phrankie136 Profile Banner
Frankie Profile
Frankie

@phrankie136

Followers
242
Following
95K
Statuses
336

A Husband to my beautiful Wife and a Father to my beloved Son 🧒

Joined July 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@phrankie136
Frankie
17 hours
@TRATanzania MSAADA! OTP zilichelewa kunifikia badala yake zikanifikia nikiwa nishatoka online, sasa nimekosa pa kuziingiza na kila nikijaribu tena Registration process nikifika kwenye kujibu maswali ya ku'verify info za NIDA inanipa ujumbe huo hivyo nakwama kufanya registration? @TRATanzania
Tweet media one
0
0
0
@phrankie136
Frankie
17 hours
@TRATanzania MSAADA! OTP zilichelewa kunifikia badala yake zikanifikia nikiwa nishatoka online, sasa nimekosa pa kuziingiza na kila nikijaribu tena Registration process nikifika kwenye kujibu maswali ya ku'verify info za NIDA inanipa ujumbe huo hivyo nakwama kufanya registration? @TRATanzania
Tweet media one
0
0
0
@phrankie136
Frankie
1 day
@chapo255 Very good idea, na ameiotea at a right timing, hii 2025 ni election year hivyo Wabunge watamtumia sana kusukuma agenda zao. Tatizo ni platform aliyopo haina audience sana hivyo itawafikia wachache...
1
0
11
@phrankie136
Frankie
1 day
@todayslm @Enemy_19 📌
0
0
0
@phrankie136
Frankie
1 day
@ajiratimes Tatizo kwenye channel anapost Admin peke yake nyie wengine wote hamuwezi hata kuuliza chochote zaidi ya kuLIKE posts za Admin tu!
2
0
1
@phrankie136
Frankie
2 days
@ajiratimes Sasa hv naona mfumo wao uko sawa ila sasa mimi nimekutana na changamoto nyingine. Nikifika kwenye kipengele cha kujibu maswali ya ku'verify taarifa za NIDA inaniambia, " YOUR SESSION FOR ANSWERING QUESTION HAS EXPIRED, PLEASE TRY AGAIN " Nashindwa kuendelea sababu ya hiyo ERROR
1
0
2
@phrankie136
Frankie
2 days
@ajiratimes Yaani wanazingua sana hiyo team yao ya ICT na HRA ktk hili...
0
0
1
@phrankie136
Frankie
9 days
@AdvocateKondele @DenyTheDr @DullahTheking2 @GoodluckMalekoJ @Kelvintate_ @Labella_Mafia95 @ms_tebbe @were46261 @milcamuranda Nina situation inayofanana na hii ya Mzee Suleiman kuhusu ndoa za mitala na urithi kwa watoto baada ya kufa kwa mzee, naweza kuja inbox kuomba ushauri?
1
0
6
@phrankie136
Frankie
10 days
@FKihamu The gate kept the teacher outside!
0
0
0
@phrankie136
Frankie
10 days
0
0
0
@phrankie136
Frankie
11 days
@CarolNdosi Umesahau na Upendo pia Dada Carol!
0
0
0
@phrankie136
Frankie
11 days
@RGakwerere Guess what TPDF under Brigedia J.Mwakibolwa did to his M23 in DRC when he dared to threaten President Kikwete in 2013?
0
0
0
@phrankie136
Frankie
20 days
@Phbhimself Nawashangaa sana wabongo wanaosema ni bora Trump akate hiyo misaada kwa Afrika, Aisee kitaturamba! Endelea kupiga kelele half madhara yakianza kujitokeza ndio utajua hujui...
0
0
1
@phrankie136
Frankie
1 month
@fido_vato @Octavianlasway Braza nani kakutuma uje kutoa siri za watu humu mitandaoni...😂😂😂
0
0
13
@phrankie136
Frankie
1 month
@Phbhimself Hahahaha! Kwahiyo kubeba mchanga ilikuwa ni kuhamisha concentration na umakini wa maaskari kutoka kwenye vitu vingine na kuhamishia kwenye huo mchanga, very clever but high risky too!
0
0
33
@phrankie136
Frankie
1 month
@Akilistephen @swahilitimes Acha kukariri kutafsiri ubaya kwenye kila jambo, kodi inayokatwa kwenye mishahara ya waajiriwa nchini ni PAYE ambayo hukatwa kutoka kwenye mshahara wa mhusika moja kwa moja, muajiri haguswi popote na kodi hili sasa unasema ili asipate hasara gani hiyo unayoiengolea!???
1
1
22
@phrankie136
Frankie
1 month
@lifeofmshaba Waziri wa Mambo ya ndani aliyeshindwa ubunge na Wenje jimbo la Nyamagana Mwanza ni Masha...
0
0
1