RahmaMwita Profile Banner
Rahuuuum Profile
Rahuuuum

@RahmaMwita

Followers
69K
Following
126K
Statuses
61K

TV Journalist/ Writer/BookAddict/ Founder @OYO_Tanzania / YALI-EAC Alumni/ GlobalGoalsChampion🌍/https://t.co/MwfbyyoTeM

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
@RahmaMwita
Rahuuuum
11 months
Kama Senegal wameweza na sisi tunaweza.
Tweet media one
Tweet media two
282
93
1K
@RahmaMwita
Rahuuuum
35 minutes
RT @NgomeyaWanawake: Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe anazungumza na waandishi wa habari.
0
2
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
35 minutes
Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake ya ACT wazalendo Ngd. @JaneRithe anazungumza na waandishi wa habari
0
2
4
@RahmaMwita
Rahuuuum
4 hours
RT @ACTwazalendo: Maswali ya @AdoShaibu, Katibu Mkuu @ACTwazalendo kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wassira. "Kinachoitwa Maridhiano...…
0
10
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
6 hours
RT @VailetMkama: Kesho Feb 13, 2025 Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe atazungumza na waandishi wa habari. Mahala: Jen…
0
4
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
16 hours
RT @AdoShaibu: SERIKALI IACHE UBABAISHAJI AJIRA KWA WALIMU. Ndani ya siku chache zilizopita Serikali, kupitia kwa Mawaziri wake Prof. Mkend…
0
37
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
16 hours
Kesho Feb 13, 2025 Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe atazungumza na waandishi wa habari. Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM Muda: 5:00 Asubuhi #TaifaLaWote #MaslahiYaWote @ACTwazalendo
Tweet media one
0
5
6
@RahmaMwita
Rahuuuum
16 hours
RT @NgomeyaWanawake: Kesho Feb 13, 2025 Mwenyekiti wa @NgomeyaWanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe atazungumza na waandishi wa habari. Mahala:…
0
17
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
18 hours
Mwenyezi Mungu ni Mwema 🙏🏾💯
@ACTwazalendo
ACTWazalendo
18 hours
ACT Wazalendo Yashinda Mapingamizi 7 kati ya 13 Mahakamani. Chama cha @ACTwazalendo kimefanikiwa kushinda mapingamizi saba kati ya 13 yaliyowekwa na mawakili wa serikali katika kesi tulizozifungua za kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji, na Vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Kigoma, Katibu wa ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma, Ndugu Yunus Luhovya, amesema mawakili wa chama wamepambana kwa nguvu na kufanikiwa kushinda mapingamizi saba hadi kufikia leo, huku mengine yakendelea kusikilizwa. Ndugu Luhovya alionyesha masikitiko yake kwa serikali kwa kuzuia kusikilizwa kwa kesi za msingi kwa kuweka mapingamizi katika kesi zote za uchaguzi. Alisema kuwa mawakili wa serikali wanadai kuwa waliofungua kesi hizo hawakuwa wagombea halali, jambo ambalo si la kweli na linakusudia kuziondoa kesi hizo mahakamani kabla ya ushahidi kusikilizwa. Aidha, Ndugu Luhovya alitoa wito kwa wanachama wa ACT Wazalendo wanaohudhuria mahakamani kuendelea kufika kwa ujasiri ili kujionea wenyewe jinsi haki inavyopatikana mahakamani. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Tweet media one
1
0
5
@RahmaMwita
Rahuuuum
1 day
RT @bajabiri: Mtu Kawa RC, Kawa Mbunge ameshindwa kabisa kumaliza shida ndogo kama stendi tu 😁😁😁 #SiasaZetu ni kipengele
0
34
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
1 day
@charles_tu63401 Sijambo kaka vipi wewe huko na familia?!
1
0
1
@RahmaMwita
Rahuuuum
1 day
RT @MaulidBinSwaleh: @RahmaMwita Allahumma aamiiin thumma aamiiin
0
1
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
1 day
@Rex__d9 Yes muhimu kupasha mwili kidogo asubuhi.🙏🏾
1
0
1
@RahmaMwita
Rahuuuum
2 days
RT @JamiiForums: #SIASA: Chama cha #ACTWazalendo kimefungua kesi 51 za kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, na hadi sas…
0
11
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
2 days
RT @zittokabwe: Mimi ni mwanachama wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha RUMACO. Kahawa yangu nauza kwa chama chetu cha msingi. Ninaamini kw…
0
7
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
2 days
RT @ACTwazalendo: "ACT Wazalendo haijawahi kuacha kuwa imara Zanzibar. Hata baada Marehemu Maalim Seif kuondoka, Mungu aliwapa uwezo viongo…
0
10
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
2 days
RT @DennisShonko: Riwaya ya #Ujanajike; iliyoshinda tuzo ya Safal Kiswahili Prize for African Literature mwaka 2022. Nukuu: @JiniKinyonga
0
4
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
2 days
RT @Jambotv_: VIDEO: Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo @ACTwazalendo , Zitto Kabwe @zittokabwe , ameendelea kufuatilia mwenendo…
0
16
0
@RahmaMwita
Rahuuuum
2 days
RT @TanzaniaMuslima: Unaweza ukahisi Fajr Ni Vita ya kwanza asubuhi lakini sivyo... Ni namna njema na nzuri ya kuianza siku. #TeamFajr #Faj
0
4
0