![Malembo Farm Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1592438161078190080/0wj-Uc39_x96.jpg)
Malembo Farm
@MalemboFarm
Followers
21K
Following
62K
Statuses
27K
Prominent Agribusiness firm in East Africa, HQ in 🇹🇿🇰🇪 | Agribusiness consulting | Sustainable Agriculture | Dedicated to Community Development and #UNSDGs
Tanzania l Kenya l East Africa
Joined July 2015
Are you an investor looking for opportunities in agriculture. @MalemboFarm is your gateway for policy clarifications in Tanzania. Contact us; #KilimoNiAjira
4
6
18
Home Garden. Kuweka mfumo “Cone Garden” kama hii itakugharimu Tsh 200k inachukua miche 60- 80. Kwa huduma na ushauri Call and . #KilimoNiAjira2025
@MalemboGlobal ll @AcademyFarms
@ugalielimu ll @MalemboLE
0
1
1
Kijana Gharama ya kuuishi umasikini ni kubwa sana kuliko gharama ya kuuondoa. Uchaguzi ni wako, amua sasa. #KilimoNiAjira2025
@AcademyFarms ll @MalemboGlobal
@MalemboLE ll @ugalielimu
4
7
20
RT @MalemboLE: “OMBENI NANYI MTAPEWA” Maana yake kwenye ufalme wa Mungu kila kitu kipo ila kanuni ni kwamba ili upate ni lazima uombe. Tuj…
0
27
0
Let's talk about Farming. #KilimoNiAjira2025
@MalemboGlobal ll @AcademyFarms
@MalemboLE ll @ugalielimu
0
4
1
Eneo moja na lenye nguvu kuliko maeneo mengine ya kulisaidia bara Afrika ni eneo la Kilimo. Kilimo ndiyo njia na ndiyo Mwanga wa kuisaidia Afrika. #KilimoNiAjira2025
@MalemboGlobal ll @AcademyFarms
@ugalielimu ll @MalemboLE
0
4
5
RT @MalemboLE: Kenya kutembelea shamba la Mkulima ili ujifunze ni lazima ulipie, hii ni sawa au siyo sawa? Shamba la Viazi vya (Chips) vi…
0
27
0
EWE, KIJANA AMKA KUMEKUCHA. Ni asubuhi nyingine tena katika ulimwengu uliojaa fursa nyingi hususani za kilimo biashara. Tunamshukuru Mungu. #KilimoNiAjira2025
@AcademyFarms ll @MalemboGlobal
@ugalielimu ll @MalemboLE
0
4
3
RT @MalemboLE: Nchini Tanzania Wakulima wanaotembelewa na maafisa ugani wa Serikali ni 7% ya wakulima wote Nchini.(Chanzo ni sensa ya kilim…
0
6
0
Agribusiness is not our future, it is our today’s business. #KilimoNiAjira2025
@MalemboGlobal ll @AcademyFarms
@ugalielimu ll @MalemboLE
1
5
0
RT @MalemboLE: Is Africa's food importation a result of hunger or production? #KilimoNiAjira2025
@MalemboFarm ll @MalemboFarm
https://t.c…
0
4
0
Is Africa's food importation a result of hunger or production? #KilimoNiAjira2025
@MalemboGlobal ll @AcademyFarms
@ugalielimu ll @MalemboLE
0
3
0
Agriculture is our wisest pursuit, because it will in the end contribute most to real wealth, good morals, and happiness. #KilimoNiAjira2025
0
3
3
Nchini Tanzania Asilimia 60 ya wanyama wafugwao wanaripotiwa kuwa wanamagonjwa yanayosababishwa na ukosefu wa chanjo. #KilimoNiAjira2025
0
3
1
Kijana Amka kumekucha. Gharama ya kuuishi umasikini ni kubwa sana kuliko gharama ya kuuondoa. Uchaguzi ni wako, amua sasa. #InvestTanzania
#AgrinusinessTanzania
#KilimoNiAjira2025
0
5
6
RT @MalemboLE: Sekta ya kilimo inayo nafasi kubwa ya kukabiliana na Umasikini Nchini. #KilimoTips2025
0
6
0