Akilistephen Profile Banner
Stephen akili Profile
Stephen akili

@Akilistephen

Followers
95
Following
3K
Statuses
1K

⏳Legal Consultant, Corporate, Commercial, Regulatory, Real Estates, Contracts &labour Employment. NB. I don't complete but i set a target.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Akilistephen
Stephen akili
10 hours
0
0
1
@Akilistephen
Stephen akili
1 day
@AlesandroJR Amina
0
0
1
@Akilistephen
Stephen akili
1 day
@AlesandroJR Amina
0
0
1
@Akilistephen
Stephen akili
15 days
@HildaNewton21 @MilamboMwi77028 Kweli hakitakufa, ila mkiendelea hivi naona kuna watu watamwaga mboga uchaguzi mkuu. ✍️
0
0
1
@Akilistephen
Stephen akili
15 days
@SuluhuSamia Happy birthday Madam President. Nakuombea Afya nje.
0
0
2
@Akilistephen
Stephen akili
19 days
@HildaNewton21 Dada Hilda, Mh lissu ameshakuona nawe soon unateuzi yako. Hivyo tulia mkaendeleze chama, october sio mbali.
0
0
0
@Akilistephen
Stephen akili
21 days
@Eric__Bernard Bora CCM kuliko FAM. Hii ni chuki binafsi.
0
0
0
@Akilistephen
Stephen akili
21 days
@HildaNewton21 @dmwaiteleke1 Leo mnakataa kwamba hamkusema ndani ya chama chenu kuna rushwa? Pia hayo matusi na kashfa mnadhani mwisho wa siku nini kitatokea? Kazi ya Jeshi ni kulinda amani na usalama pale ambapo watahisi vinginevyo. Msianze sababu........
2
0
2
@Akilistephen
Stephen akili
21 days
@rose_mayemba @TunduALissu @HecheJohn Hao watu mbona kwenye maandamano yenye maslahi ya nchi hawaonekanagi?
0
0
0
@Akilistephen
Stephen akili
21 days
@rose_mayemba Hivi kwa matusi mnayotukanana, kashfa mnazopeana na juzi kwenye chaguzi ya bavicha watu walitaka kupigania au walipigana kisa tetesi za rushwa. Je! Kwa grounds hizo, Vyombo vya usalama vikae kimya? na ukizingatia Leo ndio uchaguzi mkuu wa chama? Msitafute sababu jamani.
1
0
2
@Akilistephen
Stephen akili
22 days
@JiniKinyonga @SuluhuSamia Kweli kabisa Mh Rais wetu ingilia kati hili swala ili aweze kupata dhamana.
0
0
0
@Akilistephen
Stephen akili
22 days
@HecheJohn Mara paaap!!!!! Umekuwa mmsaidizi wa mbowe 😂😂😂😂.
0
0
0
@Akilistephen
Stephen akili
22 days
@rose_mayemba @jjmnyika Asiyekubali kushindwa sio mshindani...Hizo ni nafasi shindanishi kwa wengi, inakuwaje ukajiona Bora kuliko mwingine ikiwa naye ni mwanachama akiwa na sifa ringanifu kama zako au zenu?
0
0
2
@Akilistephen
Stephen akili
22 days
@HildaNewton21 @Twaha_Mwaipaya Dada Hilda, kama wengine pia wanasifa hizo wasichaguliwe? Kanuni imeeleza sifa, kama wenye sifa wapo wengi kinachofanyika ni ulinganifu na teuzi. Sema kwa vile mshakuwa na mtu wenu au mawazo fulani ndio maana inaonekana kosa.
0
0
1
@Akilistephen
Stephen akili
22 days
@HildaNewton21 @edwinbaraza5 @chiefmaro Dada pole, think wisely.
0
0
0
@Akilistephen
Stephen akili
22 days
@HildaNewton21 Mngetumia busara na njia sahihi toka mwanzo kwenye mageuzi mliyotaka, nadhani haya yote yasingetokea. Msicheze na mtawala, hasa mtawala aliyejiwekea mizizi kimaandishi.
0
0
1
@Akilistephen
Stephen akili
22 days
@heche_edward @Sativa255 @jjmnyika @Twaha_Mwaipaya @rose_mayemba Nakuelewa msomi....hapa ni busara ingehitajika na hasa kuelekea uchaguzi mkuu. Sijui itakuwaje na pande hizi mbili katika uchaguzi mkuu.
0
0
0
@Akilistephen
Stephen akili
22 days
@heche_edward @Sativa255 @jjmnyika @Twaha_Mwaipaya @rose_mayemba Msomi, inawezekana hao uliowasema wanazo sifa kulingana na kanuni...Je, hakuna wengine wenye sifa? Kama wapo basi kinafuata ulinganifu na ushindani then anateuliwa mwingine. Yupi sahihi inategemea na upande wa mtu wao ameshindwa au ameshinda.
1
1
1
@Akilistephen
Stephen akili
22 days
@HecheJohn Ndio siasa hio kaka....poleni sana na mjipange mpya na mageuzi.
0
0
0
@Akilistephen
Stephen akili
22 days
@mdudenyagali Mdude, wewe na unaowaamini kwa miaka yote mlikuwa chama gani kiasi hamkudhibiti hayo yote mnayoyapinga Leo? Na hao unaowaamini walikuwa viongozi wakuu ndani ya chadema, but leo wamekuwa wanakombozi? au kuna wengine? Zote ni siasa tu.
5
0
0