![Ado Shaibu Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1786921752565522432/2VINkY2F_x96.jpg)
Ado Shaibu
@AdoShaibu
Followers
65K
Following
24K
Statuses
27K
Secretary General, Alliance for Change & Transparency (ACT Wazalendo)
Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2012
RT @Mwanahalisitz: ADO Shaibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-WAZALENDO, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira ameteu…
0
33
0
Nimekamilisha ziara yangu ya siku tatu kwenye majimbo ya Rufiji, Kibiti na Mkuranga. Nimewaeleza viongozi wa majimbo hayo kuwa kwa kushirikiana na vyama vingine makini, tujiandae kwa mapambano makali ya kupigania mageuzi ya kusiasa nchini. Nimewaeleza kamwe tusikubali maneno ya hadaa ya maridhiano kwa sababu yatatupotezea muda!
1
4
13
RT @MwanzoTvPlus: ADO:UKIMYA WA UCHUNGUZI MAUAJI YA MZEE KIBAO DOLA INAJUA Anaadika Ndugu @AdoShaibu , Katibu Mkuu wa @ACTwazalendo kupiti…
0
37
0
Nimeona jitihada za baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamii kufurahia kukamatwa na kushikiliwa kwa Dk. Slaa kutokana na baadhi ya matendo na matamshi yake ya nyuma. Wanaofanya hivyo wanakosea kwa sababu mbili. Mosi, kwenye kupigania haki, tunapaswa kumsea kila anayekandamizwa na dola. Pili, katika siku za karibuni, Dk. Slaa amefanya kazi kubwa kwa maslahi ya umma, hasa kwenye sakata la bandari inayoweza kuwa alama ya kusamehe yaliyopita
33
57
374
RT @ACTwazalendo: Chama cha @ACTwazalendo tunatoa salamu za pole kwa watu Namibia kufuatia kifo cha Mwasisi wa Taifa lao.
0
18
0
RT @HusnaSungura: Jana tarehe 8 Feb 2025, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu @AdoShaibu ameanza ziara kwenye Mkoa wa Kichama wa Mwambao kw…
0
2
0
RT @MwanzoTvPlus: #TANZANIA: ADO SHAIBU AGEUKA MBOGO SAKATA LA DKT SLAA KUENDELEA KUSOTA MAHABUSU Katibu Mkuu wa chama cha @ACTwazalendo, @…
0
11
0
RT @zittokabwe: Msimu wa 2024/25 nimelima Mahindi shambani kwangu Mungonya Farms Mwandiga. Nilifuata kanuni zote za Kilimo kwa mujibu wa bw…
0
127
0
RT @ACTwazalendo: Jana tarehe 8 Feb 2025, Katibu Mkuu wa @ACTwazalendo, Ndugu @AdoShaibu ameanza ziara kwenye Mkoa wa Kichama wa Mwambao kw…
0
7
0
Ikiwa sehemu ya ziara yangu kwenye Mkoa wa Kichama wa Mwambao, Leo nimefanya kikao na viongozi wa Jimbo la Rufiji, moja ya Ngome zetu madhubuti za kisiasa. Nimefarijika kukuta "Wapiganaji" wetu wakiwa imara na tayari kwa mapambano ya kupigania mageuzi ya kisiasa na ushindi. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
0
24
38
Jana tarehe 7 Feb 2025, Katibu Mkuu Kiongozi wa @ACTBarazaKivuli @idrisa_kweweta amefanya kikao na viongozi wa Kata ya Kiburugwa katika Jimbo la Mbagala. Ziara hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa Programu ya Sekretarieti Taifa ya Ziara ya Ujenzi wa Chama Kata kwa Kata, Dar es salaam
0
7
30
Katika utekelezaji wa Programu ya Ujenzi wa Chama ya Kata kwa Kata katika Mkoa wa Dar es salaam inayoendeshwa na Sekretarieti ya Chama Taifa, Naibu Katibu Mwenezi @ayo_shangwe amefanya kikao na viongozi wa Kata ya Vingunguti Jimbo la Segerea. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
0
9
22
Kuanzia tarehe 8-10 Februari nitakuwa na ziara ya ujenzi wa Chama kwenye majimbo ya Rufiji, Kibiti na Mkuranga yaliyopo kwenye Mkoa wa Kichama wa Mwambao. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
0
7
19
RT @ACTwazalendo: Kuanzia tarehe 7-10 Februari 2025, Sekretarieti ya Chama Taifa itafanya ziara ya ujenzi wa Chama ya Kata kwa Kata kwenye…
0
6
0
RT @zittokabwe: Our party leader @SemuDorothy has appointed a 14 members strong team to draft a 2025 ACT Wazalendo election manifesto for U…
0
29
0