![BOB Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1838989545926180868/v1Vmv0te_x96.jpg)
BOB
@CpbBOB
Followers
739
Following
36K
Statuses
11K
Simba Sports Club & Manchester United
Joined April 2015
@BongeLaAfya Nchi imejaa viongozi wabinafsi sana wangeweka mabasi yakutosha leo hii hakuna mwananchi angetaka kutumia gari binafsi kwenda mjini wanatengeneza matatizo wenyewe halafu wanatafuta suluhisho kwa gharama za wananchi niuninafsi uliopindukia
1
0
0
RT @DearS_o_n: Bro... bro... bro... If you knew just how quickly women can move on from one man to the next, you'd stop trying to impress t…
0
174
0
@liz_churchill10 @africaupdates He can do African one big favour by freezing all Hidden African leader accounts held and repatreat all funds to respective country it will assisting Africa to run their countries without depending foreign aids and will assist to know fraudulent leaders around African continent
0
0
0
@MariaSTsehai @KatibaMpyaTz_ @BungeT @Mwitah_tz mkuu ufafanuzi, you're good at it.Details of the contract and any benefits for the nation asante.
0
0
0
@MariaSTsehai Maridhiano yanataka watu credible kweli kweli katika jamii wasiokua na integrity yenye mashaka yoyote haiwezekana upande mmoja ni mpambe halafu uje kwenye jamii kusema unasimamia maridhiano huu ni mzaha kwa jamii namatumizi mabaya ya nafasi
0
0
0
RT @PathOfMen_: Don't watch porn guys. You literally get luckier in life when you stop watching porn.
0
1K
0
@woopiesnooker @EsirEid Mimi sio mkulima wala sio mtu kati ila naona adha wanazopata nauongo wanaokutana nao! Ukienda kwenye masoko ya madini huwezi kuambiwa acha mzigo hela utakuka kulipwa baadae kwanini kwa wakulima inakua hivyo? Kwanini bei za madini hazipangwi jukwaani? Ukijijibu hayo utaelewa
1
0
1
@woopiesnooker @EsirEid Bei zakupanga majukwaani? Kaka tuwasemee wakulima wetu kwa nguvu kubwa wanataabika sana tunapigwa sana fix ground hali haiendani nawanachosema
1
0
1
@woopiesnooker @EsirEid Wakulima Ruvuma,Rukwa na Songwe wameuza Mahindi kwa bei gani? Na wakipeleka mahindi yao NFRA wanalipwa baada ya muda gani? Tusiwafanyie siasa watu wanateseka shukuru Mungu kama amekujalia shughuli inayokupa kipato kama sio mkulima
1
0
1
@Chiggscom @OleMtetezi Sukari inawapanda nyie ambao hamtaki kusikia uchaguzi huru na wa haki saa nne asubuhi mnakata pumzi
1
0
1
@woopiesnooker @EsirEid Nenda kakope ukalime 😅😅 nchi hii mavuno yakiongezeka inakua kama laana kwa wakulima bei zinashuka mawinga ndio wananufaika nenda katembelee wakulema sio unakaa mjini nakusikia porojo nenda field ukajionee
1
0
1
@woopiesnooker @EsirEid Sasa unaharibu mjukuu wa Wasira🤣🤣hayo ninatokeo ya sera mbovu za vegetables zimeshindwa kushughulika na swala la ajira na kuboresha mazingira ya Kilimo na Masoko yauhakika namna hiyo ndio mnanufaika nyie na ujinga wa watu
1
0
1
@woopiesnooker @EsirEid Watu wako desperate na mambo mengi hivyo sio wakuwashangaa niwakuwaonea huruma naamini tungekua na mifumo mizuri inayotoa fursa mbadala haya mambo yasingekuwepo achana na hawa wa mtandaoni ukienda mtaani ndio utaona madhara zaidi hadi wazee wako kwenye zile ofisi zamikeka
1
0
1