![Leonard Mutani Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1530879900059590656/a-Mw8SAQ_x96.jpg)
Leonard Mutani
@todayslm
Followers
219
Following
12K
Statuses
3K
Freelance Photojournalist, Events planner, Reality, Environment and Wildlife Care
Tanzania
Joined October 2014
@KimaniN75295726 @SheikhPonda Elimu ya hiki ulichoandika huwa ni ngumu sana mtu wa kawaida kuielewa, maana inataka utulivu na kuondoa hasira!.
0
0
0
@ms_tebbe @Deo18Tarimo Hizi siyo mpya (full new bus) ila kipya ni (jengo la basi) kununua bus mpya aina ya Scania Marcopolo yenye guarantee ni wachache wanaweza. Labda kidogo waarabu flani hivi, tena anachukua bus moja/mbili, jamaa zetu hawa ni ujanja wa kiufundi tu. Although kufanya hivi pesa iwepo.
0
0
2
@EngMapundajr @Jay_Electrician Hivi mnaposema maisha ya Arusha yapo juu huwa mnakusudia nini hasa?.
0
1
1
@Professionature @Mwitah_tz Na hayo yanayokuja siyo kwa phase ya mbagala bali Kimara, Mbezi 😀!.
0
0
2
@kimaramatosa @MSAMBATAVANGUJ Pesa ndogo?. Hata kama raia wanamtizama ni wachache sana hao raia wanaonufaika naye. Ila faida ni kubwa kuliko hasara in 5yrs of leading through our chance!.
0
0
0
@Arnold99460204 @awamisammy Labda "upo marekani labda au tufanye London" lkn no boundaries kupitia X unafanya lolote tu, ndiyo maana kuna jamaa wapo beyond lkn wanafanya kazi zao hapa bongoland. Hivyo tuma pesa tutunze maua hayo kijana 😂!.
0
0
1
@SongalimiJ @MSAMBATAVANGUJ Kwa nini unasema (Chadema mwenzenu) do you mean kila aliye X na anajadili politics ni mwanasiasa either wa CDM or CHAUMA?. Why're these fools thinking mnapenda kutumia?.
0
0
0
@phrankie136 @Enemy_19 Frankie usitulie maanani kila tweet humu, siku hizi X imekuwa ya ajabu sana, vijana wanatafuta engagement ili kupata pesa kwa kuandika jambo lolote iwe anajua au hajui. Kikubwa apate views apate pesa!.
2
0
7
@SongalimiJ @MSAMBATAVANGUJ Mbona umejibu haraka sana bila kusoma na kuelewa ndg @MSAMBATAVANGUJ?. Rudia kuelewa nilichoandika basi!.
1
0
1
@diversity2028 @MengiMunishi @godbless_lema Nafaham hii kauli ina muda na imeibuliwa hili kuamsha hisia za watu kutokana na Elon tweet. Ila kuna waafrika kama mimi hawa ndiyo hawaelewi hata kauli ya Malema ya juzi inamjibu Elon kivipi. Sisi waafrika bado ni wanyonge sana kwa white people!.
0
0
1
@Sativa255 Hii scene inaenda kuokoa maisha ya mtu fulani hapa, watu ndani ya behind ya scene they're very serious to show us fake in reality daa!.
1
0
12
@TBoundBuses @BusWorldTZ @kahama_buses @LadiicOfficial @SouthernBuses @wasafirtanzania @BusesFans @BusWorld_EA @munyamambogo @bajabiri @climberJet Nikiwa kwenye tasnia hiyo as Freelancer kuna wakati nimejiona ni haki yangu kupiga picha mtu, kitu au eneo kisa nimebeba camera. Kuna maeneo ni Prohibited 🚫 no Camera allowed, hata kama camera allowed basi toa taarifa kwa wahusika kwamba una jambo lako na utalenga kitu gani.
0
1
2
@diversity2028 @MengiMunishi @godbless_lema Wanaomlaani Malema kwa kauli yake, mbona hawasemi kauli yake imetokana na nini?. Akiwa ni Msouth hana haki ya kusema japo inaweza kuwa ngumu as we read?.
1
1
3
@mshambuliaji Ingependeza mazoezi kama haya ya nchi kavu yangefanyika kwenye mikoa ya Kigoma au Kagera, naona kabisa huko kungetoa matokeo chanya 😅!.
0
0
10