![Uncle Tony Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1625601886144417792/Fyx8O6Yh_x96.jpg)
Uncle Tony
@Uncletony90
Followers
8K
Following
353K
Statuses
12K
😂😂😂Ila hii ligi yetu
Hapa sasa ndo ile Mixer ya Ubaya Plus Ubwela inakutana. Huu msimu mambo ni mengi sana. Wake wanaokota kocha Singida BS hawa kocha anatangaza mwenyewe kuwa ni miongoni mwao🤣 Mpaka ifike Mei mapacha wa Kkoo watakabana uwanjani. #RememberTheName
0
0
0
Naona watu wengi wanasema masta analeta ujuaji, ila hata zombee nilisikia akisema hizo ishu za Arabic na akasema ndio maana waimba bongo fleva wengi ni waislam sababu ya hiyo. Na ukiangalia inakuja hivi
“Lady Jaydee hajawai kuimba Bongo Fleva, ili uimbe pure Bongo Fleva ni lazima uwe umepitia madrasa kwasababu Bongo Fleva ina fusion ya arabic” -Master Jay
0
0
0
@VodacomTanzania nimenunua umeme toka jana mpka saivi token hamna nimepiga TANESCO wanasema huo muamala kwao haupi shida nini?
1
0
0