![JACOBUDA Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1302517974784507904/IWtncpUR_x96.jpg)
JACOBUDA
@EdwinNtundu
Followers
104
Following
1K
Statuses
685
@ElastoMbel20817 @prossoff Elimu siku hizi inanunuliwa na ushindani Gvt schools hakuna elimu madhubuti km zaman kumuandalia mazingira ya kielimu mwanao kwa uwezo wako ni Jambo jema km huwezi afford ni sawa kumpeleka shule za uwezo wako bila kujiumiza
0
0
0
@Thereal_taivina Km Kuna ushahidi as u stated ni kwenda mbele kudai haki ukianzia na Gaming Boards of Tanzania ambao ndo wasimamizi wa bashiri Tanzania
0
0
0
@samuelmway @BenjanhoA Kwa mwaka anaingiza almost 9B kwa mahesab yako Uhalisia unajua maisha anayoishi? Mtu wa 9B per year unajua status ya maisha yake inabid iweje? JITAFAKARI...
1
1
6
@Phbhimself All major channel USA zinamilikiwa na whites Tena wenye asili ya kiyahudi Kanye says all wamejitahid sana kumuangusha na kwel Oprah ni mtu snayetumika na mfumo wa watu weupe
0
0
0
@Wakazi Shida ya series za sasa Gayish things za kumwaga sana.... Mazingira ya wengi na movies qmbazo tulikuwa na access nazo ni genre ya action movies plus hizi series zinqhitaj attention to details na wengine kitambo shule tulizopitia hazikutupa ubobevu wa kung'amua lugha
0
0
1
@prossoff Chanzo ni civilization na modernization kukua kwa miji kipindi iko kuishi kwa social na communical village kwa number ya 200 people kupata bikra rahisi sasa unaiahi kwenye jamii ya less than 3.5m iyo bikra unaipata wap? Tuangalie roots kwanza
0
0
0
@INFLUENCERjr @sokomoko_tz Mond with limited access ya media kipindi kile na social media hasingetoboa Mond kajua kujipimp sana kwenye promo na it work out well Wakina Nature ilikuwa kazi tu
0
0
0
@INFLUENCERjr @J_Camavinga Hamchotwi shida hamjawai kushuhudia their Era.... Inakuwa shida kufanya comparison
1
0
1
@INFLUENCERjr Km hizi social media zingekuwepo by then Mond hafikii umarufu wa Nature hata nusu Jamaa alikuwa kipenz haswaaa wa watu labda wew ulikuwa mdogo sana
0
0
1
@Phbhimself Hili Jambo kwa matajiri hasa athletes na wanamusic waliofanikiwa uko ughaibuni limewatia kwenye umaskini sana Simple cases za Tiger Woods Bezo na wengine almost half of their fortune zimegawanywa
0
0
0
@Thommunkondya Yote unayoeleza ndo inabidi ifanyike hivyo... Jambo la kujiuliza wenye mamlaka ya kusimamia Wana nia na utashi huo.. Km ujenz wa mashimo ya vyoo bado tunategemea foreign aid.. Uamuzi kwa wenye maamuzi bado changamoto wananchi ndo tutapata maumivu
0
0
0
@George_Ambangil Analeta Mambo ya Ladack Chasambi acha tuone kwenye civilized world how they react
0
0
1