![TRA Tanzania Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/752423778118987776/hxMEAH-f_x96.jpg)
TRA Tanzania
@TRATanzania
Followers
109K
Following
268
Statuses
4K
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Kwa msaada, Piga simu bure namba; 0800-780078 au 0800110016 WhatsApp 0744-233 333. Barua pepe: [email protected]
Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2016
#TABORA Walipakodi mkoani Tabora wameahidi kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Akizungumza na Walipakodi hao na kujibu baadhi ya hoja zao, Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda amewashukuru Walipakodi mkoani Tabora kwa kuendelea kuiunga mkono TRA.
1
3
18