SuluhuSamia: Excellencies and distinguished guests, delegates, partners and friends, welcome to Tanzania for the Mission 300 Africa Ene…
0
685
0
@nikkwapili
Nikkwapili
16 days
RT @ikulumawasliano: President Dr. Samia Suluhu Hassan welcomes fellow African leaders,delegates and partners to the Africa Energy Summit 2…
0
299
0
@nikkwapili
Nikkwapili
17 days
Honored
Tweet media one
1
5
618