![(---) Onesmo Mushi Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1388258048532172806/srcRqARa_x96.jpg)
(---) Onesmo Mushi
@EduTalkTz
Followers
36K
Following
17K
Statuses
50K
EDUCATION | Social Justice | #SDGs 4 & 8 | Decolonizing | The People
Germany
Joined April 2021
RT @HecheJohn: Unaita vijana kwamba kuna ajira za ualimu, wanaomba ajira vijana 15,136. Alafu eti waliochaguliwa kwenda kwenye usahili hatuβ¦
0
184
0
Huwa mnawaona watanzania kama wapumbavu fulani hivi wasioelewa Dunia inapokwenda. Hivi wabunge wasingekuwa na maslahi makubwa tena mara dufu zaidi ya haya leo madaktari, wanasheria, na wafanyabiashara wakubwa wangekimbilia bungeni??
Umewahi kuwa mbunge Martin? Jambo usilolijua ni usiku wa kiza ila mnapotosha jamii mno. Wabunge wangekuwa wanapata maslahi makubwa huyo lissu angeomba achangiwe kununua usafiri? Prof J angeanza kuchangiwa matibabu? Ofisi ya Spika ndiyo ina hayo majibu sio hao wabunge walioshindwa
1
1
4
Tunarudi kule kule shangazi @fatma_karume , Ndugai alikosa kilichomsababisha akanyangβanywa USPIKA? Kusema nchi inakopa sana na kuonya kwamba tusipokuwa makini tutaingia matatizoni lilikuwa kosa linalomstahilisha adhabu ile??
1
4
12
Hili jambo huwa silielewi kabisa. Mbunge huwa analipwa mshahara wa nini ikiwa kwenye kila kikao analipwa tena posho ya kitako??
Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania. Mshahara & Posho β Sh16.5M (mwezi) Posho kujikimu β Sh250,000 (siku) Posho kitako β Sh220,000 (siku) Kiinua mgongo β Sh272M (5yrs) Mkopo gari β Sh90M (5yrs) Mfuko wa Jimbo β Sh55M (mwaka) Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho ziara za mafunzo ughaibuni Posho za vikao kamati & semina Mkopo mkubwa β dhamana ubunge Bima ya afya kwa familia, BURE Passport hadhi ya kibalozi, BURE Mshahara hauna makato yoyote. Hakuna makato mifuko hifadhi ya jamii MBUNGE bungeni.ππ½
2
0
7
RT @IAMartin_: Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania. Mshahara & Posho β Sh16.5M (mwezi) Posho kujikimu β Sh250,000 (siku) Posho kitako β Sh220,00β¦
0
140
0
@Barakamaftah Kama Yuda alitimiza mpango wa Mungu, maana yake alikuwa kwenye mpango wa Mungu. Sasa hapa analaumiwa kwa kumsaliti nani ikiwa amatekeleza script?
1
0
3
Aishangazi CCM kufanya walichozoea kukifanya kila mara, tunapaswa kushtuka mambo haya yakifanywa na wapinzani.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kuanzia leo Februari 10, 2025 kwa tuhuma za kukiuka Katiba na maadili ya Chama hicho. Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wa Januari 19, 2025 akidai kupitisha kwa wagombea hao (Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania Bara) na Dk Hussein Mwinyi- Zanzibar) kumekiuka Katiba ya CCM. Soma zaidi:
0
2
17
@Roma_Mkatoliki πππ simfuatilii sana lakini performance za Super Bowl kwenye miaka hii saba nane nimezifuatilia kwa ukaribu.
1
0
2