![Daniel Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1479010089537347587/GR9p2eiA_x96.jpg)
Daniel
@dchikaka
Followers
2K
Following
14K
Statuses
21K
@Mwitah_tz madini yakitoka Mwanza kwenda kuuzwa Zanzibar, kodi yake inaenda Zanzibar? Naomba kuona huo mgawanyo wa kodi.
0
0
0
@16Limbe @CRDBBankPlc watu wamejazana sumu balaa, vijana wa nyumba nyeupe kama wote. labda kuna kitu wanakijua mimi kapuku sikijui
1
0
0
@ladyVee_Ve ukute ni utaadhi na kanzu yake, afu mko wanne. ile unatoka nae anatoka anaenda kwa bi mdogo ndio humuoni mpaka mwezi uishe...utafurahi😆
1
0
2
@16Limbe @CRDBBankPlc 🤣🤣 Juzi nimepewa deal ya viwanja kibaha (unavijua) nikasema kuweka hii hela ioze huku ati nasubiria vipande niuze, bora niongezee shares za kijani, kila mwaka nakula gawio. kuna mwana kajilipua, kachukua vinne vya viwanda...kama 0.5b🙌
1
1
0