MfalmewaX1 Profile Banner
Mfalme👑🇹🇿 Profile
Mfalme👑🇹🇿

@MfalmewaX1

Followers
14K
Following
3K
Statuses
2K

Coach | Men’s health | Work Hard | Matrix is real

New York, USA
Joined September 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
13 days
Wafalme, leo ni February 1 ACHA haya; -Acha sukari -Acha kubeti -Acha punyeto -Acha kula asubuhi -Acha kunywa soda -Acha ukaribu na ex -Acha kuchelewa gym -Acha kunywa maziwa -Acha marafiki wabaya -Acha kula baada ya 8pm -Acha matunda, kula MAYAI -Acha kubishana na mwanamke REPOST
199
123
785
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
16 minutes
@PambilaMailon Unlearn
0
0
0
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
16 minutes
0
0
0
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
1 hour
@manywele_ze Inatoka kwa njia ya mkojo ama jasho, na huwezi kuovereat chumvi.
0
0
0
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
3 hours
Kila nikiona makala zinazosema nyama nyekundu zinasababisha hili au kile huwa naumia sana. Kwenye hili huhitaji kutumia akili ya darasani hata kidogo ila akili ya kuzaliwa tu. Najua wazi ajenda ya dunia, nina uhakika mambo wanayosema juu ya nyama nyekundu ni maelekezo kutoka shirika la afya duniani. Shirika ambalo viongozi wake waliweka wazi kuwa mpango wao ni kupunguza idadi ya watu duniani. Tangu mwanzo wa dunia hii nyama ilikuwa chakula chetu, tangu kizazi cha Habili na kaini hata Mungu alipendezwa na sadaka ya mnyama kutoka kwa Habili. Mungu alimpa Ayubu mifugo mingi, Alimpa Isihaka mifugo mingi same kwa Nabii suleimani leo out of blue wanasema nyama ina sababisha (Myoc…). Sisi watanzania tunakula kipi sana kati ya ugali/ wali na nyama? Nyama kwetu ni kama emergency au sherehe kwani wataalamu hamuwezi kuchuja hili. Hamjui kuwa metabolic syndrome zote zinaweza kutibiwa na carnivore diet na zinachochewa kwa ulaji wa wanga? Kwanini magonjwa kama moyo, uric acid, figo, presha n.k wanakatazwa wasile nyama ilhali hamsemi chochote juu ya matunda, sukari, wanga za kiwandani, oats, soseji, viazi mviringo, mafuta ya mbegu & soda! Hivi mnania njema kweli na kizazi cha binadamu au mnapush kila ajenda bila kujua wanachojali wao ni kukuza viwanda vyao ambavyo vinazalisha muunganiko wa kemikali kisha wakaita vyakula. Tangu 1920 Tycoon John Rockfeller anatutawala Kwanini utajiri wa zamani ulikuwa na mifugo ambayo ni vitu halisi lakini utajiri wa siku hizi ni makaratasi yaliyoandikwa makaratasi kisha tukaita pesa! Kama nyama nyekundu ni hatari kiasi hicho ni wazi inatosha kupewa taarifa tu, lakini kwanini Bill gates anataka kuwachoma sindano wanyama wote barani Afrika ambao wanafugwa? Kwanini Mungu alitupa tuwafuge Ng’ombe, Mbuzi na kondoo lakini hakutaka tuwafuge simba na chui? Kama Binadamu ni Kiumbe mwenye hadhi ya juu kuzidi Majini kwanini anakatazwa kutokula nyama ila sadaka za mifugo zinapokewa na viumbe wasioonekana? Maswali yananipeleka mbali lakini niishie hapa sitaki kujifanya najua sana. Sitaki kuanzisha mrorongo sio lazima uwaze kama mimi.
Tweet media one
2
4
21
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
3 hours
@Prince_Fynnz Thank you.
0
1
5
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
3 hours
Unaacha nyama na maboga, unakula mkate na juisi Mababu zako hawakula ngano ila wanyama na matunda pori & walikula mara 1 -2. Hutembei hata hatua 500 ila unakula mara 3 kwa siku Una sindano za insulin zinazoua figo zako ila wanasema “Acha nyama”. Mwenyezi Mungu akusaidie.
2
2
28
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
4 hours
Ukitaka mabadiliko ya afya yako basi acha kabisa kuishi kwa mazoea. Huwezi kupona magonjwa kwa kula vyakula vibaya kwa kiasi. Huwezi kupungua kama unakula vizuri siku 5 halafu siku mbili unacheat. Sikia chaguo moja nyeupe au nyeusi hakuna katikati, kijivu haitokufikisha popote.
0
2
18
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
5 hours
Usile; Wanga, mafuta ya mbegu, soya & juisi. Kula; Nyama nyekundu, nyama zenye mafuta & viumbe wa baharini. Punguza; Wali, ugali & Matunda. Kula unavyotaka; Mayai, maji & mboga mboga Mungu aliwapa watu wake utajiri wa mifugo halafu hawatakiwi kuliwa si ndio wataalamu?
1
3
35
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
5 hours
Vyakula wanavyokwambia vinaziba mirija ya damu na kusababisha shida ya figo; -Mayai, nyama nyekundu & nyama zenye mafuta. Vyakula vyenye shida; -Mafuta ya mbegu, sukari, mkate, ngano, maziwa na wanga kama tambi Siku zote watalaumu nyama na chumvi sio matunda & sukari.
1
3
23
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
6 hours
Madaktari mnasema tusile nyama taarifa mnazithibitisha au kwa sababu WHO imesema? Watanzania wanakula nyama kiasi gani hadi waumwe magonjwa ya nyama? Mbona jamii za wala nyama wamasai na wahzabe hawana hizo shida? Soseji ni namba 1 cha kansa sio hatari kuzidi nyama nyekundu?
0
2
22
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
7 hours
Wafalme, Fanya ukiwa mpweke, Fanya ukiwa huna hela, Fanya ukiwa mwenyewe, Fanya ukiwa umechoka, Fanya ukiwa unaogopa, Hii haihusiano na kufanya punyeto.
5
9
72
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
11 hours
VITU 10 VYA KUJIFUNZA ILI USIKWAME KIMAISHA: 1. Usiishi maisha ya kitajiri kujaribu kuwavutia watu 2. Yaliyopita sio yako, lakini baadae yako ipo mikononi mwako 3. Kadri unavyozidi kuwa na marafiki wengi ni ndivyo unavyokuwa na matatizo mengi 4. Tunza hela ili hela ije kukutunza, huu sio ushauri ni ONYO. 5. Watu wanavyofikiria sivyo utakavyokuwa. Unavyojifiria ndivyo unavyokuwa. 6. Usionee wivu wengine. Hujui mwisho wala mustakabali wa maisha yao 7. Kuna upweke ukishakuwa mkubwa, upweke ni gharama unayoilipa kwa kuwa bora 8. kama usipoitawala akili yako na maisha yako, kuna mtu atakutawala 9. Vikwazo havikuziki, vikwazo vinakufukia ardhini ili uote 10. Kamwe usibet dhidi yako mwenyewe, wewe ni mtu wa muhimu zaidi kwenye maisha yako.
7
16
71
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
12 hours
@BrilliantAfro Heads Up G.
0
0
1
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
13 hours
RT @MfalmewaX1: Kila siku jifanye huna hela, itakuepusha na matatizo mengi yasiyo ya lazima.
0
46
0
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
14 hours
Sio serikali, sio wataalamu, sio ndugu hakuna anayejali kuhusu wewe: -Fanya kazi kwa bidii na kwa akili -Tafuta hela, tunza hela & wekeza -Nyanyua chuma, kula vyakula halisi & tembea -Itunze familia, mlinde mkeo na watoto Vingine vyote ni UPUUZI tu.
5
27
150
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
14 hours
Hatujui kama tutapata ila tunaimani na anayetoa, Good morming wapambanaji.
13
14
83
@MfalmewaX1
Mfalme👑🇹🇿
21 hours
RT @MfalmewaX1: WANAUME, NIKUKUMBUSHE HAYA FASTA 1. Usitoe sadaka malengo na ndoto zako kwq sababu ya mahusiano 2. Kadri unavyokumbatia m…
0
18
0