J_Camavinga Profile Banner
J Profile
J

@J_Camavinga

Followers
330
Following
947
Statuses
12K

One day, I am going to make the onions cry.

Joined December 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@J_Camavinga
J
9 hours
@LilianLevelian Una mtu?
0
0
0
@J_Camavinga
J
10 hours
@bajabiri Ni mchungaji huyo, type zile za kina geordavie
0
0
0
@J_Camavinga
J
10 hours
@iamdamiano22 Odds 2 haiwezi kuwa kazi, ni rahisi
0
0
0
@J_Camavinga
J
11 hours
@DeManshulla @FKihamu Hauna akili timamu?
0
0
0
@J_Camavinga
J
11 hours
@XXY2092 @KennedyMmari Mengi kaandika ya uongo, 2017 Tanzania tulishika nafasi ya pili kwenye kuzalisha mahindi
Tweet media one
0
0
0
@J_Camavinga
J
11 hours
@KennedyMmari Nakunukuu "...Tanzania has become the second largest maize producer in Africa, a feat we have never attained before..." Hizi taarifa huwa unaota na kuziandika? 2017 tulishika nafasi ya pili pia, alafu unasema hiyo nafasi ya pili we have never attained. Muongo mkubwa
Tweet media one
0
0
1
@J_Camavinga
J
12 hours
@EsirEid Hakuna content,wapo kweli na wanaishi hivyo, wapo bonde la ufa, pia mkoa wa singida Kuacha hao, wapo wengine wanaishi hivyo wanaitwa wamang'ati, na kabila lingine wanaitwa wapokot Kuna wengine hao wanaitwa wabarbaig Tanzania Kuna makabila yanaishi bado Karne ya 10
8
1
28
@J_Camavinga
J
14 hours
@hasheem_ibwe Kweli kabisa, alafu Azam Jana kashinda nyingi mno
0
0
8
@J_Camavinga
J
15 hours
@zittokabwe @ACTwazalendo Hivi kwa akili ya kawaida tu mnajua kuwa ccm haitaathiri maamuzi ya mahakama?? Kabisa mnaamini kwa Hali ilivyo mtapata haki?
0
0
1
@J_Camavinga
J
16 hours
@bajabiri Bongo kila mtu kachanganyikiwa, anapinga kupita bila kupingwa alafu anawakataa wanaopinga kupita bila kupingwa😁😁 Kiswaga ana mtindio huyu😁
0
1
1
@J_Camavinga
J
17 hours
@gladysrikangah @fatma_karume Raisi anakaa madarakani two terms kweli huo Ni utamaduni wao lakini taratibu huzifuata. Form hutolewa moja, huchukuliwa na kurudishwa, sekretariat inajadali jina moja, kamati kuu inamjadiili, alafu mkutano mkuu wa June inampitisha Hii mapema kabisa January ndio imeshangaza wengi
0
0
0
@J_Camavinga
J
17 hours
@bonifacejoseph_ Utapeli huu. Hivi wenzetu hamuoni aibu kila muda kuwa ombaomba?
0
0
4
@J_Camavinga
J
17 hours
@chaggaking @Enemy_19 Watu wanaishi kwa bajeti, anafikiri kila mtu anaweza kuwa ombaomba kama yeye
0
0
1
@J_Camavinga
J
17 hours
@amprincess9 @Doctor_Ruthy Ahsante kwa kukubali
0
0
1
@J_Camavinga
J
17 hours
1
0
0
@J_Camavinga
J
17 hours
@Enemy_19 @ASeciwa Huna lolote ulikua unalia humu machozi uchangiwe alafu leo unashangaa wapambanaji wanaosave Mia mbili zao, au unafikiri wote Ni ombaomba Kama wewe?
1
0
2
@J_Camavinga
J
18 hours
@chaggaking @Enemy_19 Hana maisha yoyote mazuri huyu, alikua analia humu watu wachangie pesa ya matibabu
1
0
0
@J_Camavinga
J
18 hours
@Enemy_19 @ASeciwa Kueleweka vipi? We si ndio ulikua unataka watu wakuchangie pesa ya matibabu, Sasa unashangaa nn hao wanaosave hizo Mia mbili zao
1
0
1