Mwitah_tz Profile Banner
Mwita C. Mwita Profile
Mwita C. Mwita

@Mwitah_tz

Followers
4K
Following
8K
Statuses
2K

Factual based clarifications on Tanzaniaโ€™s Policies & Legislations | Ufafanuzi | Curbing Informations Gap |

Texas, USA
Joined January 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
10 hours
The construction of 36 office buildings at the Mtumba Government City in Dodoma is nearly finished, with an 89.4% completion rate. This is part of an expansive project to establish a government center in the capital. Following an inspection, it was announced that the project, valued at 738 billion Tanzanian shillings, is well underway. Notably, the Ministry of Information, Culture, Arts and Sports headquarters is 95% complete. So far, and 457 billion Tanzanian shillings have been spent on this development.
12
23
32
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
16 hours
Several companies from France and Egypt, along with numerous local investors, have shown interest in Tanzania's cable transport industry. This interest coincides with the Land Transport Regulatory Authority (Latra) nearing completion of the Cable Transport Regulations, 2024. Also, Latra is also working on the Latra (Licensing of Railway Operators) Regulations 2024 and the Transport Licensing (Exclusive Public Transport License) Regulation 2024.
14
19
38
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
1 day
@EJ_Mwita @KinukaMoriB Huna akili ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
1
0
1
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
1 day
@EJ_Mwita ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
1
0
1
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
1 day
Mwaka 2021/22 report ya CAG ilionesha kwamba utaratibu wa utoaji wa mikopo ya halmashauri una kasoro na mara zote pesa zile hazifikii malengo kusudiwa kwa walengwa (vijana, wanawake na walemavu). Ripoti ikasema, mifumo ilikua corrupted kiasi kwamba katika baadhi ya halmashauri ilikua kama si โ€œkada wa chamaโ€ basi huwezi pata mikopo ile na kwingine watumishi walikua wana tengeneza vikundi โ€œhewaโ€ ili kupata access ya ile mikopo. Sasa, April 2023 serikali ikatoa tangazo la kusitisha ile mikopo ili kufanya mapitio ya mfumo wote wa mikopo ile na moja ya mapendekezo ya CAG ilikua ni kwamba mikopo ile ifumbatanishwe na mifumo ya kibenki ili kuipa sense ya โ€œkibiasharaโ€ na sio kama sasa kuwa na tone ya kisiasa pekee. Fast forward, mwaka 2024 zikatungwa kanuni mpya za utoaji wa hii mikopo ya halmashauri na mwaka huo huo wa fedha 2024/25 serikali ikatenga TZS 234 Billion kwa ajili ya mikopo ila pia ikateua halmashauri 10 za sample (pilot) kwa ajili ya hii mikopo kutoka kupitia bank za biashara (commercial banks) ili tuone kama inaweza kuwa na impact. Halmashauri hizo 10 za sample zilikua DSM yaani Ilala, Dodoma, Kigoma Ujiji, Songea, Newala, Mbulu, as well as Siha, Nkasi, Itilima na Bumbuli na zote zikatengewa pesa za hii pilote phase. Sasa iko hivi; Jana tarehe 9 February benki tatu za biashara ziliingia mikataba ya utekelezaji wa hii program ambazo ni CRDB, NMB na Uchumi Commercial Bank kwa ajili ya utekelezaji wa hii program as pilot kuona kama mapendekezo ya CAG yanaweza kuwa sawa sawa ( Malengo ya jumla ya serikali ni kuona hii mikopo ambayo ni interest free inawafikia watu kama ilivyokusudiwa na si kuwa mikopo yenye tone/sense za ukada etc na kama hii pilot ya 10 LGAs ikifanikiwa basi mama anaweza acha one of the bigges legacy ya utawala wake.
15
24
45
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
1 day
@CpbBOB Huwezi pangia mtu namna ya kutumia bima yake mkuu
0
0
1
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
Hawa wengine wakati mwingine ni inakua discretion ya familia mtu wao atibiwe wapi, na wapi wanapaamini na kwa sababu wengi wanaku na bima kubwa zinazowaruhusu kutibiwa popote, basi inakua ngumu kuilazimisha familia mpendwa wao atibiwe wapi kwa sababu pia hatuna sheria inayolazimu hivyo.
1
0
0
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
@CpbBOB Last time tumepoteza kiongozi mkubwa alifariki katika hospitali zetu (specifically Hospitali ya Emirio Mzena) sio kitu kidogo at all my brother
1
0
3
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
On February 8, 2025, Tanzania launched the National Physical Addressing System (NaPA) mobile application, aiming to revolutionize transportation services and enhance security for both drivers and passengers. The app utilizes geolocation technology, allowing users to input their home or business addresses, enabling drivers to locate passengers with pinpoint accuracy, thereby reducing travel time and improving safety. Countries like Kenya, India, and Rwanda have successfully implemented digital address systems, leading to improvements in ride-hailing services and emergency response. In Kenya, for instance, integrating digital addresses into taxi-hailing apps has reduced response times and improved customer satisfaction. Download it NOW
14
22
32
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa mara ya kwanza inaanza uandikishaji wapigakura kwa wafungwa, wanafunzi wa vyuo vya mafunzo na mahabusu kwa kuweka vituo kwenye magereza yote Tanzania Bara na Zanzibar. Jumla ya vituo vya uandikishaji 130 vinatarajiwa kuwekwa kwenye magereza ya Tanzania Bara na 10 upande wa Zanzibar. Kwa sasa kanuni ya 15(2)(C) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari, imeweka utaratibu wa kuwezesha wafungwa, wanafunzi wa kifungo cha chini ya miezi sita na mahabusu kuandikishwa kuwa wapigakura.
6
12
30
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
@EJ_Mwita ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
1
0
1
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
@EdwinNtundu Read to learn then my good brother
0
0
2
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
@CpbBOB Learn
2
0
1
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
@gabyconscious ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
0
0
0
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
@gabyconscious ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ unaelewa haya mambo wewe. Nchi ina vitu vingi sana hii aisee
1
0
2
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
@CpbBOB Be open to learn brother.
1
0
1
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
@CpbBOB Kuna vitu vingi sana huna uelewa navyo my brother. Learn to learn Sir
1
0
3
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
2 days
No Coincidence
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
3