![Exquisite 〰️ Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1877342263950344192/TBVFLCO8_x96.jpg)
Exquisite 〰️
@Exquisite254
Followers
6K
Following
32K
Statuses
1K
Mama its first || dear god 🙏 || Arsenal fans and simba sports club
Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2022
Kila mtu anayezaliwa kwenye hii dunia huzaliwa teyali akiwa ni mtumwa na mfungwa katika jela ambayo inamfanya Ashindwe kuona wala kujua kinachoendelea yaan anakuwa yupo katika jela ya akili inayoitwa Matrix Matrix ipo kila mahali na imetuzunguka ata apo ulipo matrix ipo inakuangalia unapoenda kazin matrix ipo, unapoenda kanisani matrix ipo inakuangalia Yaan kila unachofanya lazima matrix ifahamu kwasabab ipo kwenye hii dunia kwajili ya kukuzuia usiujue ukweli ili iendelee kukuendesha na kukutawala jinsi inavyotaka Sasa ukweli uliofichwa hapa ni upi? Read more 👇
5
8
52
@Flyboytz26 @MalendejaE62448 Ipo hivi bila binadamu hakuna damu, na bila shahawa hakuna binadamu Ni lazima zipatikane kwanza shahawa ndio binadamu apatikane
1
0
3