Land_Dwellers Profile Banner
Land Dwellers Profile
Land Dwellers

@Land_Dwellers

Followers
1K
Following
298
Statuses
1K

This is an investigative digital platform mainly focuses telling the stories from common people. Email: [email protected] YouTube: @LandDwellers

Tanzania
Joined March 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Land_Dwellers
Land Dwellers
2 hours
Lissu amesema hayo wakati akihutubia kwenye mazishi ya marehemu Derick Magoma yanayofanyika leo katika kijiji cha Matufa wilayani Babati mkoani Manyara.
0
0
0
@Land_Dwellers
Land Dwellers
4 hours
Marehemu Derick Magoma alifariki asubuhi ya Februari 9, 2025 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
0
0
1
@Land_Dwellers
Land Dwellers
4 hours
Viongozi mbalimbali wamehudhuria maadhimisho haya yanayofanyika kwenye viwanja vya JKCC, Dodoma, akiwemo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete. Mgeni Rasmi ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda.
0
0
0
@Land_Dwellers
Land Dwellers
6 hours
Wakati tukiadhimisha siku hii adhimu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, imesema ushiriki wa wanawake na wasichana hapa nchini katika elimu na ajira kwenye fani za sayansi bado hauridhishi, ambao ni asilimia 36 kulinganisha na wanaume ambao ni asilimia 64.
0
0
0
@Land_Dwellers
Land Dwellers
9 hours
Wizara ya Afya nchini Uganda imetangaza visa sita vipya vya wagonjwa wa Ebola nchini humo. Kwa sasa Uganda kuna jumla ya visa 9 vya Ebola, ambapo mgonjwa wa kwanza alifariki dunia, huku wagonjwa 8 waliyosalia wakiendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Taifa ya Mulago.
Tweet media one
0
2
3
@Land_Dwellers
Land Dwellers
9 hours
Rais wa Marekani,Donald Trump jana ameitaka Israel kuachana makubaliano ya kusitisha mapigano endapo Hamas hawatawachia mateka jumamosi hii, akiwaonya Hamas kuwa wataona kitakachowakuta baada ya hapo. Hamas walitishia kutowaachia mateka kwa kuituhumu Israel kukiuka makubaliano.
Tweet media one
0
2
6
@Land_Dwellers
Land Dwellers
22 hours
Dkt. Nchemba amesema hayo Bungeni Dodoma, baada ya Mbunge wa Mtwara Mjini, Hassan Seleman kuhoji ni lini serikali itarejesha makusanyo ya Kodi ya Ardhi ya 20% kwa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, ambapo Dkt. Nchemba amelihakikishia Bunge kuwa fedha hizo zitarejeshwa.
0
0
0
@Land_Dwellers
Land Dwellers
1 day
Lissu pamoja Golugwa walipata wasaa wa kuzungumza hayo walipomtembelea Jaji Mstaafu Warioba katika ofisi zake zilizopo Dar es Salaam,ambapo pia wamejadili kuhusu uchaguzi uliyomalizika wa ndani wa CHADEMA pamoja na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024.
0
0
0
@Land_Dwellers
Land Dwellers
1 day
Elon Musk ameongeza kuwa fedha hizo zilitengwa kwa ajili ya misaada ya maafa nchini Marekani, lakini badala yake zinatumika kulipia hoteli za kifahari kwa wahamiaji haramu. Musk amesema mchakato wa kuzirejesha fedha hizo utafanyika hii leo.
0
0
0
@Land_Dwellers
Land Dwellers
1 day
Basi lililobeba wachezaji wa timu ya Dodoma Jiji FC limepata ajali leo asubuhi Nangurukuru, Lindi likitokea Ruangwa ambapo jana ilicheza mechi ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC. Uongozi wa timu umesema ajali hiyo imesababisha majeraha madogo, lakini hakuna madhara makubwa.
Tweet media one
0
2
3
@Land_Dwellers
Land Dwellers
1 day
Waziri Jafo ameitaka Bodi ya Uongozi wa Chuo cha CBE kutambua kuwa wana dhamana kubwa ya kuhakikisha wananchi nchini Tanzania wanapata maarifa na upeo wa kutosha kuhusu biashara, ili waweza kushiriki kikamilifu katika fursa mbalimbali za kibiashara zilizopo Afrika.
0
0
0
@Land_Dwellers
Land Dwellers
1 day
Land Dwellers inaungana na Watanzania wote na ulimwengu kwa ujumla katika maadhimisho haya ili kuongeza uelewa kwa jamii kuhusu umuhimu na nafasi ya mazao jamii ya mikunde katika kuleta mabadiliko chanya kwenye Sekta ya kilimo.
0
0
0