INFLUENCERjr Profile Banner
WHYMYCATISSAD Profile
WHYMYCATISSAD

@INFLUENCERjr

Followers
300K
Following
477K
Statuses
271K

Only Person on X who doesn't Claim to be a Social Media Guru. Mwanasheria wangu @MiriamMkanaka

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 month
Kila mtu anachotaka ni kujiondoa kwenye duara la umasikini, tupeane support, tuvumiliane, tupeane connection, tuombeane na tupendane. 2025 ukawe mwaka wa mafanikio kwetu sote.
29
102
573
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
7 minutes
Kwa hii foleni ya leo Kimara nusu saa nzima inakatika upo barabarani tu hapa niende tu Makumbusho kwenye ofisi za @softfinancetz maana wanasemaga wanatoa mkopo ndani ya dk 45 tu ninunue hata kipikipi haka nitambe mjini. Mjini #MpangoPesa
Tweet media one
0
2
4
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
10 minutes
RT @nikonekt: Tuwalinde wasichana mitandaoni. Katika kuhakikisha tunachochea ubunifu na ugunduzi fursa mpya za kidijitali ni jukumu letu k…
0
9
0
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
36 minutes
@Godie_StarboeII Hakuna mwanamke mlevi mwenye mwanaume mmoja kaka
0
0
0
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
36 minutes
RT @Godie_StarboeII: @INFLUENCERjr Nilimwambia alipomaliza form 6 "Tabia yako ntaipima siku ukienda chuo maana uko unaenda kuwa huru Na kam…
0
1
0
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
36 minutes
Unaweza kupotezana na mwana karibu miaka 5 na siku mkikutana mabadiliko ya kimuonekano kati yenu yatakuwa machache sana, potezana na mwanamke miaka 2 siku mkikutana kasheshe πŸ˜‚πŸ˜‚
5
6
48
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
40 minutes
@MiriamMkanaka Mpira wa Bongo utamshinda huyu
1
0
1
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
53 minutes
@sonnino123 @spana_Konki We fala unachochea πŸ˜‚πŸ˜‚
0
0
0
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
54 minutes
@MagoigaS @spana_Konki Agenda must agend kaka
0
0
0
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
54 minutes
@Uncletony90 πŸ˜‚
0
0
1
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 hour
@Iam_Atick πŸ˜‚
0
0
0
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 hour
RT @MijuLee_Tz: NAOMBA RETWEET πŸ”₯ Je, Unajua kama 1XBET wana odds kubwa na options nyingi zenye ushawishi? Ukiweka pesa tu unapewa bonus y…
0
24
0
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 hour
@HassanaliMpita @spana_Konki Spana wanamuogopa πŸ˜‚πŸ˜‚
1
0
1
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
1 hour
@y_andason Bajabiri na Kitenge ni kitu kimojaπŸ˜‚
1
0
1
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 hours
RT @babalao__: Ndugu yetu kaamua kutuuza aachane na mitandao. Kama unahitaji njoo niku connect naye. (Followers ni OG sio wa ku boost) htt…
0
4
0
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 hours
@anon_codex Akileta utani halambi hata mia, nimpe 1M? Yaani laki laki kumi? MichezoπŸ˜‚
2
0
9
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 hours
@Eric__Bernard Kwa Injili hii milio ni lazima πŸ˜‚πŸ˜‚
0
0
4
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
2 hours
Mtoko wa Valentine usihangaike kutoka na cash au kadi maana ukikuta Lipa Hapa unamaliza kila kitu Lipa Hapa ipo Mtaani kwako kukuokoa kwenye Valentine hii Ukiona Lipa Hapa, maliza bili kwa SimBanking App au piga *150*03# BURE #SwahibaNaWeweUmo
3
12
17