IsmailJussa Profile Banner
Ismail Jussa Profile
Ismail Jussa

@IsmailJussa

Followers
134K
Following
99K
Statuses
17K

+259 | Proudly Zanzibari | Vice Chairman (Zanzibar) @ACTWazalendo

Zanzibar
Joined July 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
@IsmailJussa
Ismail Jussa
6 years
Kwa manufaa ya watu wetu na nchi yetu, Mabadiliko ni SASA! Ewe Mtanzania, Karibu uungane nasi kwenye Safari ya Mabadiliko. @ACTwazalendo ndiyo habari ya mjini kwa sasa. #ShushaTangaPandishaTanga #SafariIendelee #TheFutureIsBright #TheFutureIsPurple
71
136
660
@IsmailJussa
Ismail Jussa
1 day
RT @FNF_Tanzania: A Call to Action Moral leadership ensures stability, while its absence leads to chaos, as seen in the Congo crisis,(EAC)…
0
4
0
@IsmailJussa
Ismail Jussa
4 days
Happy Birthday Mwenyekiti wa Chama, Ndugu Othman Masoud Othman. Nakuombea kila la kheri na mafanikio katika mwaka huu ambao naamini unakwenda kuandika historia mpya katika maisha yako na nchi yetu pale utapochaguliwa kuiongoza #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja ikiwa na #MamlakaKamili.
Tweet media one
2
25
58
@IsmailJussa
Ismail Jussa
5 days
RT @TheIsmaili: Prince Rahim al-Hussaini Aga Khan V is the 50th hereditary Imam of the Shia Ismaili Muslims, as designated by Mawlana Shah…
0
497
0
@IsmailJussa
Ismail Jussa
5 days
RT @TheIsmaili: With profound sadness, the Jamat is informed that our beloved 49th hereditary Imam, Mawlana Shah Karim Al-Hussaini, passed…
0
550
0
@IsmailJussa
Ismail Jussa
6 days
RT @MSSHFoundation: Taasisi ya Maalim Seif Foundation imepokea kwa huzuni na majonzi makubwa taarifa za kifo cha @ahmedrajab, gwiji wa uand…
0
23
0
@IsmailJussa
Ismail Jussa
6 days
Sina la kusema! Speechless! Inna Lillaahi wa Inna Ilayhi Rajiu'n. Mwenyezi Mungu Akupe kauli thabit @ahmedrajab na Akuingize katika Pepo ya Firdaus. Amin
Tweet media one
8
15
112
@IsmailJussa
Ismail Jussa
8 days
WhatsApp says journalists and civil society members were targets of Israeli spyware
0
1
3
@IsmailJussa
Ismail Jussa
8 days
RT @Mwanahalisitz: Mwakilishi wa Jimbo la Wingwi, Kombo Mwinyi Shehe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha undikishaji Sizini na…
0
13
0
@IsmailJussa
Ismail Jussa
8 days
@mgeituff Wameishiwa hawa!
0
0
1
@IsmailJussa
Ismail Jussa
10 days
RT @MSSHFoundation: Moja ya mambo yaliyomkera sana #MaalimSeif katika mazungumzo yake na viongozi wa CCM katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu…
0
24
0
@IsmailJussa
Ismail Jussa
14 days
Othman: Zanzibar itapata mabadiliko iwapo wananchi watashirikiana
2
12
34
@IsmailJussa
Ismail Jussa
14 days
RT @MwananchiNews: Othman: Zanzibar itapata mabadiliko iwapo wananchi watashirikiana
0
7
0
@IsmailJussa
Ismail Jussa
14 days
KC kama KC @SemuDorothy
1
7
13
@IsmailJussa
Ismail Jussa
15 days
RT @othmasoud: Huwezi kuwa na Serikali ambayo huna Mamlaka ya maamuzi.
0
42
0
@IsmailJussa
Ismail Jussa
16 days
RT @othmasoud: #LIVE : 🔴MKUTANO WA HADHARA GOMBANI PEMBA 26.01.2025
0
15
0
@IsmailJussa
Ismail Jussa
17 days
RT @drnasranassor: Honored to join Madam Party Leader @DorothySemu during her diplomatic visit to the @UKinTanzania, where we had the privi…
0
21
0
@IsmailJussa
Ismail Jussa
17 days
RT @VanguardAfrica: The #FreeBazoum campaign is gaining momentum and sparking needed conversations in Washington. It is unacceptable for a…
0
16
0
@IsmailJussa
Ismail Jussa
18 days
#HolyQuran 41:15 فَأَمَّا عَادٞ فَٱسۡتَكۡبَرُواْ فِي ٱلۡأَرۡضِ بِغَيۡرِ ٱلۡحَقِّ وَقَالُواْ مَنۡ أَشَدُّ مِنَّا قُوَّةًۖ أَوَلَمۡ يَرَوۡاْ أَنَّ ٱللَّهَ ٱلَّذِي خَلَقَهُمۡ هُوَ أَشَدُّ مِنۡهُمۡ قُوَّةٗۖ وَكَانُواْ بِـَٔايَٰتِنَا يَجۡحَدُونَ
1
4
12
@IsmailJussa
Ismail Jussa
18 days
"Ama kina A'di walijivuna katika nchi bila ya haki, na wakasema: Nani aliyekuwa na nguvu kushinda sisi? Kwani wao hawakuona kwamba Mwenyezi Mungu aliyewaumba ni Mwenye nguvu kushinda wao? Na wao wakawa wanazikataa Ishara zetu!" - #Quran 41:15
Tweet media one
3
11
30