Adam Dango
@adam_dango
Followers
43
Following
602
Statuses
738
student of the wise master
Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2017
Ajenda kuu ni uzalishaji thamani, maana hiyo ndio dawa pekee ya kuondokana na umasikini. Tunawashangaa nyie msioongelea uzalishaji thamani, hujajifunza kitu kwa kaka yako boni yai, ama umefika kwake na ulikua kipofu. Hamna majibu zaidi ya kuongeza uzalishaji thamani. Tanzania 🇹🇿 kuwa 1. Kitovu cha utalii Afrika 2. Kitovu cha utalii wa afya EAC & Kati 3. Kapu la chakula la afrika 4. Kitovu cha uchukuzi EAC & Kati 5. Kitovu cha nishati Afrika mashariki na kati. Sayansi ni uthibitisho wa matokeo.
0
1
0
RT @Jambotv_: VIDEO: Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, limepitisha bajeti ya Shilingi Bilioni 53…
0
6
0
RT @HusseinBashe: Tumeanza majaribio ya kuboresha uzalishaji wa pamba katika mikoa ya Tabora, Shinyanga, na Simiyu kwa kuhakikisha vijiji v…
0
57
0
@lifeofmshaba Sayansi ni uthibitisho wa matokeo. Naona msiiongelea uzalishaji wa thamani mmeishiwa mpaka mna Ingia kwenye riwaya sasa, hadithi za kutunga. Hadithi yako isiyothibitika kwa ushahidi inatufundisha nini mtoto mzuri?
0
0
0
Ajenda kuu ni uzalishaji thamani, cdm hawaongelei uzalishaji thamani. Wanataka uongozi wa nini? CCM wanataka🇹🇿 kuwa; 1. Kitovu cha utalii Afrika 2. Kitovu cha utalii wa afya EAC na kati. 3. kapu la chakula la Afrika 4. Kitovu cha uchukuzi EAC na kati 5. Kitovu cha nishati
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewajibu vikali wanaodai kuwa hakuna kilichofanyika tangu Tanzania ipate uhuru, akisema kuwa kauli hizo zinatokana na kutojua historia ya maendeleo ya nchi. Akizungumza katika Ofisi ya Makao Makuu ya CCM wilayani Tarime, Mkoa wa Mara, Wasira amesema kuwa maendeleo yaliyofikiwa ni makubwa na yanaonekana wazi, huku akisisitiza kuwa CCM imeendelea kutekeleza maono ya ukombozi wa kisiasa na kiuchumi kutoka kwa vyama vilivyoasisi uhuru wa nchi- TANU na ASP. "Wapo wanaosema miaka 60 hakijafanyika chochote, lakini ni kwa sababu hawajui wanachokisema. Mimi niliijua Tarime kabla ya uhuru, na leo hii Tarime ni tofauti kabisa. Watu wa Tarime wa sasa wanajua kusoma na kuandika, wana huduma bora za afya, na miundombinu imeimarika," amesema Wasira. Ameendelea kueleza kuwa serikali ya CCM imeleta mabadiliko makubwa nchini, hasa ndani ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan, ikiwamo ujenzi wa madarasa mapya na vituo vya afya vyenye vifaa vya kisasa. Wasira pia ameikosoa CHADEMA, akidai kuwa chama hicho hakina mshikamano wala ajenda zenye tija kwa wananchi. "Juzi wamefanya mkutano Dar es Salaam, wamegawana fito. Mmoja kaenda na ya kwake, mwingine kaenda na ya kwake. Hicho ni chama kweli? Halafu wanakuja kuwaambia watu wa Tarime wawapigie kura kwa sababu gani?" amehoji Wasira. Amewataka wananchi wa Tarime kuendelea kuiamini CCM kama chama pekee kinachotekeleza maendeleo ya kweli kwa Watanzania.
0
1
0
@Jambotv_ Ajenda kuu ni uzalishaji thamani, cdm hawaongelei uzalishaji thamani. Wanataka uongozi wa nini? CCM wanataka🇹🇿 kuwa; 1. Kitovu cha utalii Afrika 2. Kitovu cha utalii wa afya EAC na kati. 3. kapu la chakula la Afrika 4. Kitovu cha uchukuzi EAC na kati 5. Kitovu cha nishati
0
0
0
@John_Pambalu Tumemsikia hoja zake, lakini ajenda kuu ni uzalishaji thamani. Sayansi ni uthibitisho wa matokeo
0
0
0
RT @HistoriaYetu: HEKAYA FUPI YA BOSI WA BENKI YA CRDB, ABDULMAGID NSEKELA Miaka 25 iliyopita, Abdulmajid Nsekela alikuwa kijana anayepoke…
0
54
0
RT @TheCitizenTz: The Dar es Salaam Special Zone Police have announced the temporary closure of four major roads leading into the city cent…
0
11
0