Miss Chelsea1221
@MissChelsea1221
Followers
154K
Following
300K
Media
3K
Statuses
385K
PR &Marketing By Pro/#NAUZA NGUO ZA MICHEZO⚽️📱For Business 0714336827 #KUONA Bidhaa Plz #BONYEZA neno #MEDIA Upande wa #KULIA hapo chini👇⬇️👇Karibuni❤️
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2021
😳😳😳😳hii movie mwanzon tu watu wana pakapaka. Naombeni #Movie kwa comments zinivushe Week End
137
98
1K
Week End Imeanza #Tupeana Movie Kali kwenye Comments za Kuisha nazo Mpk Next WeekeEnd. Tutajiane na Sites za #Kuzipata. Kama Hujaona Sisu I #Recommend Ichek😄
138
152
1K
Kuna Mtu alicomment Nichek Extraction 2 hakika nmeipenda,Tyler🤜🤜. Pia Kuna Mtu alinishaur nichek 365 Days😄akafuta comment ila nmeichek banaaa banaaaaa banaaaa ina balaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌. Mmefanikisha Nmetoboa. Naomben Nyingine plz kwenye #comments👇🏼👇🏼
202
166
1K
Kocha Mpya Wa Simbaaaaaa. Huyu n kina Pep 5,Mou 2,klopp 3 na Kina Ancelotti kama nyongeza . #NguvuMoja
143
52
954
Which Football Club Is The Best In Tanzania?. Kaandike Hivyo Google,hlf Screenshot Majibu utuletee😄😄. #DONTCheat.
129
26
914
🚨JEZI ZA MSIMU UJAO🚨. #Please Naomba Retweet🙏🏿❤️. 27,000/= . Kuprint Jina 5,000/= Hata Liwe Refu kama Treni . #Dm Au 0714336827 . #KaribuDear
110
552
812
Kuna Kipind Nilikuwa naenda Kitaa Kupiga Winga,Mishe zikigoma Jion Nakosa naul inabid niende kwa daladala napige #Debe Ujira napanda daladala Free. #HiiSioKamba .#TukutaneSIMBADAY
157
115
833
Hata kama si mwana #Yanga Show love kwa #Repost for your very own #MissChelsea 🙏🙏. 45,000/=. 0714336827 au +255 713 800 448. #Mikoa yote TUNATUMA.
70
663
815
#MPYAAAAAAAAA #Retweet & Gusa #Link ❤. Dizasta Vina's Tribulation is out. Youtube - Audiomack - .Mdundo - Boomplay - .Lyrics -
55
155
801
Mwenyez Mungu ajalie upatikane Salama na urudi hewan tuendeleze kusuka mikeka @Sativa255 @Sativa255 . Kama Una Taarifa kuhusu @Sativa255 tafadhal wasiliana na @Thereal_taivina
26
522
801
Je wajua?. Mwanaume anayekabidhi kila kipato chake anachopata kwa Mwanamke na kupanga matumizi kwa pamoja hufanikiwa sana na kwa haraka zaidi. #ElimikaWikiendi
310
84
763
Naomba Hili Tuweke Uteam Kando aiseee. Jamaa Anajua. .
51
26
703
#Dondosha Mstari Wako Konki wa TRIBULATION ya @dizastavina . Me ; "Hakuna Bidhaa Yoyote kuniMatch kenye soko hili,.Hakuna Copy Nyingine,hata Copy #mbaya" . Youtube - Audiomack -
96
81
733