![RememberTheName Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1663829022667595776/f7tm9oa3_x96.jpg)
RememberTheName
@albogastbm
Followers
7K
Following
7K
Statuses
10K
'Versatile' Broadcast Journalist | Digital Content Creator | Radio & TV Program Producer | @eastafricatv | @earadiofm | Jiunge na Barca 👇
Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2012
Habari kwa Maendeleo Endelevu ✍️
#PICHA Mhariri Dawati la Habari EATV/EA Radio Elbogast Myaluko (@albogastbm) (kushoto) akiwa kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2022 linalofanyika kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam leo Desemba 17, 2022. #EastAfricaTV
8
3
113
Pale kwa Meja Isamuhyo Stadium nyumbani kwa Masau Bwire pameumana vibaya vibaya. Baada ya jana Umoja wa Vilabu vya GSM kufurahi leo wamesononeka. #RememberTheName
10
14
452
Msimu huu kama sio Trebble basi uchawi upo🤣 Nawapumulia Real Madrid na Atletico Madrid bado pointi 2 na moja tu. #RememberTheName
4
0
22
Mambo niyapendayo. Sasa hapa dakika za mwisho Real Madrid asawazishe watoke sare. Halafu wote nitawafunga mechi nitakazokutana nao. #RememberTheName
2
0
34
Chama langu Barcelona linanipoza machungu ya Chasambi. Mapema tu chuma cha kwanza. #RememberTheName
2
0
20
Umri mdogo, kipaji kikubwa, Mistake mbili kubwa. Interview kuhusu Maxi. Goli la kujifunga. Unahitaji simu ya @moodewji kukwambia pole na usikie neno lake akisema Usijali ndio mpira. Kisha unahitaji kukaa mbali na simu then kuomba Mungu Fadlu asikuadhibu uwanjani. #RememberTheName
40
22
434
Hapa sasa ndo ile Mixer ya Ubaya Plus Ubwela inakutana. Huu msimu mambo ni mengi sana. Wake wanaokota kocha Singida BS hawa kocha anatangaza mwenyewe kuwa ni miongoni mwao🤣 Mpaka ifike Mei mapacha wa Kkoo watakabana uwanjani. #RememberTheName
5
6
97
Ila kuzaliwa Tanzania tu nayo ni baraka tosha aisee!🤣 Singida Black Stars wanashangaa Kocha wao kitambulishwa Yanga na wanaomba utulivu wakati wanafutilia jambo hilo😀 #RememberTheName
7
4
87
Kaka na dada kupeana mali sio mbaya. Kocha wa Singida Black Stars ametangazwa kuwa kocha mpya wa Yanga. #RememberTheName
3
0
48
Nani ameshabebwa sana mpaka sasa msimu huu, kati ya hawa wanaume 22 wa Dar es Salaam? #RememberTheName
9
0
28
Hispania Real Madrid wanalia kuonewa na waamuzi🤣 Tanzania Yanga wanalia Simba kupendelewa na waamuzi🤣 Miezi kadhaa nyuma hizi timu zilisajili Mbappe na Chama zikiwa kama Complete Squad. Barcelona na Simba zikasajili Academy😀! FOOTBALL mchezo mtamu sana🙌😀 #RememberTheName
106
59
726
Nimeleta Shobo na Man City ona sasa natia huruma bora ningebaki na Barcelona yangu tu tumeshinda goli letu moja safi kabisaa. #RememberTheName
1
0
59
Wikiendi imeisha vyema kwa mashabiki wa Simba na Barcelona. LAMINE YAMAL leo alikuwa kama MPANZU waliamua kuichukua mechi na kuificha miguuni mwao. #RememberTheName #LaLiga #NBCPL
3
8
372
Ukiwa Shabiki wa Barcelona na Simba SC ukaambiwa leo uchague timu yako moja ishinde na nyingine ipoteze UTACHAGUA IPI? Ikumbukwe jana WANANCHI Yanga walishinda na Real Madrid akapigwa. #RememberTheName #LaLiga #NBCPL
5
2
57
Yanga wameshinda lakini nadhani kiufundi kuna vitu bado au uwezo wa mwalimu Ramovic hauongezeki ama bado anawasoma wachezaji wake jinsi ya kuwatumia. Kagera Sugar kwasasa ni dhaifu sana lakini bado Yanga walivyocheza lrp naamini kabisa walistahili kutolewa CAFCL #RememberTheName
21
5
133
BIG GAME - MAN CITY Vs REAL MADRID. Timu zipi 8 zitavuka kwenda 16 bora? #RememberTheName #UCL
0
0
10