DrBSanga Profile Banner
Dr Elizabeth Sanga Profile
Dr Elizabeth Sanga

@DrBSanga

Followers
4K
Following
9K
Statuses
10K

Health management and Public health specialist Social business entrepreneur Spokesperson for Health Sector - ACT Wazalendo #ACTkiganjani #Taifakwanza

Eora Nation
Joined September 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
6 days
Argentina nayo ina mpango wa kujitoa WHO. Sasa ni wakati wa nchi ombaomba na tegemezi wa fedha za misaada kugharamia huduma za afya, kupanga na kutekeleza mbinu mpya za kugharamia huduma hizi kutoka vyanzo vya ndani kwa asilimia mia moja #AbujaDeclaration2001. Sababu zipo, nia na uwezo upo? Kwa @ACTwazalendo sababu zipo za kutosha, nia ipo, uwezo upo na mbinu zipo. Soma zaidi hapa Argentina says it, too, plans to pull out of World Health Organization
0
0
1
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
1 day
RT @zittokabwe: Msimu wa 2024/25 nimelima Mahindi shambani kwangu Mungonya Farms Mwandiga. Nilifuata kanuni zote za Kilimo kwa mujibu wa bw…
0
132
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
1 day
RT @Ndolezi_Petro: ACT Wazalendo muda wote tumekuwa tukichukua hatua na tayari hatua tulizowahi kuchukua na kutupa matokea ni ile ya kupin…
0
4
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
1 day
RT @Mwanahalisitz: ADO Shaibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-WAZALENDO, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira ameteu…
0
53
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
1 day
RT @ayo_shangwe: #FreeMohamed #FreeMhomed Hii sio Sawa @DrHmwinyi hili unalo fanya halito wanyamazisha watu wa Zanzibar. Mwaka huu ukombo…
0
11
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
1 day
RT @zittokabwe: Nimehudhuria Mahakamani leo kufuatilia muendelezo wa kesi zinazopinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na V…
0
53
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
2 days
RT @zittokabwe: Mnamo tarehe 9 Februari 2025 Nilijumuika na wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini katika dua maalum, hawli, ya kumuombea marehe…
0
24
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
2 days
RT @ACTwazalendo: Hii ni Programu ya Ujenzi wa Chama Kata kwa Kata katika Mkoa wa Dar es salaam inayoendeshwa na Sekretarieti ya Chama Taif…
0
9
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
2 days
RT @swahilitimes: ACT Wazalendo yazitaka nchi za Afrika kuungana na Afrika Kusini kupinga uamuzi wa Marekani
0
18
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
2 days
RT @ACTBarazaKivuli: Chama cha @ACTwazalendo tunatoa salamu za pole kwa watu Namibia kufuatia kifo cha Mwasisi wa Taifa lao.
0
11
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
3 days
RT @SemuDorothy: We call on African Frontline States to sever diplomatic ties with USA over aggressive Interference in South Africa @ACTwa
0
12
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
4 days
RT @Mwanahalisitz: CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema kuwa kitaongeza nguvu katika Jimbo la Rufiji kwa kuwa jimbo hilo ndio kituvu cha dhulum…
0
10
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
4 days
RT @MwananchiNews: Wanafunzi wawili wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Mzumbe, Christopher Honeywick na David Mwijage, wamebuni m…
0
202
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
4 days
RT @JiniKinyonga: Jana tarehe 7 Feb 2025, Katibu Mkuu Kiongozi wa @ACTBarazaKivuli, Ndugu @idrisa_kweweta amefanya kikao na viongozi wa Kat…
0
2
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
4 days
RT @fatma_karume: Kwa mnasema muacheni Slaa avune alichokipanda…. It’s not about Slaa. It’s about the IDEA of a just society that functions…
0
56
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
4 days
RT @Ndolezi_Petro: Maadhimio ya mkutano wa Wakuu wa Nchi za EAC-SADC , Dar Es Salaam 08 Februari,2025.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
4 days
RT @ACTBarazaKivuli: Jana Feb 07, 2025 Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Jamii Bara na Waziri Kivuli wa Mendeleo ya Jamii Zanzibar, @JaneRithe
0
7
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
4 days
RT @AdoShaibu: Ikiwa sehemu ya ziara yangu kwenye Mkoa wa Kichama wa Mwambao, Leo nimefanya kikao na viongozi wa Jimbo la Rufiji, moja ya N…
0
25
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
4 days
RT @Jambotv_: VIDEO: Chama cha ACT Wazalendo @ACTwazalendo kimesema kuwa kitaongeza nguvu katika Jimbo la Rufiji kikidai kuwa jimbo hilo…
0
23
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
4 days
RT @MchuchuliK: Leo tarehe 8/2/2025 kwa niaba ya Katibu Mkuu @AdoShaibu nimefanya ziara katika Kata ya Azimiio/Temeke #Tutakwenda nao CCM…
0
3
0
@DrBSanga
Dr Elizabeth Sanga
4 days
RT @Ndolezi_Petro: Wenye umri chini ya miaka 36 ni 77% ya Watanzania. Uteuzi wa Kamati hii ya Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2025 iliofanywa na Kio…
0
10
0