![Hussein M Bashe Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1326169145810051077/Z-CFlCIM_x96.jpg)
Hussein M Bashe
@HusseinBashe
Followers
562K
Following
3K
Statuses
5K
Minister, Ministry for Agriculture | MP - Nzega Urban Constituency | Farmer | Politician #TanzaniaKwanza
Nzega/Dar es salaam
Joined November 2011
📍Rome, Italy 🗓️ 12.02.2025 Leo nimepata heshima ya kumwakilisha Mhe. Dkt. @SuluhuSamia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika ufunguzi wa Kikao cha 48 cha Baraza Kuu la Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD). Kikao cha 48 cha Baraza Kuu la IFAD ni mkutano wa siku mbili, kuanzia tarehe 12 - 13 Februari 2025, wenye kaulimbiu kuu “Kuchochea Uwekezaji Katika Hatua ya Kwanza”. Kwenye hotuba niliyosoma kwa niaba ya Mheshimiwa Rais, nimeweka wazi kuwa ajenda ya Tanzania katika kilimo ni mfumo wa chakula wenye mtazamo wa kujilisha na kuuza kibiashara. Tumesisitiza umuhimu wa kuongeza uzalishaji, miundombinu ya umwagiliaji, ajira kwa vijana, matumizi ya teknolojia, masoko, na upatikanaji wa fedha ili kuimarisha sekta ya kilimo na kuchochea ukuaji wa uchumi. Kuna uhitaji wa hatua za kimkakati na endelevu za kusaidia maendeleo ya vijijini, kupitia jitihada mbali mbali kama mabadiliko katika mfumo wa kifedha wa kimataifa ili kuwezesha upatikanaji wa fedha kwa wakulima wadogo, kuboresha teknolojia, mbegu na mbolea, na kupunguza utegemezi wa kilimo cha mvua. Tanzania inathamini ushirikiano wake na IFAD kwa zaidi ya miaka 40 katika kuhakikisha usalama wa chakula na ustawi wa jamii, sambamba na malengo ya maendeleo endelevu (SDGs 1 & 2) kuhusu kutokomeza umaskini na njaa. Kazi Iendelee. Cc @ikulu_mawasiliano
#IFADGoverningCouncil
13
26
87
RT @FranceTanzania: 🌱💧 Kilimo endelevu kinahitaji maji ya uhakika! Mradi huu wa #majikwachakula umewaletea mabadiliko chanya wakulima hawa…
0
2
0
RT @CarolNdosi: @ItsKamala Updates coming soon but kundi la pili wako Ndogoe wanaendelea na msimu saa hii na Chinangali walishakabidhiwa ha…
0
7
0
RT @SuluhuSamia: I am deeply saddened to learn of the passing of the Founding President and Founding Father of the Nation of the Republic o…
0
496
0
Tumeanza majaribio ya kuboresha uzalishaji wa pamba katika mikoa ya Tabora, Shinyanga, na Simiyu kwa kuhakikisha vijiji vyote 40 vinapata matrekta, maafisa ugani kupitia BBT, na matumizi ya drones kwa upuliziaji dawa. Lengo ni kutathmini matokeo kabla ya kupanua mradi kwa mikoa mingine, huku tukifanya majaribio kama haya kwa zao la korosho. Tunajenga vituo vya mechanization, spraying, na huduma za ugani ili kulinganisha uzalishaji wa mkulima anayetumia teknolojia hizi na aliyefanya kilimo cha kawaida mwaka uliopita. Pia, tunahamasisha Precision Agriculture kwa kuondoa upuliziaji wa mabomba, kupunguza athari za kiafya kwa wakulima, na kupunguza gharama za uzalishaji. Matokeo ya majaribio haya yataongoza utekelezaji wa mpango huu kitaifa.
31
57
190
RT @DiraYaSamia: SAMIA, SULUHU YA KWELI Katika enzi ya changamoto za kikanda kama mgogoro wa DRC, Tanzania inahitaji uongozi imara, diplom…
0
58
0
RT @DiraYaSamia: SAMIA, SULUHU YA KWELI – Uongozi wa Busara, Maendeleo ya Kweli! Anajenga Tanzania yenye mshikamano, fursa, na ustawi kwa w…
0
39
0
RT @MkindiJackie: Thrilled to engage the high-profile Swiss horticultural buyers at the Fruit Logistica 2025, a premier global fruit & veg…
0
15
0
RT @taha_tanzania: Hon. Prime Minister of Tanzania, @KassimMajaliwa_, applauds TAHA in coordinating the horticulture industry during the Pa…
0
4
0
@MkindiJackie @jumuiya @EABCjumuiya @eacgiz @hendry_yohana @anthonytza @jerrypetersonm1 @undptz @SwedeninTZ @BBuganzi All the best
0
0
2
RT @MkindiJackie: As the Chairperson of the East African Horticultural Council, I am excited to share incredible insights with the CEOs of…
0
13
0
@CRweyongeza Kutokana na sababu zisizozuiliko ikiwemo protocol ya uwepo wa wakuu wa nchi inabidi kwa sasa tufanyie Dar es Salaam. Hata hivyo ni jambo tunalotamani na tunaendelea kutekeleza mipango ya maendeleo ili kuwezesha mikutano mikubwa kama hii kufanyika sehemu mbali mbali nchini
3
0
1
RT @taha_tanzania: TAHA CEO @Mkindijackie is leading a Tanzania high-profile business delegation to #FruitLogistica in Berlin. The premier…
0
6
0
RT @DiraYaSamia: Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kusimamia amani, maendeleo na mshikamano wa Watanzania. Tutaendelea kusonga mbele kwa kasi…
0
49
0