David KAFULILA Profile Banner
David KAFULILA Profile
David KAFULILA

@kafulila_david

Followers
5,034
Following
795
Media
82
Statuses
790

EXECUTIVE DIRECTOR FOR PPP CENTRE - TANZANIA #PPPs #tanzania #Investintanzania

Tanzania
Joined July 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Vyama makini duniani vinapoamua kushirikiana hatua muhimu ni kutafakari Sera na Ilani zao kuzihuwisha kwasababu Ilani hizo ndio mkataba na wananchi. Ukiona vyama kama CHADEMA na ACT vinakamilisha makubaliano bila mjadala wa kisera, elewa ILANI zao ni KANYABOYA!HAWAMAANISHI!
548
86
829
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
JPM amekuta Hospitali za Halmashauri 77 mwaka 2015, kajenga 71ndani ya miaka5.Lissu anasema ni maendeleo ya vitu wakati Imechangia kupunguza vifo vya watoto wachanga kwa 300% kutoka 25 mpaka 7 kwa kila watoto1000 .Lissu ni wakawaida sana kumudu uRais jamani!NI JPM:KAZI IENDELEE
323
92
678
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Tanzania inaongoza kwa bei nafuu ya umeme kwa kaya Afrika Mashariki. Inauza unit1 kwa dola senti10, Uganda dola senti18, Kenya dola senti21 na Rwanda dola senti26.( Global PetrolPrices.com- March2020).Eti ni maendeleo ya vitu☝️! NI-JPM, 5TENA, KAZI IENDELEE!!
147
93
569
@kafulila_david
David KAFULILA
21 days
Ni sanamu la Mwl. NYERERE Ubalozi wetu NewDelh India. Kuna mabingwa wa historia wanasema ni Mwl.Nyerere pekee aliyefanikiwa kujenga nchi moja kuwa Taifa kamili baada ya Uhuru. Ni fahari kuendeleza misingi ya Taifa letu moja ktk dunia yenye changamoto nyingi
Tweet media one
146
46
577
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
TUNDU LISSU ALIPOTUMIA RIPOTI ILIYOFUTWA NA BANK YA DUNIA.BILA SHAKA HAKUJUA. HAKUANDALIWA NA HAKUJIANDAA NAFASI KUBWA HII
130
67
345
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Jukwaa la Uchumi duniani ( World Economic Forum- WEF- 2019) imeitaja Serikali ya Tanzania kuwa ya 28 duniani kwa usimamizi madhubuti wa Fedha za Umma na kuziacha nyuma zaidi ya Serikali 150 zikiwemo Botswana 37, Msumbiji 69, Kenya70, Uganda100, Malawi106. NI JPM- KAZI IENDELEE!
81
58
346
@kafulila_david
David KAFULILA
4 months
Dunia inajengwa kwa mikopo. Deni sasa usd315trn,mara3ya uchumi wa Dunia usd105trn. Vietnam nchi ya mfano kwa kukuza uchumi ktk kipindi kifupi,mwaka2007,uchumi wake ulikuwa usd77bn sawa naTZ leo, lakn uwiano wa deni kwa uchumi kwao ilikuwa43%wkt TZ38%.Ni afya kukopa kujenga uchumi
347
45
323
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Lissu amejibu (VOA) anafanya kampeni bila kuzingatia tahadhari za CORONA kwa sababu sio tatizo Tanzania. Amekiri kuwa walikosea kumpinga JPM. Kenya imewagharimu mikopo ya zaidi ya dola 2.4bn, biashara nyingi kufa! Uongozi ni maono jamani!Sio kuiga tu !Tumebahatika JPM ana maono!
85
68
291
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Imani Huzaa Imani! Kwa mujibu wa Transparency Internation( TI), ripoti ya ya Africa Global Barometer mwaka 2019 ilionesha kwamba asilimia 72% ya watanzania wana imani kuwa Serikali yao inapambana na rushwa na Ufisadi kulinganisha na asilimia 13% mwaka 2015. NI JPM, KAZI IENDELEE!
52
48
258
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Lissu alidanganya ripoti ya Bank ya dunia, tangu akosolewe hajarudia tena. Kafanya vema. Membe nae akadanganya kwamba hakuna Serikali duniani inamiliki ndege ilikuwa aibu kubwa. Sasa wawili wameungana ,nasisitiza waongeze umakini, urais ni kazi kubwa kumpa mtu asiye mkweli
120
68
230
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Nawaza hatma ya madini yetu kama tumeanza kuwa na vyama ambavyo majaaliwa yao kushika dola yapo mikononi mwa Mataifa ambayo kampuni zake zilihusika uporaji kwa miongo mitatu.
89
38
217
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Ingawa kati ya Mwaka 1970 na 1998 ni kipindi ambacho kiwango cha misaada kutoka nchi zilizojiita wahisani kwa Afrika kilikuwa cha juu katika historia lakini ndio kipindi umasikini Afrika uliongezeka kutoka asilimia 11% mpaka asilimia66%. Soma kitabu DEAD AID cha Dr Dambisa Moyo
62
34
194
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Uamuzi wa Rais Uhuru Kenyata kufunga shughuli mbalimbali( Lockdown) kukabili korona ilisababisha watu milioni1.7 kukosa kazi ndani ya miezi3-Machi-Juni(KBS). Najiuliza hali ingekuwaje JPM angefuata mashinikizo ya Lissu kwamba Dar ifungwe kama Nairobi? ..NI JPM, KAZI IENDELEE!
41
33
172
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Ripoti za Shirika la Afya Duniani( WHO) inaonesha maambukizi ya malaria Tanzania yamepungua kwa asilimia 50% kutoka asilimia 14.2% mwaka 2014 mpaka asilimia 7% mwaka 2018. Hii imechangiwa na ukaribu wa vituo vya afya na zahanati ambazo wenzetu wameamua kuziita maendeleo ya vitu
29
33
157
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Achalia mbali mafanikio mengi aliyofanya JPM yanayoacha alama kila jimbo,Namna alivomudu tishio la korona na kuibuka mbabe wa korona duniani, kwa nchi zingine ilitosha kuhitimisha uchaguzi huu.Ulizeni nchi zingine korona imewavuruga kiasi gani mtajua thamani ya mlichonacho.
66
34
160
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Ripoti ya Utafiti wa maoni uliofanywa na Taasisi ya kimataifa kuhusu masuala ya UWAZI( Transparency Internation-2019), inaonesha kwamba ni asilimia 10% tu ya watanzania wanaoamini rushwa bado ni tatizo nchini kulinganisha na asilimia 66% mwaka 2015. NI JPM, KAZI IENDELEE!
21
31
148
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Upatikanaji umeme mijini umeongezeka kutoka 36% mpaka99% na vijijini kutoka 21% mpaka asilimia 69%. Lissu anasema ni maendeleo ya vitu wakati gharama za kutumia mafuta ya taa vijijini ni zaidi ya gharama za umeme! Lissu ni wakawaida sana kumudu uRais. NI JPM, KAZI IENDELEE!..
22
30
149
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Before pointing fingers on Magufuli and CCM, curve it back to your agents for killing innocent citizens in the southern highlands. FYI your well known motive to instigate violence will never succeed.
@SenateForeign
Senate Foreign Relations Committee Ranking Member
4 years
In the lead up to elections later this month in #Tanzania , there have already been attacks on opposition & civic voices, restrictions on the media, & limitations on the freedoms of citizens. There must be a transparent, free, fair, & peaceful process moving forward. #Uchaguzi
146
423
2K
18
40
142
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Sio tu Tz inaongoza kwa bei nafuu ya umeme Afrika Mashariki, zaidi watumiaji wadogo vijijini wanalipa 100/= kwa unit1sawa asilimia 45% ya wastani wa bei ya umeme.Ndio misingi ya Tanzania kuongoza Afrika kwa uchumi Jumuifu(WEF2018). Nafuu zaidi kwa wenye kipato cha chini.
14
33
128
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Wakati Bank ya Dunia ikionesha hali ya umasikini wa kipato Afrika kusini ni tatizo kubwa zaidi kufikia asilimia 55% wanaishi chini ya dola 2( 6600/=) kwa siku, Zambia ni asilimia54%, Rwanda asilimia 38.2%, Kenya asilimia 36.8% na Tanzania asilimia 26%.( WorldBank 2018)..
24
32
127
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Kama tuna mgombea anakosa kauli thabiti kupinga ushoga kwa ahadi za kusaidiwa uchaguzi, nawaza kwa sauti Mwl.Nyerere angempa jina gani na zaidi angeipa jina gani demokrasia yetu...
42
28
115
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
9
40
124
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Taasisi ya Kimataifa kuhusu UWAZI, Transparency Internation ( Global Africa corruption Barometer 2019) inathibitisha kuwa asilimia 72 ya wananchi wana imani na JPM katika vita dhidi ya ufisadi kulinganisha na asilimia 13% mwaka 2015..Mwenye macho haambiwi tazama..KAZI IENDELEE
Tweet media one
19
44
120
@kafulila_david
David KAFULILA
1 year
IMF inakadiria kati ya mwaka 2023 na 2024, Uchumi wa Tanzania utaongezeka kwa $9bn, kulinganisha na Kenya$3bn, Uganda 4bn, Ghana $1bn, Botswana $1bn, Zambia $2bn, Rwanda$500m, Namibia $1bn,Angola $6bn. Changamoto ni nyingi lkn tupo kwenye mstari sahihi.IMF GDP DATA APRIL2023.
42
29
115
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Lissu anaetaka uRais leo ndio huyu aliyepinga uamuzi wa JPM kufuta mkataba wa kampuni ya kufua umeme ya Marekani ( Symbion) ambayo ilikuwa inatuibia zaidi ya $3m( 7bn/=) kwa mwezi kupitia mkataba wake mbovu iliorithi toka Dowans/Richmond sawa na $520m( 1.2Trilion)kwa miaka15..
55
22
112
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
ZAIDI YA 60% YA KODI INATOKA DAR. RIPOTI YA CENTER FOR ECONOMIC PROSPERITY 2010 INAONESHA NCHI INAPOTEZA 4BILIONI KWA SIKU, ZAIDI YA 1.4TRILIONI KWA MWAKA KWA MSONGAMANO WA MAGARI.UNAJENGA BARABARA ZA JUU NA CHINI, SERA DHAIFU WANASEMA MAENDELEO YA VITU. NI JPM: KAZI IENDELEE!
12
31
113
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Uamuzi wa kuruhusu makanikia kusafirishwa nje tofauti na msimamo wa awali sababu yake ipo wazi kwamba sasa biashara yote ya migodi mitatu ya Barrick nchini inasimamiwa na kampuni ya TWIGA ambayo Serikali sio tu mbia bali mwendeshaji pia. UMILIKI, UWAZI NA USAWA ..Hongera JPM
4
33
110
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Sera ya Lissu kuahidi miundombinu ya Umeme kwa kuweka rehani madini( Resources Backed Loans) Ilani ya CHADEMA,uk84,imetajwa kusababisha uporaji mkubwa wa rasilimali nchi10 zikiwemo DRC,Angola na Venezuela(Natural Resources Governance Institute'NRGI-27February2020 ).TUJIONGEZE!
31
23
102
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Lisu anampinga JPM kufuta Mkataba wa miaka15 wa SYMBION ya Marekani iliyokuwa inatuibia $3m kila mwezi sawa na $540m au zaidi ya msaada wao wa $473m za MCC II waliofuta .Ndivyo Afrika inavyodanganywa kutegemea misaada wakati inaibiwa zaidi ya inachopewa.Lissu anatetea uporaji
21
28
102
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Bunge la Tanzania kupitia Kanuni zake imetoa fursa kwa asiye ndani ya Bunge kupewa fursa ya kujitetea iweje Tanzania ihukumiwe na Bunge la Ulaya bila Serikali ya Tanzania kupewa fursa ya kujitetea. Nani mdemokrasia kati yetu na wao!!!
48
17
98
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Narudia tena, Lissu alichemka kurejea ripoti ya Bank ya Dunia ya mwaka 2020 kuhusu urahisi wa biashara( Easy of Doing Business report 2020) kwakuwa ilifutwa tangu Agost27,2020.LISSU HAKUANDALIWA, HAKUJIANDAA. NAFASI KUBWA URAIS..SOMA HIYOI..
43
31
99
@kafulila_david
David KAFULILA
1 year
Honored to join President Samia on her visit to New Delhi, Oct 8, 2023. Under her leadership, trade between Tanzania and India has soared to $3.13 billion in 2022 from $2.2 billion in 2021. A new era of Strategic Partnership awaits as we strengthen ties during this visit 🇹🇿🤝🇮🇳
9
18
98
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Ripoti ya Maendeleo Afrika 2020 inaonesha Kampuni za kimataifa zinapora Afrika $89bn kifisadi kila mwaka huku nchi zinakotoka kampuni hizo zinasaidia Afrika kiasi cha $48bn kwa mwaka.Afrika inahitaji kusimamia inachostahili zaidi kibiashara sio misaada.
21
31
94
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Lissu amejibu( VOA) anafanya kampeni bila kuzingatia tahadhari za CORONA kwasababu sio tatizo Tanzania. Amekili kuwa walikosea kumpinga JPM. Kenya imewagharimu mikopo ya zaidi ya dola 2.4bn, biashara nyingi kufa! Uongozi ni maono jamani!Sio kuiga tu !Tumebahatika JPM ana maono!
10
27
89
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Utafiti wa maoni uliofanywa na Taasisi ya kimataifa ya YouGov umeonesha kwamba ni Asilimia3% ya wajerumani wanaamini Uchaguzi ujao Marekani utakuwa huru na haki. Aidha kwa Uingereza na Ufaransa ni asilimia 5% tu wanaamini Serikali ya Trump inaweza kufanya uchaguzi huru na haki
Tweet media one
24
27
85
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Niliongea wiki jana ITV kipindi cha dk45.kwamba baada ya makubaliano ya Serikali na Barrick , Biashara yote ya migodi ya Barrick nchini inaendeshwa kwa ubia kupitia kampuni ya TWIGA. Serikali inapata 16% gawio, 30% Kodi, 6% mrahaba. Kabla ya JPM haikuwa ivi! 5TENA JPM!!
14
20
82
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
Rais SSH leo amesisitiza tatizo la riba za mikopo.Ukweli wakati Serikali inakopa ndani kwa hatifungani za mwaka1 kwa riba17% , bank ziliweka riba mpaka 23%.Swali linabaki kwann Benk ziendelee kukopesha kwa riba mpaka19% wakati sasa Serikali inakopa ndani kwa riba 5%.BoT wanajua
11
22
86
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Vitambulisho vya wajasiliamali ni kwa maslahi ya wajasilimali...wafanye biashara kwa uhuru katika nchi yao kulinganisha na huko tulikotoka
22
16
76
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Wabunge wa Republican na Democrat Marekani wanapinga uamuzi wa JPM kufuta mkataba wa kampuni ya kufua umeme ya Symbion iliyorithi Dowans/ Richmond iliyokuwa inatuibia 7bn kwa mwezi au zaidi ya Trilion 1.2 kwa miaka15 ya mkataba. Lissu nae anaungana nao.
48
25
76
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
Serikali inawajibu wa kutengeneza ajira 8m kwa mujibu wa Ilani ya CCM 2020. Kwakuwa Simiyu tupo watu 1.5m sawa na 2.5% ya watu 60m, hivyo tunawajibika na tutatekeleza mpango wa kutengeneza ajira 200,000 sawa na asilimia 2.5 ya 8m
8
11
75
@kafulila_david
David KAFULILA
10 days
PPP HAIFUTI TANROAD.Mradi wa PPP unaingiwa na mamlaka pale mwekezaji anavutiwa kibiashara. Eneo lenye folen kubwa, linavutia kampuni binafsi kujenga barabara mbadala ya kulipia kwa PPP Hivyo kupunguza folen bila serikali kutumia kodi. Kama ambavyo kuna shule binafsi na za Umma
36
11
76
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Nchi zote za Ulaya na Marekani zimekataa kuunga mkono Azimio la Kupinga Ubaguzi dhidi ya mtu mweusi kwa kupiga kura ya Hapana -No- na nyingine kutopiga kura-Abstain-.(75 UN General Assembly Sept-Okt. 2020).Food for thought!
14
23
74
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Lissu anaetaka uRais leo ndio huyu aliyepinga uamuzi wa JPM kufuta mkataba wa kampuni ya kufua umeme ya Marekani ( Symbion) ambayo ilikuwa inatuibia zaidi ya $3m kwa mwezi kupitia mkataba wake mbovu iliorithi toka Dowans/Richmond sawa na $540m( 1.2Trilion)kwa miaka15..JPM-5TENA
20
23
72
@kafulila_david
David KAFULILA
18 days
Leo nilipotembelea GMR- India,Ni ya5 duniani kwa ubora wa huduma za viwanja vya ndege.14% ya viwanja vya ndege Duniani vinaendeshwa kwa Ubia-PPP,vinahudumia 40% ya abiria wote dunian.Ulaya,China,India,Brazili wanatumia PPP.Kila$1 inayowekezwa eneo hili huzalisha $4kwenye uchumi
Tweet media one
23
14
73
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Wameamua kupotosha kwamba kiwango cha ufukara( extreme poverty) Tz ni 26% eti ni ripoti ya Bank ya Dunia. Nimewaleta ripoti ya Bank ya Dunia hapa, kiwango cha ufukara Tanzania( extreme poverty) ni 8%. Hiyo 26% sio extreme poverty.soma hiyo..
8
20
72
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Wakati Tanzania inauza umeme kwa bei nafuu kuliko Kenya,Uganda na Rwanda( Rejea ),Mradi wa umeme wa Bwawa la Nyerere utashusha maradufu bei ya umeme kufikia wastani 36/=Unit, sawa na asilimia 15% ya wastani wa bei ya sasa ambayo ni 230/=JPM-KAZI IENDELEE
6
19
66
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Mikwara ya baadhi ya wabunge wa Bunge la Ulaya kuikatia Tz misaada ya umeibua mjadala kati ya kambi inayoamini misaada ni msingi wa maendeleo dhidi ya tusioamini kuwa misaada ni msingi wa maendeleo. Naomba tukasome kitabu DEAD AID.kutoa ushamba wa misaada
37
18
62
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
#KikaoNaRHMT Nimeelekeza kuanzia sasa nipatiwe taarifa za matukio ya vifo ndani ya saa 24 ktk hospitali zote ndani ya mkoa kama ninavyopewa taarifa na RPC kuhusu matukio ya kihalifu mkoa mzima kila saa 24. #MaendeleoSimiyu
Tweet media one
11
9
61
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
2010 Bajeti yetu ilikuwa utegemezi kwa asilimia 27% tukafikisha Umeme vijiji 560.Mwaka 2015 utegemezi ukashuka 14%, tukafikisha umeme vijiji 2018.Mwaka 2019 utegemezi 9% , tukafikisha Umeme vijiji 9100. Hapa ndipo utaona umuhimu wa kusoma kitabu cha DEAD AID cha Dr Dambisa Moyo
10
23
55
@kafulila_david
David KAFULILA
4 months
Ripoti ya Kampuni Kimataifa ya Utafiti wa maoni ya STEADMAN/ SYNOVATE mwaka 2008, ilionesha kwamba kero no1 Tanzania ni Maji.Miaka3 mfululizo chini ya Rais SS,Bajeti ya Maji kufikia April kila mwaka, sawa na 75% ya muda wa Bajeti ilikuwa imetekelezwa kwa wastani wa asilimia92%
35
13
57
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Kinachofanyika sasa ndicho Malaysia na Vietnam walifanya kufika walipofika. Hakuna nchi iliendelea bila umeme wa uhakika na miundombinu ya uhakika ya uchukuzi. Bank ya Dunia 2011 walisema Tz hata isamehe kodi kiasi gani haiwezi kuvuta uwekezaji na biashara bila umeme wa uhakika
7
17
53
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
KAFULILA:Tweeted: Hoja ya Tundu Lissu kuwa Tanzania imeshushwa na Bank ya Dunia katika urahisi wa kufanya biashara ni mufilisi kwani Ripoti anayoitumia ( Easy of Doing Business Report 2020) imefutwa tangu Agost27,2020 kwa kasoro nyingi..soma hiyo..
9
21
53
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
NI 5TENA JPM, KAZI IENDELEE!
10
9
54
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
COVID-19 imeangusha Biashara ya Dunia kutoka 60% mpaka37% ya pato la Dunia kufikia Septemba 2020.Afrika Mashariki uwiano wa malipo ya deni la nje kwa mauzo ya nje Kenya imepanda kufikia 22.6%, Rwanda 12.6% na Uganda 12.2% huku Tz ikifanya vzr zaidi kwani ni 8.4% tu( UNECA 2020)
10
13
53
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
About60% of arable land is in Africa , yet we are net food importer.AfDB estimated that in 2017,Africa spent $64.5bn on importing foods,and food import bill is projected to increase to over $110bn by 2025 If the status quo remains.This is irresponsible and unaffordable!
7
12
51
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Kimataifa IMF, Bi Christine Legarde,mwaka 2017 akihojiwa na Jarida la Quartz nchini Ethiopia kuwa ni nchi zipi anaziona zikijenga uchumi wa viwanda Afrika mithili ya Vietnam alitaja, Tanzania, Nigeria, Kenya na Ethiopia.
6
17
49
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
Global rating Agency- Moody's has ranked Tanzania higher in credit worthiness with B2( stable) above Kenya, SA, Rwanda, Mozambique, Nigeria, Senegal, Ghana, Ethiopia, IvoryCoast, Mauritius and Namibia.(Moody's- August30, 2021)-KAZI IENDELEE!!
12
27
47
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
Nimepokea taarifa ya Wilaya ya Maswa na nimeagiza TANROAD kuhakikisha kandarasi waliojenga barabara mkoani Simiyu kwa miaka 5 lakn hawajalipa ushuru wa madini wala mrabaha zaidi ya 670m kuhakikisha wanalipa kwa kukatwa kwenye malipo yao. #MaendeleoSimiyu
Tweet media one
13
6
49
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
According to Dr Dambisa Moyo( Global Economist), Between 1970 and 1998 when Aid flows to Africa were at their peak , poverty rate in Africa actually rose from 11% to staggering 66% ( DEAD AID- Page10)
3
11
44
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Kati ya kampuni kubwa 350 kwenye soko la mitaji London, ni 14 tu zinaongozwa na wanawake. Lakini kampuni ambazo walau 1/3 ya viongozi ni wanawake zinapata faida mara 10 kuliko zenye idadi ndogo ya wanawake ( WOMEN COUNT 2020 REPORT).HAPPY WOMEN'S DAY
3
11
48
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Tukutane Efm Radio leo Jumamosi kuanzia saambili unusu asbh mpaka saa nne asbh kujadili agenda ya USTAWI WA JAMII NDANI YA DHANA YA UCHUMI WA VITU VS WATU...Kisha usiku saa3 tukutane kipindi maalumu TBC kujadili VIJANA, KIZAZI CHA MILENIA NA NAFASI YAO KATIKA UCHAGUZI HUU....
7
8
42
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Naam, chama Cheney dola kinanafasi ya kuwa na sera sahihi kwakujua hali halisi ya wananchi ktk wakati wote
@BestaMlagila
Besta Mlagila
4 years
"Chama chenye Dola kina nafasi kubwa ya kutumia Dola kushinda kuliko, kuna wakati inaibua tafsiri tofauti, lakini tafsiri ya dola sio vyombo vya Dola, Dola maana yake ni mjumuiko wa mihimili mitatu Bunge, Mahakama, Serikali kwa ujumla wake hii ndio dola.....1/2" @kafulila_david
7
10
42
2
8
43
@kafulila_david
David KAFULILA
1 year
PPP JOURNEY TOWARD 25/26
Tweet media one
3
13
43
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
President SSH today has set out the mission on what kind of a country she want to build, a strong meritocracy nation where advantage is based on merits and not previllage. A country with opportunity for all no matter your political affiliation, religious or tribe background!
4
9
40
@kafulila_david
David KAFULILA
6 months
Changamoto ni nyingi lakn tupo kwenye mstari sahh. Ongezeko la akaunti za mobile banks 20m ndan ya miaka3 ni ushahidi wa ujenzi wa uchumi jumuifu
Tweet media one
23
8
40
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Wanasema Sera ya majimbo ni muhimu kwasababu nchi ni kubwa sana. Nikweli nchi ni kubwa ndio maana inahitaji akili kubwa kuiongoza bila kuigawa. Jimbo la Alaska USA ni kubwa karibu mara mbili ya Tanzania. Lina 1.78m .wakati Tz ina
3
14
38
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
Mexico ni wauzaji wakubwa wa parachichi duniani.Eneo inapolimwa linaitwa michoacan, lina ekari 260,000 sawa na asilimia 5% ya mkoa wa Njombe ambao unafaa zaidi kwa kilimo cha parachichi. Mwaka 2020 mauzo ya parachichi Mexico walipata $2.4bn karibu sawa na mauzo yetu ya dhahabu.
2
8
40
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Umasikini wa watu Ethiopia hausababishwi na Serikali kutekeleza miradi mikubwa bali mapigano ya kikabila ambapo Kabila kubwa la OROMO lenye zaidi ya asilimia34% ya raia wote (CIA fact book2017) limetengwa kwenye Siasa ,Uchumi na Utawala. Hawana amani, hawawezi kuendelea!
9
9
39
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Director General of Africa Affairs - MFA China
@DGAfrica_MFA
杜晓晖DU Xiaohui
4 years
I believe that non-interference in Tanzania's internal affairs is more conducive to a successful general election.
Tweet media one
3
10
34
2
6
38
@kafulila_david
David KAFULILA
4 months
Hayati Robert Mugabe, akiongea kwa uchungu...Sikiliza mwenyewe kauli iliyozaa Maamuzi makubwa ya AU kumuenzi Mwl. Nyerere
3
17
40
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Ndani ya miaka 10, China itapoteza mitaji na hivyo ajira kati ya 85m mpaka 100m kwenye sekta ya uzalishaji ( manufacturing ) kutokana na kupanda mishahara. Mitaji itaelekea nchi zilizojiandaa kwa miundombinu na nguvu kazi yenye maarifa ( Havard Businees Review, May2017).
3
10
36
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Maendeleo ni mjadala tata sana. Nimeona juzi Singapore imetajwa nafasi ya 158 duniani kwa uhuru wa habari( Reporters Without Borders Report 2020), lakin ni ya 7 duniani kwa maendeleo ya binadamu ikiyapita mataifa mengi ya Ulaya (Human Development Index Report2020)
5
15
33
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Utafiti wa Center for Economic Prosperity 2010 ulionesha tunapoteza 4bn kwa siku kutokana na foleni Dar. Umbali wa 11km kutoka Posta kwenda Airport ilikuwa zaidi ya 1hr...kwamba gari zinatembea 8km kwa saa. JPM anajenga barabara juu na chini Dar, zinaitwa maendeleo ya vitu😎
13
15
31
@kafulila_david
David KAFULILA
2 years
@bvrbvra Kufungwa na Yanga mfululizo ni tatizo kubwa kwetu kuliko chochote. Isijirudie hii jamani. Please
9
0
34
@kafulila_david
David KAFULILA
1 year
TZ will be economic powerhouse between 2030- 35
Tweet media one
7
11
33
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
When women work, they spend 90% of their income back into their families, compared with 35% for men( UNAC). Happy Women Day! .
4
3
34
@kafulila_david
David KAFULILA
2 years
Chuo Kikuu cha Edinburgh Uingereza kimesherekea Miaka 100 ya Maisha na Legacy ya Mwalimu Nyerere siku ya tarehe 07 November 2022.
Tweet media one
1
4
34
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Afrika inahitaji Biashara za kimkakati.Benin kuwa kinara Afrika kwa kununua nywele bandia kutoka China( $411m), SA kuwa kinara Afrika kwa kununua chupi(chupi 16m), Nigeria kuwa kinara kwa kununua miswaki( miswaki 159m) na Kenya vyoo vya kukaa ni aibu (BBC- Piranty, Dec5, 2015)
11
6
34
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
"Tuhitimishe mazungumzo mradi wa usindikaji gesi( LNG) wenye thamani wa $30bn". Hizi $30bn ni nusu ya uchumi wa Tz, mara mbili ya uchumi wa Rwanda au karibu sawa na uchumi wa Uganda. Mwaka 2016 Prof. Ndulu alisema uwekezaji wa awali tu utaongeza uchumi kwa 2%. Hongera Rais SSH
3
10
34
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
Leo Nimeshiriki hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali walioteuliwa na Rais Samia Suluhu jijini Dodoma. Nimekutana na Viongozi wenzangu RAS Ms. Prisca Kayombo na Mr. Ekwabi Mujungu, Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu baada ya uapisho wa RAS. #MaendeleoSimiyu
Tweet media one
Tweet media two
4
3
31
@kafulila_david
David KAFULILA
1 year
Kati ya mwaka 2021 na 2023, Uchumi wa Tanzania unakadiriwa kuongezeka kwa $18bn ( Kutoka $67bn -$85bn),Hii ni zaidi ya Jumla ya ongezeko la Kenya na Uganda kwa mpigo.Yaani Kenya imeongeza jumla ya $8bn($110bn-$118bn) wakati Uganda $9bn($40.5bn -49.8).(IMF-GDP DATA-APRIL 2023).
6
8
31
@kafulila_david
David KAFULILA
10 days
PPP HAIFUTI REA WALA TANESCO. Kwenye PPP badala ya mamlaka hizo kutumia mikopo na kodi kwa 💯 kutekeleza, miradi hiyo inaweza kutekelezwa kwa kutumia mitaji ya sekta binafsi. Ni uzoefu wa nchi nyingi dunian ikiwemo India na Brazil kwa nchi zinazoibukia kiuchumi.
7
6
33
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
Maoni ya wananchi wenzangu wa Simiyu kuhusu sekta ipi tuitolee macho kwa karibu zaidi nimeyapokea. Serikali ya Mkoa wa Simiyu tunakwenda kuyafanyia kazi maoni yote ikiwemo Mradi wa maji ya Ziwa Vicktoria, Barabara, kilimo, Biashara pamoja na Sekta ya Dhahabu. #MaendeleoSimiyu
Tweet media one
6
3
28
@kafulila_david
David KAFULILA
1 year
Kiasi cha umeme unaozalishwa China ni zaidi ya jumla ya umeme wote unaozalishwa USA na Ulaya. sijahoji kama China bado kuipita Marekani kwa ukubwa wa Uchumi. Lakini kiasi cha umeme ni kipimo kikubwa ktk kiasi cha uzalishaji iwe kwenye viwanda au huduma. Norminal GDP vs PPP GDP.
12
10
30
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Ninachokiona Uchaguzi huu, JPM hashindanishwi na Lissu wala Membe bali ni anashindanishwa na mahitaji ya wananchi. Ndio maana hakuna sababu ya Mdahalo na yeyote kati yao kwani JPM anashindana na rekodi yake mwenyewe! .
4
11
30
@kafulila_david
David KAFULILA
10 days
Nakubaliana na hofu ya miradi ya PPP kutokana na uzoefu wa mikataba mibaya iliyowahi kutokea kama IPTL. Hata hivyo sheria no 103 ya PPP ilipitishwa kwa kuzingatia uzoefu huo mbaya kuhakikisha hatuingii tena mikataba ya aina hiyo. PPP inatumika ulaya kote, China, India, Amerika
15
2
32
@kafulila_david
David KAFULILA
1 year
It was a great pleasure to meet with Barr. J.A Mike Ohiani, Director General Infrastructure Concession Regulatory Commission (ICRC) for a brief brainstorming on #ppps #Nigeria #Tanzania #publicprivatepartnerships
Tweet media one
2
9
29
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
Empowering women to participate equally in the global economy could add $28trillion in GDP growth by 2025 or 30% of current global GDP( McKinsey Global Institute report, Sept1,2015).
6
6
27
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Simu ya saatisa usiku kati ya Rais, DengXioping( 1978-1989)na Rais Jimy Carter ( USA-1977-81) Ndio chanzo cha China kuvuna teknolojia USA.Deng aliomba nafasi 5000 kwa vijana wake kusoma vyuo vya Teknolojia, akapewa 100,000.Simu ya XiJinping kwa JPM inamaana kubwa kwa Tz na China
2
5
27
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
SYNOVATE ni Taasisi kubwa duniani ktk utafiti wa maoni,2009 ilionesha kero no1 Tz ni Maji. Utegemezi wa Bajeti ulikuwa 34% na Maji vijijini ikawa 46%. 2019 utegemezi ukashuka mpaka9% Upatikanaji maji vijijini ukapanda mpaka75%. Nasisitiza tusome DEAD AID cha Mchumi Dambisa Moyo
4
11
28
@kafulila_david
David KAFULILA
5 months
Nishati mbadala haina mbadala!TZ ni miongoni mwa nchi 5 duniani kwa kasi ya ukataji miti. Zingine ni Brazil,DRC, Indonesia na Angola. Tunapoteza miti eneo la hekta 496,000 sawa na kilomita za mraba 4960 au sawa na kupoteza eneo kubwa zaidi ya mara 3 ya Jiji la Dar kila mwaka!
6
2
28
@kafulila_david
David KAFULILA
2 months
Mwaka2000, uchumi wa SA ulikuwa usd 150bn sawa na mara5 ya vietnam iliyokuwa na usd31bn.Miaka25 baadae, uchumi wa vietnam umefika usd460bn zaidi ya SA yenye usd370bn. Nasisitiza kwamba inawezekana TZ yenye usd75bn sasa kuwa zaidi ya usd800bn mwaka2050, zaidi ya uchumi wa SA leo .
15
7
29
@kafulila_david
David KAFULILA
21 days
Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India leo. Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa Reli,Barabara , Umeme na miradi mingine ktk list ya miradi(PPP PIPELINE) yenye jumla ya miradi74.
Tweet media one
4
3
29
@kafulila_david
David KAFULILA
4 years
Huyu Seneta Menendezi wa USA huenda mapendekezo yake kutaka Tanzania iwekewe vikwazo na USA kwasababu JPM alifuta mkataba wa kifisadi wa Symbion, huenda anatumika na kampuni hiyo kama rekodi yake inavyosomeka ya mashtaka ya ufisadi tangu mwaka2017.soma
3
9
27
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
Leo Rais SSH na Makamu Dr Mpango wamesisitiza RCs na RASs kusimamia mazingira. Tanzania ni kati ya nchi 5 zinazongoza kupoteza misitu duniani. Kila mwaka tunapoteza 483,859Ha za misitu sawa na jumla ya wilaya za Ileje na Itilima. (Tanzania 2019, Country Environmental Analysis)
5
8
26
@kafulila_david
David KAFULILA
3 years
Tunaweza kuwa wauzaji mafuta ya kula nje badala ya kutumia nusu trilion kila mwaka kuagiza nje.Mwaka2020, Ukrain ilipata zaidi ya $5.4bn(sawa na mauzo yetu yote) kwa kuuza mafuta ya alizeti nje.Eneo wanalolima alizeti ni sawa na nusu yaSingida wakatiTz mikoa8 tunalima alizeti.
6
6
27