![Saidi Magari🚘 Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1839754401881210880/gpObXrlT_x96.jpg)
Saidi Magari🚘
@Flyboytz26
Followers
1
Following
117
Statuses
108
KWA MAHITAJI YA MAGARI MAZURI ALAFU MAKALI PIGA/WHATSAPP +255686593785
Dar es salaam,Tanzania
Joined May 2024
@JamadiHatibu @anon_codex Kwanini uishi kwa kuwatazama watu wanakuongeleaje Huo pia ni udhaifu mkubwa Hofu inatuangamiz tulio wengi
1
0
1
@JamadiHatibu @anon_codex Kaka ipo hivi kwasisi wapambanaji tunaamini kwamba kama tuliweza kuinuka basi tunajua ipo siku tunaweza kuanguka Lakini hatuwez kuacha kuziishi ndoto zetu eti kwasababu ya kuhofia jamii itatuonaje
1
0
2
@JamadiHatibu @anon_codex Sheikh sio kila mtu ana ndoto ya kujenga Wewe ukijenga usipangie wengine Kujenga haijaandikwa ni lazima kwenye vitabu vya dini Kwahiyo punguza makasiriko kwenye mifumo ya maisha ya wengine
2
0
11