LuhagaMpina Profile Banner
Luhaga Mpina Profile
Luhaga Mpina

@LuhagaMpina

Followers
17K
Following
4
Statuses
118

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi.

Joined July 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
15 hours
Ujenzi wa SGR Lot III & IV unakabiliwa na wizi mkubwa. Serikali ituambie kwanini iliacha kutoa tenda kwa ushindani na ikatumia ‘Single Source,’ ambapo gharama ya 1km iliongezeka kutoka Sh. 1.4b/- hadi Sh. 3bn/-. Waziri wa Fedha anapaswa kutoa maelezo ya kueleweka juu ya hili.
110
287
2K
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
4 days
Kwa hali ya uchumi tuliyonayo hatukupaswa kusherehekea miaka 48. Miaka 48 hii ukiitazama vizuri, hakuna cha kupongeza, labda tuingize siasa kama ilivyofanyika. Dubai ina chini ya miaka 45, tazama ilivyo tutazame na sisi.
196
297
2K
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
19 days
Hivi ndivyo mwenyekiti wa chama anavyopatikana. Kuna funzo kubwa sana kwetu.
396
925
7K
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
19 days
Hongera sana Tundu Lissu. Salama binafsi zitafuata kwenye simu na kuendeleza maongezi yetu yale.
218
531
5K
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
22 days
Ahsanteni wajumbe kwa kutuletea Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kama mgombea wetu katika mbio za Uchaguzi Mkuu. Watanzania wanakupenda, wanakuamini na watakwenda kukuchagua kwa ushindi wa kihistoria.
Tweet media one
35
5
148
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
24 days
Mawazo yetu juu ya chama chao hayawezi kuwa yaleyale baada ya uchaguzi wao kuisha. Wamevuana sana nguo.
43
16
317
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
29 days
RT @Jambotv_: VIDEO: Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema wanaomsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan…
0
155
0
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
29 days
Namfahamu Heche kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Kwa sauti hii naweza kukiri ni yeye kabisa. Kama ni yeye, kwanini hazungumzi haya hadharani, anamhofia Mbowe? Kama ni yeye, kwanini anatumia maneno ya kibaguzi kama Uzanzibari na kumbagua Mh. Rais kwa jinsia yake? Nafuatilia zaidi.
@magogonidaily
Magogoni Daily
29 days
Mnafanya kosa kubwa sana na hakika hamtabaki salama kwa kauli, fikra na matendo haya mnayofanya gizani.
28
5
35
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
1 month
Mtu anayeweza kukufungia siku tatu ndani bila kukuteka na kukuambia cha kufanya lazima atakuwa anakumudu mno.
3
5
70
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
1 month
Demokrasia iliimarika zaidi ulaya baada ya kufanikiwa kutenganisha serikali na kanisa, hiyo ni tangu karne ya 18 kuingia 19. Leo karne ya 21 huwezi kujiita chama kinachopigania demokrasia halafu bado maamuzi ya ndani ya chama chako yanaamuliwa na kanisa. Kwanza kwanini Kanisa?
64
51
562
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
1 month
Mahitaji yetu ya mbegu bora kwa mwaka ni tani 127,650 2024/25. Uzalishaji wetu wa mbegu kwa 2024/25 unatarajiwa kuwa tani 80,000 tu. Kati ya hizo tani 80,000, tani 8,568 zitazalishwa na serikali na 71,432 zitazalishwa na sekta binafsi. Kichwa kinauma sana.
8
5
58
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
1 month
Nahitaji kujua, alisema lini kwamba hana ndoto za kugombea uwenyekiti wa chama chake? Vijana wangu wamenitumia hiyo video hapa. Siku hizi kuna mambo ya Ai sana, ni kweli aliwahi kusema? Kama ni kweli aliwahi kusema, atoke atueleze kwanini anagombea sasa, atupe sababu za ukweli.
81
26
345
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
2 months
Mwarabu na Ngamia Jangwani jua la utosi, Mwarabu akajenga hema kupumzika, yeye akiwa ndani Ngamia nje. Jua likazidi nje, Ngamia akaomba aweke kichwa tu ndani ya hema kujipoza. Mwarabu akakubali, Ngamia akazidi kuingia taratibu na mwisho, Mwarabu akijikuta nje na Ngamia hemani.
25
42
343
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
2 months
Kwani mtoto wa Mama ni nani zaidi ya kuwa mtoto wa Mama? Ni mtumishi wa umma, anafanya kazi hazina au ni mfanyakazi ofisi binafsi ya Mama yake? Kwani Makamu anamdai Mama au anaida Serikali ya Mama, Kwanini ipitie kwa Mama Makamu alipwe fedha zake? Kuna sehemu ukweli hausemwi.
41
93
567
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
2 months
Vyama vingi vya ukombozi 1960's vilikawia kukomboa nchi zao kutokana na uwepo wa mashushu wa wakoloni ndani ambao walitumika na wakoloni kuvujisha siri za harakati. Hata leo, wapo vijana ndani ya vyama siasa ambao ni vibaraka wanaotumika kufanya biashara ya SIASA na UCHONGANISHI.
51
109
709
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
2 months
Vita imetoka nje, imehamia ndani, mtawala anacheka.
37
38
585
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
2 months
Makamu Mwenyekiti wa chama anatoa tangazo muhimu la yeye kutaka kugombea nafasi ya uwenyekiti wa chama lakini anatoa tangazo hilo nje ya Makao Makuu ya chama. Nini maana yake? Mwenyekiti aliyekuwepo hatofurahi? Ana hofu na usalama wa maisha yake? Au amenyimwa ukumbi?
130
51
676
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
2 months
Nimemsikiliza Kaka yangu kwenye mkutano wake na waandishi wa habari mwanzo hadi mwisho lakini, nimemaliza nikiwa na ukakasi mkubwa kwenye mambo mawili moja, chama kukosa usimamizi mzuri wa fedha, ndio miaka yote hiyo? Pili, kwanini anaongea leo, au kwa sababu anataka kiti?
133
58
900
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
2 months
Wasiwasi wangu ni kwamba kwenye kugawana fito mmoja atachukua fito mbichi.
19
15
301
@LuhagaMpina
Luhaga Mpina
2 months
Bado tuna tatizo la kuwa na watu imara kuliko taasisi imara. Vyama vyetu vya siasa bado sio imara, sheria na kanuni zake haziwezi kujisimamia isipokuwa kwa baraka za mwenyekiti, kidogo CCM imejitahidi kwenye hili, ila vyama vingine mhimili wa chama ni mtu, akiondoka kimekufa.
51
29
314