WASAFIRI TANZANIA
@wasafirtanzania
Followers
14K
Following
32K
Statuses
27K
Je, Wajua? Zhongtong Marcopolo, hii ni kolabo ya Zhongtong na Marcopolo kutengeneza basi zenye body ya Marcopolo kwa soko la Asia chini ya usimamizi wa Marcopolo. Hizo bodi zitakuwa na injini ya uhitaji wa mteja kati ya weichai au cummins. #ElimikaWikiendi
0
6
43
RT @Gervasmgaya3: @wasafirtanzania Kusafiri usiku ni Raha ukiwa na gari nzima unaendesha bila kuiwazia kufia njiani 2 kuendesha kwa makiniβ¦
0
1
0