Barazakivuznz Profile Banner
ACTBarazakivuliznz Profile
ACTBarazakivuliznz

@Barazakivuznz

Followers
38
Following
1
Statuses
39

Wasemaji wa Kisekta Zanzibar (Baraza Kivuli)

Joined November 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
4 days
RT @JiniKinyonga: Jana Feb 08, 2025 Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Jamii Bara na Waziri Kivuli wa Mendeleo ya Jamii Zanzibar, @JaneRithe na…
0
4
0
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
4 days
RT @ACTBarazaKivuli: Jana Feb 07, 2025 Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Jamii Bara na Waziri Kivuli wa Mendeleo ya Jamii Zanzibar, @JaneRithe
0
7
0
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
4 days
Feb 07, 2025 Waziri Kivuli Maendeleo ya Jamii Bara na Zanzibar, @JaneRithe na @halima_ibrahim7; wameenda kutembelea TAMWA na WILDAF. Wamezungumzia ilani za uchaguzi zitoe kipaumbele kwa wanawake na umuhimu wa kuwawezesha Wanawake wanaotarajia kugombea Mkuu utakaofanyika mwaka huu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
8
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
5 days
RT @IsmailJussa: Happy Birthday Mwenyekiti wa Chama, Ndugu Othman Masoud Othman. Nakuombea kila la kheri na mafanikio katika mwaka huu amba…
0
25
0
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
7 days
5/03/2025, Msemaji wa Sekta ya Maendeleo ya Wanawake, Watoto na Makundi Maalum wa Baraza Kivuli la Chama Cha @ACTwazalendo - Zanzibar, Bi @Halimaibrahim Mohammed, amefanya mahojiano na kituo cha habari cha @CrownMediaTZ, kuhusu Kipindi Cha Wanawake na Uongozi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
7
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
7 days
RT @ACTwazalendo: Sasa tukutane Darajabovu Madukani, Uwanja wa Stella, Mkoa wa Kichama wa Magharibi A. Mwenyekiti wa Taifa wa @ACTwazalendo
0
6
0
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
7 days
Sasa tukutane Darajabivu Madukani, Uwanja wa Stella, Mkoa wa Kichama wa Magharib A. Ni Siku ya Jumapili, tarehe 09/02/2025, kuanzia saa 8:00 Hadi 12:00 jioni. #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili.
Tweet media one
0
0
0
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
9 days
Hali ilivyo katika Uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, linaloendelea katika Wilaya ya Micheweni.
0
0
0
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
13 days
Hodi Hodi Kaskazini A. Ni Siku ya Jumapili, tarehe 02/02/2025 Katika Kiwanja Cha Good hope, Kivunge, kuanzia saa 8:00 Hadi 12:00 jioni. #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili.
Tweet media one
0
5
9
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
16 days
"Uchaguzi wa mwaka huu, ni tafauti na uchaguzi wa miaka yote, uchaguzi wa mwaka huu ni uchaguzi wa maamuzi, uchaguzi wa kuinusuru nchi yetu ya Zanzibar" Othman Masoud. #Zanzibarmpya #Zanzibarmoja #Mamlakakamili
0
0
0
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
16 days
RT @Barazakivuznz: "Waulizeni kwanini leo, nchi ndogo za visiwa kama sisi, jirani zetu kwanini watupite kwa mara 10 katika kukusanya Mapato…
0
8
0
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
16 days
"Waulizeni kwanini leo, nchi ndogo za visiwa kama sisi, jirani zetu kwanini watupite kwa mara 10 katika kukusanya Mapato yao" #Zanzibarmpya #Zanzibarmoja #MamlakaKamili
0
8
7
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
19 days
*TAARIFA KWA UMMA* *Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM* Dkt. Mohammed Ali Suleiman Msemaji wa Sekta ya Elimu, Ubunifu na Stadi za Ufundi 0714666552
Tweet media one
Tweet media two
2
15
36
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
20 days
2025 ni Mwaka wa Mabadiliko! Tukutane Gombani Kongwe, #ChakeChake #Pemba Jumapili, tarehe 26/01/2025.
Tweet media one
0
0
0
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
27 days
Ziara ya kikazi ya M/kiti wa Chama Cha ACT-Wazalendo Zanzibar, @IsmailJussa katika Mikoa yote 11 ya Kichama Zanzibar, imeendelea leo tarehe 16/01/2025 kwa kukutana na Viongozi wa Mkoa wa mjini Kichama, katika ukumbi wa Bait el alyamin #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
4
14
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
1 month
Heri ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Tweet media one
0
0
2
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
1 month
RT @Barazakivuznz: TAARIFA KWA UMMA
Tweet media one
0
7
0
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
1 month
TAARIFA KWA UMMA
Tweet media one
0
7
7
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
1 month
TAARIFA KWA UMMA Ripoti za Benki Kuu zinaonesha kuwa deni la Zanzibar limefikia trilion 3.6, ikiwa ni tafauti kubwa na Madai ya Rais Mwinyi. Prof. Omar Fakih Hamad Msemaji wa Sekta ya Fedha, Uchumi na Dira ya Maendeleo – Zanzibar, Kwa niaba ya ACT Wazalendo
0
9
17
@Barazakivuznz
ACTBarazakivuliznz
1 month
TAARIFA KWA UMMA Kuhusu mwendo na ongezeko la deni la Taifa la Zanzibar (2020–2024) "UNAPOSHINDWA KUHESABU, UTASHINDWA KUDHIBITI" Prof. Omar Fakih Hamad Msemaji wa Sekta ya Fedha, Uchumi na Dira ya Maendeleo – Zanzibar, Kwa niaba ya @ACTwazalendo
Tweet media one
Tweet media two
1
8
10