"Naelezwa, zilitoka TZS 10,000,000 (Shilingi milioni kumi)kutoka kampuni ya Precision Air ili wavuvi wa mwalo wa Nyamkazi wapewe kama ahsante kwa kusaidia kuokoa manusura na kuvuta ndege ya Precision Air, 5H-PWF, ATR42-500, lakini zimeishia kuwalaza kituo cha polisi."-
@IAMartin_