![Maalim Seif Foundation Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1459867371510849545/jt45JodL_x96.jpg)
Maalim Seif Foundation
@MSSHFoundation
Followers
2K
Following
46
Statuses
453
Founded 2021. Our mission is to help build #peaceful, #democratic and #resilient societies.
Zanzibar
Joined November 2021
RT @FNF_Tanzania: A Call to Action Moral leadership ensures stability, while its absence leads to chaos, as seen in the Congo crisis,(EAC)…
0
4
0
Taasisi ya Maalim Seif Foundation imepokea kwa huzuni na majonzi makubwa taarifa za kifo cha @ahmedrajab, gwiji wa uandishi wa habari, mchambuzi aliyebobea wa siasa za kitaifa na kimataifa na mzalendo wa kutajika wa #Zanzibar. Sisi @MSSHFoundation tutamkumbuka daima kwa ushiriki wake mkubwa katika shughuli zote tulizomualika zilizoandaliwa na Taasisi yetu. Kwa hakika ameacha alama isiyoweza kufutika. Mwenyezi Mungu Ampe kauli thabit na Amuingize katika Pepo ya Firdaus. Amin. Inna Lillaahi Wa Inna Ilayhi Rajiu'n.
2
23
94
Moja ya mambo yaliyomkera sana #MaalimSeif katika mazungumzo yake na viongozi wa CCM katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro ya kisiasa nchini lilikuwa ni lile aliloliita majadiliano yenye nia mbaya (negotiating in bad faith). Suala hilo amelikemea vikali kupitia kumbukumbu za maisha yake - 'Enduring Trust' - zilizomo kwenye kitabu cha 'Race, Revolution and the Struggle for Human Rights in Zanzibar' kilichochapishwa mwaka 2009. Je, lipo la kujifunza katika hilo nchi inapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025?
3
24
84
"It was thought that we have reached the endpoint of mankind's ideological evolution and the universalisation of Western liberal democracy as the final form of human government. But of course we know that that is not the case today. And that many different kinds of contestations have emerged and the world is becoming quite unstable." - Ray Hartley of the @BrenthurstF delivering a keynote address. The 4th Annual Maalim Seif Legacy Conference - December 15, 2024 #Democracy #MarketEconomy #JobCreation @FNF_Tanzania
1
11
20
"Uhuru wa watu ndiyo unaleta ugunduzi wa vitu na ushindani huleta bidhaa bora" - Zitto Kabwe Mkutano wa 4 wa Kumuenzi Maalim Seif - Disemba 15, 2024 #UrithiWaMaalimSeif #Demokrasia #UchumiWaSoko #Ajira @FNF_Tanzania
2
20
46
"Demokrasia ni lazima ihakikishe mambo matatu: (1) Utawala wa Sheria; (2) Uwajibikaji; na (3) Uwazi." - Mhe. Othman Masoud Othman Mkutano wa 4 wa Kumuenzi Maalim Seif - Disemba 15, 2024 #UrithiWaMaalimSeif #Demokrasia #UchumiWaSoko #Ajira @FNF_Tanzania
0
15
36
"Uchumi wa nchi unajengwa na wananchi wenyewe, siyo wageni" - Balozi Ali Karume Mkutano wa 4 wa Kumuenzi Maalim Seif - Disemba 15, 2024 #UrithiWaMaalimSeif #Demokrasia #UchumiWaSoko #Ajira @FNF_Tanzania
0
7
18
"Demokrasia ni Safari Isiyo na Ukomo; It is an ongoing struggle" - Ismail Jussa Mkutano wa 4 wa Kumuenzi Maalim Seif - Disemba 15, 2024 #UrithiWaMaalimSeif #Demokrasia #UchumiWaSoko #Ajira @FNF_Tanzania
0
11
31
"Serikali haitengenezi Ajira Mpya" - Katibu Mwenezi wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto Mkutano wa 4 wa Kumuenzi Maalim Seif - Disemba 15, 2024 #UrithiWaMaalimSeif #Demokrasia #UchumiWaSoko #Ajira
0
4
11
Ally Al Mafazy and Haji Juma Ramadhan passionately attend the arriving participants at the registration desk. The 4th Annual Conference on the Legacy of Maalim Seif - December 15, 2024 #Up4Democracy #MarketEconomy #JobCreation @FNF_Tanzania
0
2
6
Eshe Said and Mustafa Sharif - part of the able team of Maalim Seif Foundation Volunteers. The 4th Annual Conference on the Legacy of Maalim Seif - December 15, 2024 #Up4Democracy #MarketEconomy #JobCreation @FNF_Tanzania
0
5
16
Committed, Energetic, Efficient, Professional, and always smiling - Maalim Seif Foundation Volunteers at work The 4th Annual Conference on the Legacy of Maalim Seif - December 15, 2024 #Up4Democracy #MarketEconomy #JobCreation @FNF_Tanzania
0
5
16
Registration desk at Hotel Verde The 4th Annual Conference on the Legacy of Maalim Seif - December 15, 2024 #Up4Democracy #MarketEconomy #JobCreation @FNF_Tanzania
0
3
9
Mkutano wa 4 wa Kumuenzi Maalim Seif: Balozi Ali Karume akibadilishana mawazo na Katibu Mwenezi wa CCM Zanzibar, Bw. Khamis Mbeto, huku Mwanasheria Awadh Ali Said akionekana kufurahia mazungumzo hayo. #UrithiWaMaalimSeif #Demokrasia #UchumiWaSoko #Ajira
0
6
15
Honourable Mansoor Yussuf Himid attentively following the proceedings. The 4th Annual Conference on the Legacy of Maalim Seif - December 15, 2024 #Up4Democracy #MarketEconomy #JobCreation @FNF_Tanzania
0
8
29
Research Director of the Brenthurst Foundation, Ray Hartley delivering his keynote address. The 4th Annual Conference on the Legacy of Maalim Seif - December 15, 2024 #Up4Democracy #MarketEconomy #JobCreation @FNF_Tanzania
0
4
12
Zitto Kabwe introducing Ray Hartley, the keynote speaker. The 4th Annual Conference on the Legacy of Maalim Seif - December 15, 2024 #Up4Democracy #MarketEconomy #JobCreation @FNF_Tanzania
0
11
24
CCM Member of the Central Committee, Honourable Mohamed Aboud Mohamed giving his remarks at the opening session. The 4th Annual Conference on the Legacy of Maalim Seif - December 15, 2024 #Up4Democracy #MarketEconomy #JobCreation @FNF_Tanzania
0
2
11