mchizidamas Profile Banner
Mchizi chizi kichizi Profile
Mchizi chizi kichizi

@mchizidamas

Followers
6K
Following
312K
Media
2K
Statuses
100K

i never fake care to any one what i give. I give from my heart❤️🌴

Joined November 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
6 days
Afya bora utunze ujana uzee majaliwa twalilia ukiwa lala pema tid mtiwaa Wako udongo mwili wa nyama futi sita utazama sisi wote labbana mkumbuke sali sana iwe nuru ya kihama kesho kisingekuwepo kifooo tungeishi mileleeee tunywe tusileweee🎶. Jay combat ✍🏻🎶🔥.
2
9
25
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
5 months
“Nilijizawadia gari kwenye birthday yangu ikiwa sehemu ya kusherekea siku yangu hiyo muhimu punde baada ya kupost picha hizo nilipokea simu kutoka kwa Mama yangu kisha akaniambia maneno haya iko wapi raha ya usingizi ikiwa wenzako wamelala njaa na unauwezo wa kuwasaidia”…. 👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
27
145
2K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
1 month
Mjomba anagonga njumu sio poa 😄🙌
Tweet media one
52
48
2K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
29 days
Naelewa sasa kwanini huu usajili ulileta shida 😂🤝
Tweet media one
16
40
2K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
15 days
Mavombo mwenyewe kimoyomoyo anasema yes nastahili kukaa benchi , only Fabrice can beat Ngoma😂
Tweet media one
11
53
2K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Nadhani leo Duke alikuwa bora sana offball ila ile pass aliyoitoa kwenda kwa Chama ndio kitu ambacho Aucho ankifanya mara zote. Good perfomance kwake
Tweet media one
9
39
2K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
8 months
Chuma kipo Under 17 juzi kwenye Derby kiliuwasha sana potential ya badae kwa taifa hii😂
Tweet media one
143
48
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
11 months
Jana kwenye game ya Monaco Vs PSG Mbappe alitolewa first half na nafasi yake kuchukuliwa na Kolo Muani lakini cha ajabu Mbappe hakurudi kukaa kwenye benchi na wenzake alibadili mavazi kisha akapanda jukwaani kukaa na mashabiki,ikumbukwe juzi alikuwa na kikao na Rais wa Ufaransa
Tweet media one
30
66
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Talent moja inazikwa na majeraha nyingine inajizika na kutojitambua (Kimpira) 😭😎
Tweet media one
19
48
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
6 months
✍🏻Baada ya jana Diarra kushidwa kutetea tuzo yake ya kipa bora wa ligi kuu inamfanya kushidwa kuvunja rekodi ya Aishi Manula ambae alichukua tuzo hiyo mara tano mfululizo mara moja akiwa Azam na mara nne akiwa Simba Sc
Tweet media one
Tweet media two
11
34
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Ni kama anaanza kupoteza ule utawala wengi wakiofikiri atakuwa nao , leo tena anaanzia mbao ndefu
Tweet media one
71
19
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
9 months
“Huwezi kuona Azam Fc wakitaka wachezaji wanachukua Young Africans ,Simba Sc wao wanachukua wachezaji Azam FC na Yanga Sc, sijawahi kuona Azam Fc wanachukua wachezaji Simba Sc sio kwamba hawawezi ila hawataki kubomoa makao yao makuu” Amri Kiemba (Mchambuzi)
Tweet media one
Tweet media two
32
71
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
7 months
✍🏻Top player mchezaji wa maana kabisa magoli 13 na Assit 5 bila goli la penalti waraabu wanaisoma namba . ✍🏻Kama Mayele anamaliza Top Scorer sio kwa namna yeyote ile pyramids watamuacha aondoke labda uje ofa kubwa kutoka Ulaya . ✍🏻Nikikumbuka tulimfananisha na Baleke nachoka 😂
Tweet media one
Tweet media two
16
43
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
1 month
Ndio mlisema MVP akae nje acheze Awesu sio?😂
Tweet media one
11
21
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
7 months
“Kaka nasikia Daktari AKA the Tank hayupo kambini kule Avic na hashiki simu za viongozi sijui shida itakuwa nini au mikono haina nguvu?” MDAU DM😂
Tweet media one
35
37
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
9 months
Mshahara:25M.Ada ya usajili: 280M.Done deal: ✅.Bango litakaa miezi 6. Mzenji ataenda benchi , mkongo atakuja kati, mzambia winga ,brichi winga,funguo 10, mwana fa anamaliza mbele pale😂. Source: TOMATO
Tweet media one
61
40
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Basi tu Waziri wa maji alistahili kuendelee kuvaa uzi wa kijani na njano
Tweet media one
26
15
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Cloutas Chota Chama kwenye mechi 59 za CCL alizocheza amefunga magoli 20 na ikumbukwe ni kiungo, binafsi nimetenda dhambi nyingi ila hii ya kupingana na ukweli naomba nisishiriki . Chama ndie GOAT kwenye ligi yetu , No hard feelings 😷🤝
Tweet media one
Tweet media two
11
48
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
1 month
Hii dhambi wanangu mlijitakia tu ila ilikuwa inaepukika sana tu, enewei kutubu inaruhusiwa 😂🙌
Tweet media one
Tweet media two
29
56
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
11 months
Al Hilal wamekubaliwa ombi lao la kucheza ligi kuu ya Tanzania NBC msimu ujao kutokana na kuwa na vita nchini Sudan, lakini mechi zao zitakuwa kama mechi za kirafiki sababu pointi zao hazitahesabiwa ila wakivunja sheria watapata adhabu iwe kufungiwa au kulipa faini kama kawaida
Tweet media one
62
39
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
24 days
Hivi yule Adama Coulibaly anakipiga upande wa Teacher sio?😃
Tweet media one
Tweet media two
21
32
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
3 months
Basi tu mpira wetu unawajuaji wengi ila project mpya ya Simba bado ilikuwa inahitaji huduma ya Chama, vitu vingi anafanya akiwa na Yanga ndio vitu vinamiss kwa upande wa Simba hope experince , quality na ball brain yake ingekuwa msaada kwao😷. Pale chamnzi dk 45 anagoli na Assit
Tweet media one
79
65
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
3 months
Humu kuna mchezaji mkubwa basi tu quality na experience ya Zimbwe ipo juu, Remember the name Valentine Nouma
Tweet media one
19
40
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
1 month
Die hard wa kariakoo likija swala la timu zao huwa wanachomoka fyuzi kabisa, ile saga ya fei toto watu walisema hawata nunua bidhaa za Azam 😂💔
Tweet media one
Tweet media two
11
35
1K
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
5 months
SAKATA LA KAGOMA:Thread🧵. ✍🏻Jana kwenye kipindi cha Sports Extra wakili wa Foutaingate alisema kuwa mkataba wa Yanga na Kagoma ni kweli ulikuwepo lakini ulivunjika baada ya Yanga kuchelewesha malipo ambayo yalikuwa ya awamu mbili 30April na 30 June na Yanga walitoa 30M kweli…👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
12
68
992
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
4 months
AZAM FC 0 Vs 2 SIMBA SC. ✍🏻Nini nimeona leo kwenye DK90 kwa timu zote mbili . 1:Poor and soft pressing .2: Calmness .3:Compactness . ✍🏻Akaminko alikuwa na utulivu kwa viungo wa timu zote mbili mpka alipoingia Awesu, Camara analeta confidence kwa mabeki zake wakipigwa presha
Tweet media one
Tweet media two
12
32
976
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
9 months
POKEA SIMU YA MCHIZI KIBWANA SHOMARI: SHORT THREAD. Kaka pokea simu najua ni namba ngeni lakini pokea unisikilize nina ujumbe wako mimi shabiki yako. Wakati Yao Yao jeshi anasajiliwa Yanga ilikufanya uingie kwenye kurasa zako za mitandao ya kijamii na kuandika maneno haya….
Tweet media one
Tweet media two
29
69
955
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
11 months
Mara ya mwisho Kibu Denis kufunga kwenye mchezo wa NBC PL ilikuwa November 5 ,2023 dhidi ya Yanga kabla ya hapo mara yake ya mwisho kufunga ilikuwa 16 April 2023 dhidi ya Yanga Sc ,Msimu huu Kibu ana goli moja na Assit 3 na leo anaenda kutimiza siku 135 bila kufunga goli NBC PL
Tweet media one
Tweet media two
90
91
934
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
8 months
BOCCO NA FUTURE YA SIMBA:Uzi🧵. ✍🏻John Bocco ametengeneza timu imara za vijana kwa Simba sport club atleast now wanatoa ushindani sio kama hapo awali mfano timu ya under 20 ilishia nusu fainali na kushika nafasi ya 3 na hii under17 inaongoza ligi kwa tofauti ya magoli na Azam…
Tweet media one
4
44
913
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
11 months
Pale Azam Complex Yanga itakuwa wameweka majini sio bure maana alianza Simba akaukimbia watu tukaona kawaida saivi mpaka Azam wenyewe hawataki kuutumia uwanja wao dhidi ya Yanga wameomba kutumia uwanja wa Mkapa wanaogopa litawakuta jambo hapo Chamazi ujue kufugwa tano sio mchezo
Tweet media one
Tweet media two
38
38
891
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
9 months
Kutana na Pacome Zouzoua mchezaji pekee aliefanikiwa kuifunga Al Ahly kwenye michuano ya CCL 2023/24
Tweet media one
12
50
899
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Ila hizi picha kabla ya msimu zilikuwa zinatishia 😂
Tweet media one
35
35
918
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
6 months
KITABU CHA AJIBU NA UKRASA MPYA WA CHAMA JANGWANI: Short thread 🧵 . ✍🏻That time Ibrahim Ajibu anatoka Simba na kujiunga na Yanga Sc ni muda ambao Yanga ndio walikuwa wamedominate ligi yetu na Simba walikuwa wanapitia ukame wa makombe but Ajibu ndio alikuwa mchezaji tegemezi…👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
24
41
889
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
7 months
✍🏻Jean Othos Baleke (23) atacheza ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/25 . ✍🏻Na atacheza Singida Black Stars ambao kwa sasa wameweka kambi Avic Town . Source: Tomato 🍅
Tweet media one
11
23
884
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
8 months
Twakimu za Chama aliechoka Vs Pacome kwenye ubora. Chama kwenye ligi kuu mechi 20 mgawanyo wa dk1561 kafunga goli 7 assit 6 GA ni 13. Pacome kwenye ligi kuu mechi 22 mgawanyo wa dk1458 kafunga goli 7 assit 4 GA ni 11
Tweet media one
Tweet media two
43
56
878
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
8 months
Sema Aziz ni mtu wa timu pia ana love kubwa sana amekuwa akishangilia magoli ya wenzie kama yake . Cheki hii short thread akishangilia magoli ya wenzie kama yake no 5 itakushangaza.
Tweet media one
18
44
873
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Nahodha wa meli na utamu wa muwa ila nahodha wa Simba na moyo wa mawingu watu ni wengi ila binadamu kama Fabrice Luamba ni wachache. Mkononi ni kitambaa cha unahodha naomba nitumie msemo wa wazungu Legend in my books😂
28
117
892
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
1 year
Pichani ni pacome Zouzoua profile yake inamtambulisha kama MVP wa ligi ya ivory coast 2022/23,ambae hatambuliki na waziri wa michezo wa nchi kwao lakini dunia ya burudani inamtambua kama kiungo bora mshambuliaji amabe ana kila sifa ambayo unaitaka kutoka kwa mchezaji wa kisasa
Tweet media one
8
51
860
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Fadlu Davis sio kocha wa kukariri ila anahitaji uonyeshe kwenye kiwango cha mazoezi then atakupa nafasi kwenye mechi mfano wakati anafika Balua alipata Dk nyingi sana ila saivi amepoteza namba mbele ya Kibu na Chasambi lakini Omary Omary nae kaanza kupata nafasi kidgo kidgo.🙌
Tweet media one
Tweet media two
5
26
871
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Ligi imerudi tuendelee kupata burudani za MVP Jean Aouha kwenye mechi 9 sawa na dk 663 ana goli 5 Assit 4
Tweet media one
8
30
865
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
20 days
Kwa kigezo cha umri Simba hawapaswi kusikiliza ofa yoyote ile kwa Nouma , Saiv Zimbwe yupo maji ya jioni na uwezo wa Nouma tayari ushaonekana hakuna mwenye shaka nae lakini kumuuza Nouma na kufikiria kumleta Raheem Shomari kama backup ni utani wa ngumi kabisa. Mchizi👊
Tweet media one
Tweet media two
21
46
860
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
26 days
Nafasi moja ya DM unaondoka na nani AFCON 2025 😂
Tweet media one
Tweet media two
52
26
866
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Kitovu kimoja kipo ziwa Tanganyika na kingine kipo ziwa Victoria kwenye ardhi ya mwanamarundi,macho yangu yanatoa chozi kumuona Tiote RIP champ na huyo mbele ni Didie Drogba shuja wa Chelsea pale Munich 2012, Onething bout picture will never change even if people on it does
Tweet media one
5
56
850
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
1 month
“Imekuwa kawaida sisi kufanya mazoezi asubuh kisha kuwapa Simba Sc uwanja mida ya saa 3 lakini leo imekuwa tofauti, tunakiri tumekosea kwa kuwa nje ya kanuni na tumewachia Simba uwanja na sisi tumeenda kutafuta sehemu ya kufanyia mazoezi yetu” Khalid Chukuchuku Via Sport Arena
Tweet media one
14
33
855
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
6 months
✍🏻Hii picha inazungumza kilicho moyoni mwa Kibu Mkandaji bora mngemuacha tu msije kusema kanunuliwa😂
Tweet media one
9
33
828
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Kocha Fadlu alisema mpanzu anauwezo wa kucheza maeneo yote ya mbele RW,LW,AM na SS , tayari kashaingizwa kwenye mfumo wa usajili na kesho atakuwa pale KMC Complex kuwakabili Ken Gold
Tweet media one
7
27
824
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
10 months
“Yanga wanahitaji maboresho kwenye nafasi mbili moja ni winga mwenye quality ya Makabi Lilepo awe na kasi na abbility ya kufunga pia mshambuliaji aina ya Fiston Mayele kisha wawabakize Pacome,Max,Yao,Aziz,Aucho am sure kabisa Yanga watabeba ubigwa wa Africa mapema tu”Hans Raphael
Tweet media one
20
34
794
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
5 months
LOGO ZA VILABU OLD Vs NEW: Thread NO 4 ITAKUSHANGAZA. 1: SIMBA SC (Wenyenchi)
Tweet media one
28
43
796
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
29 days
Mido ya rotation 😂
Tweet media one
4
19
820
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
7 months
✍🏻Simba wamekamilisha usajili wa beki Abdulrazack Hamza(21) kutoka klabu ya Supersport United ya Afrika kusini. ✍🏻Hamza anamudu kucheza beki wa kati pia aliwahi kuvitumikia vilabu vya Mbeya City na Namungo. ✍🏻Mpaka sasa eneo la beki wa kati Simba kuna Malone,Kazi,Lawi ,Hamza
Tweet media one
Tweet media two
6
30
794
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
4 months
NJIA ZA FERGUSON NA MWAZO BORA WA FADLU SIMBA:Short thread . ✍🏻Ferguson wakati anakuja Manchester United alikuja na kitu kinaitwa “Manchester United DNA” dhamira kuu ni jinsi timu yake inatakiwa kucheza, jioni moja wasaidizi wake ofsini kisha akawambia nataka nikufunga macho. 👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
25
71
792
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
5 months
WACHEZAJI TUNAOWATEGEMEA KUELEKEA AFCON 2027 (Based on Umri): Short thread 🧵 . 01: Makipa .✍🏻Ally Salim (Simba Sc).✍🏻Mshery (Yanga Sc).✍🏻Yona Amosi (Pamba Jiji)
Tweet media one
Tweet media two
14
33
797
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
9 months
KIUNGO BORA VS MCHEZAJI BORA: SHORT THREAD. Kuna utofauti mkubwa kati ya kiungo bora na mchezaji bora, kiungo bora anaweza kuwa mchezaji bora lakini mchezaji bora sio lazima awe kiungo bora sijui tunaelewana hapo?. Pale Yanga kuna Khalid Aucho anasaidia kwenye rest defense…
Tweet media one
Tweet media two
31
46
771
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
6 months
✍🏻Leo nimejisikia tu kukumbuka mchizi kutoka mitaa ya Buchosa ile Kagame Cup ilikupa jina na kuwa Top scorer ile Penalti ulikosa kule Misri dhidi ya Al Ahly ndio ilitamatisha safari yako asante kwa kutufanya tufurahi na kutuamimisha inawezekana👊. ✍🏻Mpira unavitu vingi wanangu
Tweet media one
53
40
774
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
7 months
THE CALL FROM HELL: Short thread 🧵 . ✍🏻Toka jana sijapata usingizi sababu hii namba imekuwa ikinipigia 2024/25 na inadai kuna maafa makubwa yanakuja kutokea na kitu pekee cha kuyazuia haya ni ukweli na watu kuto pingana na wakati uliopo sasa simu hii imetaka nifikishe ujumbe…
Tweet media one
Tweet media two
16
44
768
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Napenda sana attacking mind ya Nouma then mpira wake wa mwisho both Krosi and pasi , hii quality iliyopo LB ndio inatakiwa iwe na kule RB Kapombe apate mtu wa kumuwazisha
Tweet media one
13
32
782
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
10 months
Ukiniuliza Yanga wamemiss uwepo wa Aucho nitajibu yes kwenye zile first pass zake baada ya kupoka mpira huwa ni accuracy, ukisema Pacome jibu litakuwa Yes sababu vile anavyo drive timu kutoka chini na dribbling zake husaidia wenzake kufanya movement hatarishi na kutengeneza space
Tweet media one
18
38
762
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
3 months
Namba ya kijili haipatikani toka alivyoishiwa salio kwenye derby, Show me the way wanangu na mimi nitawaonyesha beki bora wa kulia kuwahi kumtizama😎😮‍💨
Tweet media one
25
62
770
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
5 months
✍🏻Timu inajegwa kwenye mihimili mitatu kuanzia defense,controll/domination na attacking kisha inatakiwa kunganisha vyote kwa pamoja vifanyike kwa ufasihi . ✍🏻Ukiwatizama Simba tayari wamemaster kwenye defense wachezaji wote wanaelewa ulinzi ni kazi ya timu na sio mabeki pekee…👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
16
36
766
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Huyu anaitwa Coach Xaiv ni kocha mkuu wa U20 ya Simba Sc pia amekuwa kocha kwenye timu za taifa za vijana Bara na Visiwani lakini ana Camp yake ya mazoezi kwa ajili ya mazoezi ya physical mastaa wengi hufika kwake sio wa Simba wala Yanga yeyote anaefika basi anapewa huduma
Tweet media one
6
32
774
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
4 months
Hii Tanzania ina vipaji vingi sana ni vile hatupo serious tu kuanzisha project na kuzisimamia kwa usahihi mwanzo mpaka mwisho ila wachezaji wapo,Hapa chini nimekuwekea orodha ya wachezaji chipukizi ambao ni hadhina kwa badae wengine wapo Senior teams wengine wapo youth team…👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
13
41
737
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
5 months
✍🏻Nasikia ile club masikini kwa sasa pale Spain na ulaya nzima Brokelona walituma ofa lakini dogo akachomoa hata wale madogo wa darajani wenye hela za mchongo pesa walimwaga sana pesa ila dogo akachomoa bado wale jamaa wasio na UEFA nao hawakuwa nyuma lakini dogo akachomoa…👇🏾
Tweet media one
33
41
737
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
23 days
Yanga game dhidi ya Al Ahly wanamuhitaji sana yule Pacome wa game ya Al Ahly na CR Belouzidad kwa mkapa za msimu uliopita
Tweet media one
29
23
752
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
1 month
Hans Raphael alisema hii mido itasajiliwa Yanga Sc dirisha hili dogo 😂
Tweet media one
19
19
749
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
4 months
UBAYA UMERUDI: Short Thread🧵. ✍🏻Kila moyo wenye kushukuru basi huongezewa kila unapokuwa na uhitaji kosa lilikuwa kumuuza Luis Miquissone kwenda Al Ahly na mpaka leo wamesajiliwa zaidi ya wachezaji 9 kuziba pengo lake na hata Miquissone mwenyewe kashidwa kuziba pengo lake…👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
9
45
727
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
10 months
Faida ya kuwa na kipa Sweeper kwenye counter attack anakuwa CB kwenye kuanzisha mashambulizi anasaidia kufungua space kutokana na uwezo wake wa kupiga pass then timu ikiwa pressed anasaidia kupoza presha, ukitoa Onana wa Man United kwa makipa wa Africa ni Williams na Diarra
Tweet media one
Tweet media two
12
39
714
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
1 month
Kama hukumushudia Drogba basi shukuru kwa kumuona Mzize kwa buku tano pale mwenge , What a player 🔥
Tweet media one
16
26
734
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
1 month
MVP Things , Hili gari mtalipanda tu wanangu hata kwa lazima na siti za dirisha mtakuta zimajaaa 😂
Tweet media one
Tweet media two
13
37
725
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
9 months
Guede alikuta tayari Yanga wameshatengeneza System ambayo haikuwa Familia na uchezaji wake hivyo ilihitaji muda kuweza kuingia kwenye mfumo na kuanza ku deliver
Tweet media one
14
33
705
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
7 months
✍🏻Awesu Awesu alikuwa na mikataba ya Simba na Yanga anatembea nazo zote . ✍🏻Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa Simba wamefanikiwa kuinasa saini yake lakini KMC hawatambui usajili huu sababu Awesu alikuwa na mkataba na Simba hawajapeleka ofa . ✍🏻Yaleyale ya Lawi na Valentino michezo tu
Tweet media one
Tweet media two
16
30
704
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
10 months
Mtu anasema Mamelod ni timu ya kawaida kisha anasema kocha Rulani ni avarage sema hype ni nyingi ok fine unamuuliza kwanini anasema hivyo anasema kisa hajawafunga Yanga na ameshidwa kupata goli dhidi yao kwenye dk 180, unamuuliza je Katwila ni kocha bora sababu kawafunga Yanga?
Tweet media one
85
57
698
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
9 days
Chama ni football art out na GA hufanya vitu vingi vya kuwafurahisha mashabiki, Ahoua ni football science based on numbers hakuna matukio mengi ila machache muhimu kuipata timu matokeo
Tweet media one
Tweet media two
10
26
712
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
8 months
Naheshimu na napenda kila alichokifanya Gamondi msimu huu but for me kocha bora nitampa David Ouma kocha wa Coastal Union jinsi alivyoikuta timu imegawanyika akaingunisha na kuifanya kuwa moja ya timu tishio na shindani wakifanikiwa kumaliza top 4 na watacheza CCC next season.
Tweet media one
Tweet media two
119
35
690
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
4 months
✍🏻Nikionaga mtu anauliza Kapombe kamzidi nini Kijili ukitoa uzoefu huwa namuona kama kachanganyikiwa 😂. ✍🏻Kijili ana safari ndefu sana ya kutengeneza ubora wake na asipo badilika Kapombe atakula shavu la kulia mpaka achoke mwenyewe sema tu Israh mapepe yake ila ilikuwa time yake
Tweet media one
30
46
688
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
6 months
Dear Brother and Sisters . Miezi miwili nyuma nilikuja hapa kuomba msaada juu ya changamoto ya ada iliyokuwa ikinikabiri bahati mbaya sikufanikiwa na nikashidwa kufanya mtihani na kuandika barau ya kuomba kufanya Special exam ambayo ipo mwezi wa 9 but mpaka sasa sijafanikiwa…👇🏾
Tweet media one
21
296
676
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Huyu Eddy Kenzo saivi hatoi ngoma kumbe yupo Yanga Sc anafundisha😂
Tweet media one
5
18
684
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Rasmi Fahad Bayo Aziz ataitumikia Yanga Sc kuanzia dirisha dogo baada ya kusaini mktaba wa miaka miwili. ✍🏻Bayo anakuja kuchukua nafasi ya Baleke kama mambo hayotobadilika ikumbukwe awali Baleke alitakiwa kujiunga na Singida ila undugu kufaana ndio ukamleta jagwani. Source:Tomato
Tweet media one
Tweet media two
9
28
689
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
7 months
✍🏻Last season Skudu ndio aliteka usajili wa Yanga but Max aka run the show . ✍🏻Dirisha hili Chama na Dube wameteka usajili but Duke Abuya na muona akirun the show . ✍🏻Sababu ni mzuri kwenye Passing,good decision kwenye muda sahihi na Energy ipo + anacheza katikati na wide pia😎
Tweet media one
14
53
670
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
4 months
Okejepha ni moja ya wachezaji waliotizamiwa kuja kuchukua nafasi kwenye kikosi cha Simba lakini mambo yamekuwa tofauti ameshidwa kuwatoa Kagoma na mzamiru na leo Ngoma anaanza mbele yake baada ya Kagoma kuumia last game. Kwa ulivyomtizama Okejepha unahisi shida mfumo au quality
Tweet media one
Tweet media two
30
27
674
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
6 months
🚨OUR BABY IS BACK: Short thread. ✍🏻Mic one ya Mpenja na Mic two ni Ayoub Hinjo , pale touch line ni Ngonda na Kipenga ni cha Elly Sasii na Dimba ni Benjamin Mkapa wakati watu wa music wakisema komasava sisi na football yetu tuna sema our Baby is back na sabuni tunazipaki…👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
4
36
671
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
3 months
Bacca analingana magoli na Ateba ,Che Malone anaizidi magoli combine ya Mzize na Dube , Top scorer hatoki kariakoo😂
Tweet media one
Tweet media two
24
53
668
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Nahodha wa timu U20 Wilison Chigombo amesafiri na kikosi cha kwanza kuelekea Lindi na leo atakuwepo pale Majaliwa Stadium kuwakabili Namungo, natamani na yeye aanze kupata game time kama Shekhan
Tweet media one
Tweet media two
5
23
663
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
7 months
✍🏻Michuano ya Kagame Cup 2024 imefikia hatua ya Nusu fainali na hakuna timu ya Tanzania bara wala visiwani iliyofanikiwa kufuzu. ✍🏻Timu zilizofuzu ni Al Hilal ya Sudan, Red Arrows ya Zambia, Al Wadi ya Sudan kusini na APR ya Rwanda. ✍🏻Red Arrows Vs Al Wadi , Al Hilal Vs APR
Tweet media one
Tweet media two
4
27
651
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
7 months
✍🏻Singida Bs walikuwa wameshakubaliana kila kitu na Jean Othos(21) na mchezaji alikuwa ameshawasili kambini Avic Town . ��🏻Kocha kamkataa Sowah na kumpendekeza Baleke kilichofanyika ni Kiongozi wa Singida ambae pia ni kiongozi Yanga kupiga simu moja. ✍🏻Jean Baleke atacheza Yanga
Tweet media one
14
30
650
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
5 months
AFRICA NI MAX NZENGELI NA DUNIANI NI FEDERICO SANTIAGO VALVERDE: Short thread🧵. Pale kwenye mitaa ya Mushie nchini DR Congo walitubariki Max Nzengeli mkongomani mwenye roho ya Amerika kusini mtume kokote ataenda uwanjani utamkuta kachomekea na nje ya uwanja atakuwa kanisani…👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
24
71
649
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
5 months
✍🏻Ndugu wajumbe karibuni kwenye mkutano maada ya leo ni karibu kwenye show za Jean Aouha mapato na matumizi ni goli moja na Assit 3 kwenye mechi mbili ambazo zinaisaidia Simba kuwa kileleni mwa msimamo kwa jumla ya pointi 6 na magoli 7 bila kuruhusu goli what a perfomace…👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
6
36
651
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
5 months
✍🏻Simba bado wanajenga timu ila kwenye game ya leo waliingia na plan ya kupata goli la mepama then warudi midblock kusubiria counter attack kutokana na kasi ya mpinzani ikawalazimu kucheza low block wakiwa compact kabisa kwa 90% ya mchezo na imewalipa kwa leo kama wageni…👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
9
34
634
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
4 months
JUA LINAZAMA NOUMA STUKA MZEE: short thread 🧵 . ✍🏻Karibu Tanzania mwanangu ,karibu Simba Sc mwanangu pia karibu kwenye show za Zimbwe Jr mwanangu huenda waliokupa deal hawakukuambia ila mimi acha nikutonye kwenye Dunia ya beki 3 basi Zimbwe Jr ndio Rais wao jua linazama hilo…👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
20
38
635
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
1 month
The Return of BM3 😀
Tweet media one
Tweet media two
2
9
646
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
10 months
“Wenzetu wanapitia kipindi kigumu tajiri amegoma kutoa hela saivi wanalipana mishahara kama michezo ya upatu hivyo mimi kama mwenyekiti wa wasemaji leo pale jamuhuri nitaendesha harambee ya kuwachangia ndugu zetu hivyo kwa mashabiki wa Yanga kila mtu aje na 100 au 200” Ally Kamwe
Tweet media one
18
23
632
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
8 months
Pale Muhimbili wamelala wagojwa, Makuburi ya kinondoni yamelaza mashujaa ,Guest house zinalaza wenyeji lakini Mkapa Studium iliwalaza wageni,Zikowapi zile nyakati za pira biriani kabla ya kufunga goli mnyama anapiga pasi milioni mbili,pichani ni usiku usiosahulika what a cameback
Tweet media one
17
36
621
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
4 months
Pale mitaa ya Catalunya waliwahi kubarikiwa Xaiv na pale Turin walipewa zawadi ya Andrea Pirlo na sahau kuhusu ile kampa kampa tena ila Simba ya pira biriani iliwahi kubalikiwa miguu yenye soft touches na akili ya Left footer Magician kutoka Zambia Rally Bwalya Maestro.Those days
Tweet media one
14
37
622
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
5 months
Appreciation tweet kwa ukuta wa Yeriko pacha yake na Hamza ni ya kutuzwa sana aisee leo wamefanya kazi nzuri
Tweet media one
Tweet media two
5
28
612
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
4 months
“SIMBA WANATUFUNGA SABABU WANAKOCHA MWANAUME, NATAMANI WAWE NA KOCHA MWANAMKE TUONESHANE KAZi” hii ni kauli kutoka kwenye kinywa cha mwanamke shupavu aliyeonekana kuchoka na kukataa tamaa baada ya timu yake kupoteza mbele ya Queens mwaka 2022 kwenye ligi kuu ya wanawake…👇🏾
Tweet media one
Tweet media two
19
45
608
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
25 days
“Unavyoijadili Yanga Sc na michuano wanayocheza ni tofauti na utakavyoijadili Simba Sc sababu ni michuano miwili tofauti yenye quality (ubora) tofauti” Farhan Kihamu (Via Sport Extra)
Tweet media one
Tweet media two
9
32
621
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
4 months
“Sheria za FIFA zinamtaka mchezaji huru kuanza kutumika pale anaposajiliwa na timu husika ikiwa alikotoka hakuna mtafuruku,Afrika tuna kanuni zetu zinataka usajili wa ndani uendane na kimataifa hivyo Mpanzu ataanza kutumika January akisajiliwa kwenye mfumo rasmi” @BracuszCadabra
Tweet media one
Tweet media two
15
40
607
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
9 months
LEGEND IN MY BOOKS: SHORT THREAD🧵. Wanasemaga nabii hakubaliki kwao na pia Mungu akikupa kilema anakupa na mwendo, kutoka Mbagala mpaka kariakoo mpaka Lubumbanshi mpaka Genk kisha villa park huko kote uliweka rekodi na kufungua njia kwa watanzania kuamini kuwa inawezekana…
Tweet media one
Tweet media two
18
56
602
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
4 months
Appreciation tweet kwa Diarra hii ni zaidi ya save
Tweet media one
13
38
605
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
1 month
Leo tena MVP afunge Penalti au Faulo kisha atoe Assit ya kona badae mlie vizuri timu udambwi 😆😷
Tweet media one
11
15
608
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
7 months
✍🏻Beki Chamou Karaboue jana ameaga kwenye klabu yake ya Abijan Racing na kushukuru kwa ushirikiano wao wa miaka 6. ✍🏻Chamou anakuja Simba Sc kuchukua nafasi ya Inonga baada ya dili la Fasika kushindikana . ✍🏻Mabeki wa kati pale Simba mpaka sasa ni Chamou,Abdulrazack na Malone
Tweet media one
Tweet media two
8
32
596
@mchizidamas
Mchizi chizi kichizi
2 months
Rotation Mido 😀
Tweet media one
6
12
607