![Mkendi17 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1659435518201831426/KRPhwzbF_x96.png)
Mkendi17
@mkendi17
Followers
100
Following
86
Statuses
417
Joined May 2023
@IAMartin_ @zittokabwe Hivi katubu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo analipwa tsh ngapi kwa mwezi na je taarifa ziko wazi??
0
0
0
@Dicrayh @MSAMBATAVANGUJ Kwani ukiumwa wew ukawa kwenye hali mbaya ndugu zako wakiomba msaada na ukapona ukaja kushukuru utasema ujaomba msaada ??
0
0
0
@Dicrayh @MSAMBATAVANGUJ Ya prof J niuongo mke wake nilimsikia kwa vyombo vya habari akiomba mchamgo na ya lissu niwanachadema wenyew walipitisha mchango Tuweke taarifa sawa kwanza
1
0
0
@zittokabwe Mh jitahid awamu nyingine pima kwanza afya ya udongo wako ili uweze kujua ni mbolea gani utumie pia zingatia mbegu inayoweza fanya vizuri mazingira ya joto maan mahindi yako yanaonekana yalikosa phosphorus na potasium Ni vyema ukajaribu zao lingine
0
0
0
@IAm_CastoRobert @Rydx_017 CCM ni chama kikubwa na kinawatu wengi sana wenye weledi na utaalamu ila mpk wanampa makamu mwemyekiti mzee wasira kuna kitu mzee anacho na kulingana na siasa za sass zilivyo anahitajika mtu wa kariba ile kupambana na wapinzani wasira atspigs kazi nzuri sana
0
0
0
@IAMartin_ @MsigwaPeter Nilimsikia lema anasema kuwa mbowe alimuonea msigwa , kwaiyo wew ukiwa mpenda haki uliridhia maonezi yale ??
0
0
0
@IAm_CastoRobert @Rydx_017 Mimsingi lissu kwa sasa anakubalika lakini kisiasa wasira anauzoefu mkubwa na anaweza kuishi kisiasa tofauti na lissu
1
0
0
@BILALIHASSANI2 @rollymsouth Wale wanajua wanachofanya sio wajinga ndio maana wanaumarufu na ushawishi kwenye jamii waheshim bro
0
0
0
@kayombo29 @1960Remija Kwaiyo unakataa sio mshahara ndio umemtoa yanga ?? Au taarifa zinazotolewa ni za uongo sio
0
0
1
@RahmaMwita CCM haitumii pesa ya serikali kufanya hayo CCM wanavyazo vingi vya mapato ambavyo vinaweza kufanya hayo
0
0
0