![Dennis Luambano Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/669061074386345984/7YvakEGP_x96.jpg)
Dennis Luambano
@LuambanoDennis
Followers
685
Following
426
Statuses
2K
A Father | Skilled Journalist | Editor | Born July 29| Mikocheni | Tosamaganga & Azania High School | DSJ | College of Business Education (CBE)| UDSM| 🇹🇿
Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2010
@TheRealEkiswaga @MwanaFA Hajakosea. Yuko sahihi kabisa kwa sababu hata mwaka 2020 hakushinda kura za maoni lakini akawa mbunge..
0
0
0
@Michael79781989 @rutaraka @ikulumawasliano @StateHouseKenya @StateHouseUg @SouthSudanGov @TheVillaSomalia @Presidence_RDC @mfa_tanzania @Mindi_Kasiga @ezekiel_kamwaga @dr_makame @allanmzalendo @Ro_Shayo @tzDiscovery @TZMsemajiMkuu @awamisammy Basi tu. Ila kuna mtu leo alipaswa kuzuiliwa asiondoke hapa nchini hadi "anyooshe maelezo", dawa ya moto ni maji sio moto 😂..
0
0
2
@rutaraka @ikulumawasliano @StateHouseKenya @StateHouseUg @SouthSudanGov @TheVillaSomalia @Presidence_RDC @mfa_tanzania @Mindi_Kasiga @ezekiel_kamwaga @dr_makame @allanmzalendo @Ro_Shayo @tzDiscovery @TZMsemajiMkuu @awamisammy PK ni kama "anawachora" wenzake kwa sababu anatuhumiwa kuhusika na mgogoro huo japo anakana hadharani..
0
0
1
@TheRealEkiswaga @kafulila_david @zittokabwe Afadhali ya Zitto, Kafulila NO. Miaka ya nyuma nikiwa RAI aliniambia ana taarifa nyeti ziko ktk flashi. Nikatoka Sinza hadi Tegeta/Kunduchi kumfuata lakini patupu. Nikamwambia Muhingo kwamba jamaa "haaminiki" @rutaraka @ezekiel_kamwaga @thomasjkibwana
5
1
21
@zittokabwe Anaanzaje wakati anataka kupinduliwa? Unakumbuka kilichotokea kwa Nkurunziza alivyokuja Dar? Ila PK anawaambia mabalozi kwamba Tshesekedi hajashinda uchaguzi huku Rais wa M23 alikuwa Chair wa CENI! Unganisha doti @rutaraka @ezekiel_kamwaga @thomasjkibwana
0
0
3
@ezekiel_kamwaga @zittokabwe @JMakamba Eze, serikali ya DRC imeshatoa waranti ya kukamatwa Rais wa M23, Nangaa, kutokana na mauaji ya Goma. Pengine kuna dau "limetangazwa kimyakimya" kwa atakayefanikisha, je, wanaomzunguka wanaweza kushikilia bomba wasimuuze mwenzao? @thomasjkibwana @rutaraka
0
0
0
@HistoriaYetu So, siku hiyo Dk. Kimei alikuwa anamkabidhi Nsekela cheti cha mafunzo ya bima huku akiwa amevalia shati la CCM? @rutaraka @ezekiel_kamwaga @thomasjkibwana @amnsekela
4
0
27
@thomasjkibwana Tom, si kwamba natetea wizi/udokozi lakini kuna matukio fulani yanafikirisha kwamba unatoaje uhai wa mtu kisa tu kaiba mayai matatu? Kuna yule aliyeuawa Kimara kisa alituhumiwa kuiba Sh 200K. Mahakama zipo wapelekwe hao watuhumiwa @rutaraka @ezekiel_kamwaga
1
0
1
@CarolNdosi @elonmusk Huyo ni Rais Kivuli wa Marekani. Kila atakachokisema lazima kitekelezwe na @realDonaldTrump
0
0
0
@swahilitimes Elon @elonmusk ni kama shadow president wa Marekani. Naamini baada ya miaka miwili kuanza sasa ushawishi wake utazidi kupungua @rutaraka @thomasjkibwana @ezekiel_kamwaga
1
0
2
@LarryMadowo Larry, ili kubalance mambo ukitoka hapo nenda kafanye interview na Tshisekedi. Ila vita vya Goma vinashangaza sana. Kila mtu anamlaumu mwenzake kwamba anataka kumpindua! @ezekiel_kamwaga @awamisammy @thomasjkibwana @zittokabwe
0
1
5
@DuniaSlaveDunia Nimeamini maneno ya @fbuyobe kwamba tangu mapigano yaibuke Goma kuna watu wanashindwa kuficha asili zao..
0
0
10
@KennedyMmari Kwa hiyo tukubaliane kwamba @elonmusk ni kama Rais kivuli wa Marekani. Kwamba anachokisema au kukitaka lazima @realDonaldTrump atekelez? Maana katoa kauli ya kusitisha misaada SA na @CyrilRamaphosa akamjibu kibabe @awamisammy
1
0
0