JaneRithe Profile Banner
Janeth Rithe Profile
Janeth Rithe

@JaneRithe

Followers
5K
Following
3K
Statuses
6K

National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@JaneRithe
Janeth Rithe
2 days
RT @Barazakivuznz: Feb 07, 2025 Waziri Kivuli Maendeleo ya Jamii Bara na Zanzibar, @JaneRithe na @halima_ibrahim7; wameenda kutembelea TAMW…
0
3
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
4 days
RT @JiniKinyonga: Jana Feb 08, 2025 Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Jamii Bara na Waziri Kivuli wa Mendeleo ya Jamii Zanzibar, @JaneRithe na…
0
4
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
4 days
RT @ACTBarazaKivuli: Jana Feb 07, 2025 Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Jamii Bara na Waziri Kivuli wa Mendeleo ya Jamii Zanzibar, @JaneRithe
0
7
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
6 days
@StephanoMsuya @MwananchiNews Hawa ndio wamezidi hata huyo mwanamke hapo kaingia kwa bahati mbaya
1
0
1
@JaneRithe
Janeth Rithe
7 days
Sasa tukutane Darajabovu Madukani, Uwanja wa Stella, Mkoa wa Kichama wa Magharib A. Ni Siku ya Jumapili, tarehe 09/02/2025, kuanzia saa 8:00 Hadi 12:00 jioni. #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili.
Tweet media one
1
1
6
@JaneRithe
Janeth Rithe
7 days
@EmmausAskofu Sasa wafanyeje mtu analala kikao kizima wataedit vipi hahahaha
3
0
6
@JaneRithe
Janeth Rithe
7 days
RT @JiniKinyonga: Kuanzia Februari 7 hadi 10, 2025 Sekretarieti ya Chama cha @ACTwazalendo itafanya ziara ya kata kwa kata katika Mkoa wa D…
0
4
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
7 days
@agmwasanga Hawa watu wa hovyo sana
0
0
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
7 days
@kakaAFRIKA Hahahhaaa
0
0
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
8 days
Happy birthday Engineer @Ndolezi_Petro mchapa kazi, hapa ni pori la ushetu huko,tulifanana na vumbi balaa Ujenzi wa chama unahitaji moyo na kujitoa nakuona mbali sana mbunge mtarajiwa
Tweet media one
0
4
13
@JaneRithe
Janeth Rithe
8 days
Ni kweli mama hata juzi mkuu wa mkoa wa dsm kathibitisha hili kwamba huduma bora tutapewa na waume zetu nyumbani asante sana @SuluhuSamia
@swahilitimes
Swahili Times
8 days
"Nilipochukua madaraka, niliahidi kwamba pamoja na kuwekeza katika vituo vya afya na wafanyakazi wa sekta ya afya, tutaipa kipaumbele afya ya mama na mtoto. Tangu mwaka 2021, tumetekeleza hatua mbalimbali za kuboresha afya ya uzazi, afya ya mama, watoto wachanga pamoja na lishe." - Rais Samia Suluhu akipokea Tuzo ya Gates Goalkeeper Award
Tweet media one
0
0
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
8 days
@meni_md Wametuwekea na sura hiyo sura wanadhani kila mtu anaipenda
0
0
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
8 days
Sio siku ya furaha hasa kutokana na maisha ya wanawake yalivyo nenda vijijini kamuone mwanamke wa kijijini anavyoteseka mpaka kazoea anaona ni kawaida hii inatakiwa iwe siku ya kudai haki ya kupata huduma za afya kuboresha mitaji na kumlinda mwanamke dhidi ya ukatili wa kijinsia
@JaneRithe
Janeth Rithe
8 days
Wanawake wana changamoto nyingi sana,ubakwaji,ukosefu wa huduma za afya,maisha magumu,hawana mitaji na tuna Rais mwanamke hajaonyesha njia yoyote ya kupunguza changamoto za mwanamke kama sio kuzimaliza leo mmetengeneza sare za vitenge ndio shida ya wanawake wa Tanzania?
Tweet media one
0
0
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
8 days
Uchawa na kujifanya watetezi wa Rais badala ya ku address changamoto za wanawake na kutafuta majabu kuyapunguza au kuayaondoa kabisa hapa ndio tulipo wanawake sijui tumeleogwa na nani
@JaneRithe
Janeth Rithe
8 days
Wanawake wana changamoto nyingi sana,ubakwaji,ukosefu wa huduma za afya,maisha magumu,hawana mitaji na tuna Rais mwanamke hajaonyesha njia yoyote ya kupunguza changamoto za mwanamke kama sio kuzimaliza leo mmetengeneza sare za vitenge ndio shida ya wanawake wa Tanzania?
Tweet media one
2
0
2
@JaneRithe
Janeth Rithe
8 days
Huyu @merychitnda kawakusanya wanawake ili akaseme hiki?haya ni matumizi mabaya ya muda na rasilimali
@Jambotv_
Jambo TV
8 days
VIDEO: Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa UWT taifa, Mary Chatanda Jumanne Februari 4,2025 jijini Dodoma wakati wa Kongamano la Wanawake kuelekea maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amesema UWT ni jeshi kubwa hivyo mtu yeyote atakayetaka kupambana na Rais Samia ajipange, na amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumia lugha za staha wanapotaka maridhiano kwa jambo lolote na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
0
0
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
8 days
0
0
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
8 days
Ameenda kutembelea kaburi lzm alale ili aweze kuwasilina na mrehemu kiroho
@HildaNewton21
Hilda Newton
8 days
Katikati ya kikao Mzee Wasira kachapa usingizi kama kawaida yake.😂
Tweet media one
0
0
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
9 days
@RobertoLor25039 Hii shida kubwa sana
0
0
0
@JaneRithe
Janeth Rithe
9 days
RT @mwita_loveness: Apatikane mwanahabari nguli na mbobezi afanye mahojiano au mazungumzo na mwami @zittokabwe ili kukuza uelewa wa haya ma…
0
27
0