![Binti Mzalendo Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1828755875621695488/-YBEsOag_x96.jpg)
Binti Mzalendo
@BintiMzalendo
Followers
81
Following
415
Statuses
230
An initiative aims at ecouraging and supporting young women to engage in Politics and Leadership in Tanzania.
Tanzania
Joined August 2024
RT @zittokabwe: Leo pia nilikwenda kukagua shamba langu la Kahawa katika Kijiji cha Matyazo, Kalinzi wilaya ya Kigoma. Miche mipya tuliyop…
0
109
0
Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Mwenyekiti wetu wa Chama Taifa, Ndugu @othmasoud. Tunamtakia kila la heri. Mungu amjalie maisha marefu, afya njema na mafanikio katika majukumu yake ya kila siku.
1
2
3
RT @zittokabwe: ACT WAZALENDO YAUNDA KAMATI YA ILANI YA UCHAGUZI 2025, EMMANUEL MVULA KUONGOZA via @mzawablog
0
19
0
RT @Jambotv_: Wakili Mwanaisha Mndeme @Mwanaishamndeme ambaye ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje ya ACT Wazalendo @ACTwazalendo , na Wazir…
0
29
0
RT @Ndolezi_Petro: One of the brilliant and energetic Young Leader @RahmaMwita ubarikiwe sana. Kwangu nifaraja kuwa na rafiki mwema na kio…
0
3
0
WAKILI @Mwanaishamndeme ambaye ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje ya ACT-WAZALENDO, na Waziri Kivuli wa Wizara Viwanda na Biashara wa Chama hicho, leo Tarehe 6 Januari 2025 ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
0
4
11
RT @Land_Dwellers: Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu leo amefanya uteuzi wa Kamati ya ACT Wazalendo ya Kuunda Ilani ya Ucha…
0
12
0
RT @Ndolezi_Petro: Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu, @SemuDorothy amefanya uteuzi wa Kamati ya kuunda Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Mw…
0
17
0
Wajumbe 1. Dkt. @DrBSanga 2. Prof. Omar Fakih 3. Mary Mongi 4. @AMtutura 5. @PavuAbdallah 6. Edgar Mkosamali 7. @abdulnondo2 8. @CornelySinta 9. @SeifhSuleiman 10. @ayo_shangwe 11. Humphrey Mrema 12. @Mbaralagande
0
0
1
RT @RahmaMwita: Wewe ni kielelezo cha uongozi bora na utu. Nakuombea kila la kheri na endelea kuwa mwangaza kwa wanawake na vijana katika j…
0
3
0
RT @AdoShaibu: Kuanzia tarehe 7-10 Februari 2025, Sekretarieti ya Chama Taifa itafanya ziara ya ujenzi wa Chama ya Kata kwa Kata kwenye Kat…
0
12
0
Sasa tukutane Darajabovu Madukani, Uwanja wa Stella, Mkoa wa Kichama wa Magharibi A. Mwenyekiti wa Taifa wa @ACTwazalendo, Ndugu @othmasoud atakuwepo. Ni Siku ya Jumapili, tarehe 09/02/2025, kuanzia saa 8:00 Hadi 12:00 jioni. #ZanzibarMpya
#ZanzibarMoja
#MamlakaKamili.
0
4
3
RT @ACTwazalendo: Sasa tukutane Darajabovu Madukani, Uwanja wa Stella, Mkoa wa Kichama wa Magharibi A. Mwenyekiti wa Taifa wa @ACTwazalendo…
0
6
0
RT @fbuyobe: Nimepigiwa simu na rafiki yangu aliyepo Burundi tumezungumza zaidi ya masaa mawili. Amedai mjadala wetu wa jana, hasa majibu…
0
92
0
RT @ACTwazalendo: Kesho Feb 1, 2025 Katibu Mkuu wa @ACTwazalendo Ndugu @AdoShaibu atafanya kikao na viongozi wa Mkoa wa Kichama wa Pwani (B…
0
9
0
Kesho Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu atafanya kikao na viongozi wa Mkoa wa Kichama wa Pwani (Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe, Kibaha Mjini & Vijijini) katika eneo la Mlandizi, Kibaha. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
0
3
6