![Mailon pambila- CPA, IPSAS Specialist Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1535899634811412480/Wc0PohtX_x96.jpg)
Mailon pambila- CPA, IPSAS Specialist
@PambilaMailon
Followers
69
Following
142
Statuses
411
@thomasjkibwana Binafsi naamini kuwa, CCM hawatakubali hizo Reforms kwahyo CHADEMA hawatashiriki uchaguzi, ingawa kutoshiriki kwao uchaguzi itatuchafua kimataifa kama Nchi kwamba hakuna demokrasia. Mabadiliko ni muhimu ili uchaguzi uwe huru na haki na ambao utatusaidia kupata viongozi bora
1
0
0
@SteveMchelsea21 Shida ya mavambo hana utulivu kwenye kupiga pasi zake, na pia ni box to box midfield hivyo Kuna wakati huwa anaacha sana mashimo, Ngoma sio mtu wa kutembea sehemu kubwa hivyo anaweza kukaba vizur eneo lake na pia kwenye kupiga pasi ni master sana ziwe fupi au za masafa marefu
1
0
6
@Sukayotz Daaa kwa mechi ya Leo achen kumpa lawama kocha, kiukwel JKT wanahitaji pongezi, walikuwa compact sana na walishinda mikimbio mbili sana dhidi ya wachezaji wa yanga
0
0
3
@KibwanaEdgar Mbona Arajiga kachezesha vizur kabisa, alitaka afanyaje tena? nadhan angewapongeza JKT Tanzania kwa kucheza vizur sana hasa upande wao wa kujilinda walikuwa compact sana
0
0
4
@FadrayK @rollymsouth Lakin pia mabeki wa Fountain Gate,walifanya makosa kutokuzuia mpira kuanzishwa, wao walienda kumzonga Refa badala mmoja abaki Lile eneo husika kuzuia mpira kuanzishwa kwa haraka, kwa hali ya kawaida Refa pale asingeoana kama ni offside labda kibendela wake
1
0
0