@therealbellan 🇹🇿 Profile
@therealbellan 🇹🇿

@bellan__

Followers
369
Following
3K
Statuses
12K

⚫University Of Dodoma Alumnus~|| ⚫Pathologist|| ⚫Agribusiness|| ⚫Digital Creator. SIMBA Fan🦁

Dodoma
Joined July 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
2 hours
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
2 hours
@loystephen2 @Director_Reuben @mocoservicez @Sirjeff_D Maadili bora yapo kijijini au mijini?ukipata jibu utaelewa.
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
3 hours
RT @HKigwangalla: Leo nataka kuzungumza na boys; wadogo zangu wapiganaji kabisa: 1.) Maisha siyo rahisi sana. Mafanikio siyo rahisi kabis…
0
291
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
3 hours
@Director_Reuben @mocoservicez @Sirjeff_D Why baada ya wao kuja ndo maovu kwetu yakaongezeka?why b4 mababu zetu waliishi kwa kupendana ,kushirikiana ,hakuna wizi ,hakuna chuki ,za ajabu kwa jamii wanakula pamoja,wanalima pamoja ,misiba kijiji kinahudhuria wote ,kwa ufikiri wako walipungukiwa nini?😁
1
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
3 hours
@Dr__Eagles @MADOLA47 @Sirjeff_D Sure mzee na vijana wengi zaiid wakishaijua vzr ndo basi tena saiv tunaijua wachche ila ikifikq mpkaq mashuleni huko basi
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
9 hours
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
10 hours
@MfalmewaX1 Shida Burkinabe hakuna.mademu weupe😁
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
10 hours
@MickyJnr__ May The Almighty save them🙏
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
12 hours
@salim_alkhasas Wajinga sana hwa jamaa
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
16 hours
Tweet media one
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
16 hours
Connection uliyoipata leo huwenda hata isikulipe leo Ni sawa na ni kawaida kabisa connection kutotupatia matokeo kwa muda tunaoutaka sisi Muhimu zaidi ni kujipa muda na connection zetu maana hatujui nazo huko zinajiconnect vipi ili zije zitulipe sisi.✨️ Leo tena wanangu👊
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
1 day
🇹🇿
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
1 day
@0101DUBU Bro unaonekana ww ni msukuma halafu ulikuwaga Muoga sana wa mademu hata chuoni...Umuhimu wa degerr yako ikowapi kwa flag zote hzo ,hopes ww ni domo zege ,yaani una ajira na bado unateswa na demu wa Mganga wa kienyeji?😁🚯
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
2 days
@troll_trends20 Ila dingi mu7😁🙌
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
3 days
@eddaafrica Umefanan na rafik ang flan wa kike aise🙌🤔
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
3 days
@MwananchiNews Duh ko toka dunia iumbwe manyara hawajawahi kusafishwa figo?tupo nyuma sana kama taifa 🙂
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
4 days
Amina Gm blood
@babalao__
Zee la Vyeti (PhD)
4 days
Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe maovuni. Amina 🙏
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
4 days
@Deo18Tarimo Serikali inatoa pesa magoli,wananchi nao wanamwaga pesa kwa wachezaji wao ,nchi tqjiri hii safi CCM mbelekwa mbele hakuna mwenye shida nchii hii @samia🤣🤣🤣🤣
0
0
0
@bellan__
@therealbellan 🇹🇿
4 days
@tinmunishi127 Angeutoa nje
0
0
0