Jokate Mwegelo
@jokateM
Followers
1M
Following
13K
Media
4K
Statuses
46K
Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, Presidentโs Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
Tanzania
Joined October 2011
Kwa unyenyekevu mkubwa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutupatia sote zawadi ya uhai. Namshukuru Mhe Rais @SuluhuSamia kwa kuendelea kuniamini na kunipa dhamana ya uongozi. Kisarawe nawashukuru sana mmenilea, mmenijenga. Mtabaki moyoni mwangu!. HODI HODI Temeke ๐น๐ฟ
832
376
6K
Niediiiiiii. Kooogwe Muendeeaa Zeze? .Niitamiwe Sana Kuiza Aha Leo. Kangi Hata Inyi Muitamilwe Eeehh? โบ๏ธ. Asante Mheshimiwa Rais Dkt @SuluhuSamia Kazi Iendelee Korogwe ๐น๐ฟ
331
176
5K
Moja kati ya majengo 15 ya shule tuliyoyajenga kati ya mwezi wa kumi na moja mwaka jana na sasa. Pamoja na changamoto kubwa ya mvua. Tumefanikiwa. Majengo yote yana marumaru/tiles na madirisha ya aluminium na ubora umezingatiwa. Tumeweka na vimbweta ๐ #TokomezaZeroKisarawe
686
312
4K
Asante kwa kunipokea na hongera kwa kutumia michango vyema. Hujakimbia na michango ๐
. Hakika ulistahili kupata support ndani ya muda mfupi tumeona matokea chanya. Hongera mno.
Nimepata bahati ya kutembelewa ofisini kwangu na Mheshimiwa @jokateM Tumezungumza machache zaidi nashukuru Sana kwa ukarimu wako umenihamasisha kujituma zaidi. Mungu akubariki Sana kwa kujali, Kuthamini na kutumia wakati wako kwajili yangu. Karibu Tena Mhe hapa ni kwako ๐
๐
130
343
4K
#TBT F4 nilipata B-Physics A-Biology A-Chemisrty na kupelekea kuchaguliwa F5 Msalato kusoma mchepuo wa PCB. Nilibadili maamuzi na kusoma Arts- L.H.S. Ilikuwa Big Deal kwangu mtihani wa Mock/Mkoa kushika nafasi ya Pili Kimkoa kwenye Kiingereza na kutokea kwenye Gazeti la shule ๐
418
160
3K
Ujumbe wangu kwa Piere kwenye ukurasa wangu wa Instagram. Nashukuru wote. Kwangu wote waliochangia na kuhamasisha ni wa thamani. #TokomezaZeroKisarawe
424
371
3K
Siku yako leo mkali wa hizi kazi, kijana mdogo wa Kitanzania akili nyingi- FFN. Hongera Vunja Bei Sports- VS .uzi umetulia sana ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ. ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ @fredvunjabei @bvrbvra
178
113
2K
Tunamshukuru Mungu TUMESHINDA HII KESI. Kuanzia leo Mama Maria yuko huru!!!.
UWT chini ya Mwenyekiti wetu Mary Pius Chatanda tumeona muelekeo wa hii kesi haujawa na haki hivyo kama tulivyojipambanua kuwa kimbilio la wanawake wote nchini na wasimamizi wakuu wa agenda za wanawake nchini tumedhamiria kuona haki inatendeka kwa Maria kupata wasimamizi sahihi
469
231
2K
Nimemaliza leo ahadi yangu yote kwa ndugu yetu Kalage. Kwa dhati ya moyo wangu nakutakia mafanikio makubwa. Sikujui ila naaamini ni Mungu ametugusa kukuunga mkono. Wanasema kutoa ni moyo na sio utajiri. Wengi wanauliza kwanini nimesaidia. Jibu ni rahisi; ni kwasababu namimi.
Napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa Mh @jokateM kwa kuzingatia ombi langu ameniahidi anatanguliza Moja leo nyingine inafuata. Ahsante Sana Mh Jokate kwa kujali, we are going to take Kalage Perfumes to the next level. โค๏ธ
316
334
2K
Ni faraja kubwa kuona namna sisi Viongozi tunavyoshirikiana na Jamii kufanya mageuzi makubwa na kujiletea Maendeleo endelevu. Jamii yenye furaha inajenga Taifa stahimilivu na lenye nguvu. Also; #GirlsJustWantToHaveFun ๐
128
82
2K
Siku ya Leo nimekuwa sehemu ya Watanzania waliopata Chanjo ya kupambana na UVIKO-19. Mhe. Rais @SuluhuSamia ametuongoza. Chanjo ni jambo la Hiari. UVIKO-19 ni tishio kwetu na kwa Maendeleo ya nchi kwa ujumla. Tuendelee kupokea kila lililo jema kwa Maendeleo ya Taifa letu. ๐น๐ฟ
338
148
2K