![Mboni Profile](https://abs.twimg.com/sticky/default_profile_images/default_profile_x96.png)
Mboni
@mboni_sir
Followers
436
Following
9K
Statuses
14K
Justice, Freedom & Prosperity (in that order). And yes....YNWA
Joined September 2017
@TheRealEkiswaga Sisi 2025 tushakubaliana fomu ni 1 tu. Sasa huyu Biteko wako anaingiaje hapa?
0
0
0
@Jambotv_ Tanzania tutafute suluhisho nchini mwetu kwanza and then ndiposa tusaidie neighbours.
1
0
0
@Jambotv_ Tuwe na mifumo huru ya uchaguzi ili CCM tuwathibitishie Chadema kuwa sisi ni baba lao. Vinginevyo Chadema wataendelea kutuona sisi CCM ni waoga tu - na tusiwalaumu kwa hilo!
0
0
2
@fatma_karume @judiciarytz PERAMBULATION yao imekusababishia DISCOMBOBULATION.π€£ Apparently! π
2
0
3
RT @MissChelsea1221: Naomba Mshow #Love kwa Repostππ Jez za Zaman (Vintage) 35,000/= 0714336827 #MIKOA YOTE TUNATUMA
0
223
0
@Exquisite254 Pasaka ilianza miaka 1446 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu. Christmas ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu. Je, ni kipi kilianza hapo kwa akili yako.
0
0
0
@EmmausAskofu Inabidi tuuze zile V8 zooote ili tupate hela ya kununulia hizi dawa. Hii ndiyo short-term solution. Sustainable solution ni kufumua mfumo wa uongozi & utawala katika nchi ili tupate uongozi kwa upya utakaotuvusha tulipokwama.
1
0
1
@brfootball In a Camel League and yet unable to win a trophy in that mediocre league. Grandpa Cristiano
0
0
0
@omari_manyama Kinachonisumbua akilini ni Bavicha kuendelea kulalamika tu badala ya kuchukua hatua stahiki.
0
0
0