![Catherine Mluta Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1887050508457906176/ktcDRHtu_x96.jpg)
Catherine Mluta
@CatherineMluta
Followers
390
Following
4K
Statuses
4K
Kuanzia tarehe 7-10 Februari 2025, Sekretarieti ya Chama Taifa itafanya ziara ya ujenzi wa Chama ya Kata kwa Kata kwenye Kata 24 za majimbo ya Mbagala, Temeke, Kigamboni, Ilala, Ukonga, Kinondoni, Ubungo na Segerea. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
@ACTwazalendo
0
0
2
RT @MchinjitaIR: “Kidnapping is a grave violation of human rights and cannot be tolerated. We demand the immediate release of Maria Sarungi…
0
6
0
Demokrasia ni gharama. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni msingi muhimu wa #DemokrasiaYetu. Tunakuomba utushike mkono ili tuweze kufika kila mahala kuwanadi wagombea wa @ACTwazalendo Naomba TUCHANGIE - TigoPesa: 0713957977 - Mpesa: 0744959112 - NMB: 22610004083
0
1
1
RT @Monalisandala1: Kuna msitari mdogo wa Uhai na Afya dhidi ya kifo, ulemavu, hasara na maumivu yasiyotarajiwa! Katika siku unayotoka ny…
0
3
0
Wanawake hii si ya kukosa kabisa twende wote Zanzibar tukashuhudie kongamano la aina yake ni Tarehe 10 November #ngomeyawanawakeTaifa
0
0
0