![Lucas E. Malembo Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1885543451703304192/2NzamL0l_x96.jpg)
Lucas E. Malembo
@MalemboLE
Followers
37K
Following
44K
Statuses
113K
Agribusiness Consultant ll Founder @MalemboFarm 🇹🇿🇰🇪ll @AcademyFarms ll @Ugalielimu & other mission-driven orgs ll For business 📧 [email protected]
Tanzania l Kenya l
Joined September 2017
Soma vitabu na @MalemboLE RIPOTI YA VITABU NILIVYOSOMA MWAKA 2024. 1. Your Best Year Ever by Michael Hyatt. 2. Faith Vs Fact by Jerry A. Coyne. 3. Planning for Agriculture and Sustainable food systems by Frontiers 4. Numbers don't Lie by Vaclar Smil. 5. Report ya The impact of Disasters on Agriculture and Food Security By Fao. 6. EveryMan his Own University by Russell H. Conwell. 7. Report ya Developing Skill for Tanzanian Youth Through Dynamic TVET by World Bank. 8. Report ya Strengthening Basic Education System and Improving Learning Outcomes in Tanzania by World Bank. 9. Report ya Tanzania Land cover Map. 10. Report ya Soil of Tanzania. 11. Bioenergy and Food Security by Fao. 12. How Israel Becomes a World Leader in Agriculture and Water by Daniel Abraham. 13. Report of Africa in Data. 14. How women Rise by Sally Helgesen & Marshall Goldsmith. 15. Report ya Assessment of Fertilizer Market. 16. Report ya Fertilizer production Cross border Trade and Consumption in Africa. 17. Report ya The Development of the share of Agriculture in GDP and Employment. 18. Report ya Agricultural Growth in sub- Saharan Africa Countries and China by Prof Mahmood H. Khan. 19. Report ya China Evolving Demand in the world largest Agricultural import Market. 20. Report ya Reducing Post harvest Losses During Storage of Grain Crop to strengthen food security in developing countries. 21. Report ya Reduce post Harvest Crop Losses in Agriculture Supply chain by McKinsey & Company. 22. Statistical Year Book. 23. Report ya Current Situation and Future For Global beef Production by Stephen B. Smith. 24. Clean cooking Declaration. 25. The Richest Man in Town by W. Randall Jones. 26. The entrepreneur state by Mariana Mazzucato. 27. Big Con by Mariana Mazzucato and Rosie Collington. 28. Short History of Nearly Everything by Bill Bryson. 29. The 21 Century Man by Rafa Conde. 30. Brading Sweetgrass by Robin Wall Kimmerer. 31. How China escaped poverty by Yuen, Yuen Ang 32. The Great Transformation by Karly Polany. 33. Introducing The Ancient Greek. 34. From The Soil by Fei Xiaoteng. 35. Forgiving What you can't forget by Lysa Terkeurst. 36. Economic Nationalism as a historico- sociological by Olga Gheorghier. 37. The art of Happiness By Dalai Lama. 38. Limitless by Jim Kwik. 39. Boundaries by Dr Henry Cloud & John Townsend. 40. David and Goliath by Malcolm Gladwell. 41. The Power of Now by Eckhart Tolle. Tukutane Mwakani 2025. @MalemboFarm ll @AcademyFarms
@MalemboGlobal ll @ugalielimu
19
58
127
@MarekaMalili Umekuwa mtalaamu kabisa, basi tafuta eneo Mwanza tunenepeshe tukauze Kenya ntakupa Mbinu za kunenepesaha
1
0
1
Kuna aina tatu ya mabanda; 1. Kuku wa nyama pekee 2. kuku wa mayai pekee 3. kuku wa nyama na mayai. 1. “Banda la kuku urefu wa 5mts” jumla na cage za kutagia mayai kwa ngazi zote tatu gharama ni Tsh 1,670,000/= limekamilika. Dekezo Banda la ukubwa huo linachukua wastani wa kuku wakubwa 200 mpaka 250. 2.Kuku wa mayai ukubwa wa banda ni upanda ni 6 mita na ni la gorofa tatu itakuwa gharama ni Tsh 1,865,000/= 3.Banda lente urefu wa 11 mita linachukua kuku 400 plus unaweza changanya wa kutagia na wa nyama gharama ni Tsh 2,475,000/= Dokezo; gharama zinaweza kubadilika, kutoka na sehemu linapojengea na pengine aina kwa ufafanuzi zaidi karibu @MalemboFarm Call and
2
3
7
@NyangigeO82050 @bellan__ @MalemboFarm Mtazamo wako siyo mbaya, zaidi lengo na aina ya ufugaji pengine.
0
0
0
Visit @MalemboFarm
Home Garden. Kuweka mfumo “Cone Garden” kama hii itakugharimu Tsh 200k inachukua miche 60- 80. Kwa huduma na ushauri Call and . #KilimoNiAjira2025
@MalemboGlobal ll @AcademyFarms
@ugalielimu ll @MalemboLE
0
0
2
RT @MalemboFarm: Home Garden. Kuweka mfumo “Cone Garden” kama hii itakugharimu Tsh 200k inachukua miche 60- 80. Kwa huduma na ushauri Ca…
0
1
0
Sababu ni nyingi, tunafuga kimazoea ndiyo maana hatuoni matokeo; 1. Unafuga upate mayai? 2. Unafuga uongeze uzazi( viranga)? 3. Unafuga uuze nyama (kuku)? 4. Unafuga kuishi na kuku? Kila aina moja ipo na mbinu zake za ufugaji kuanzia chakula, aina ya banda (ujenzi) n.k Kuku wengi wanapata stress( msongo) kwenye kipindi cha baridi na joto vyema kupata Elimu na utaalamu kutoka kwa watalaamu. Karibu @MalemboFarm ujifunze Call and
0
1
3