Sirjeff_D Profile Banner
SIR JEFF⚡🇹🇿 Profile
SIR JEFF⚡🇹🇿

@Sirjeff_D

Followers
98K
Following
85K
Statuses
10K

150 IQ-Genius//Futurist🦾//Sarcasm🤣//Critic of Morals & Culture📢//Cypherpunk💻//OXXON💙//BTC🧡//$TSLA📈//Stories✍️//Nietzschean🧠 & Kanyenized🐻

Out of Plato’s Cave
Joined July 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
2 minutes
Hii hata ukimuuliza mtoto wa class 3 mwenye IQ kubwa hawezi kukosa jibu Ila kuna mtu mzima, tena ana degree kabisa ila hajui "scientific name" jina la kisayansi la binadamu hadi aingie Google IQ ya sisimizi.
0
0
4
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
10 minutes
Ulimwenge wetu una miaka Bil 13.8 Dunia ina miaka Bil 4.5 Kiumbe hai cha kwanza duniani kilikuja miaka Bil 3.5 iliyopita Binadamu wa kwanza (Homo habilis) alikuja duniani miaka mil 2.8 iliyopita Binadamu wa kisasa alikuja duniani miaka 100K iliyopita Biblia ina miaka 2,700😆
5
2
14
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
41 minutes
Waungwana, naomba mniombee; napitia kipindi kigumu sana. Mbwa wangu mmoja amefariki😢
11
3
38
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
1 hour
Kama haupo mahakamani; mwanaume RIJALI hutakiwi kujieleza sana ... ongea kidogo tu, usipoeleweka, kula kona.
4
4
59
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
4 hours
Traders watakubaliana na mimi... ACCOUNT yako ikishachoma tu ndio trend inarudi kwenye direction yako😆
7
1
93
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
18 hours
@makumbawaleo_5n Kaka daktari, sasa sisi tusipoumwa, nyie mtamtibu nani??
0
0
2
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
18 hours
2016 wenzangu wapo chuo mimi nipo Johannesburg🇿🇦 hop-on hop-off tour
Tweet media one
@asapnyamsss
Chase Damani 🦍💸
25 days
what did you guys look like in 2016?
6
6
94
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
20 hours
Z E G E - isikauke sana🔥
Tweet media one
47
14
421
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
21 hours
If you're a good student of history, you'll agree with me that Dr. Josef Mengele has been reincarnated as Dr. Fauci.
1
1
41
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
1 day
@EsirEid Don't allow your friend to get between you and your wife. NEVER!!
3
2
67
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
1 day
Africa’s tech ecosystem often limits youth innovation with excessive government control/regulation and corporate dominance
Tweet media one
5
2
62
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
1 day
Huendi kanisani miezi kadhaa, siku unaenda kanisani mara katikati ya ibada mchungaji anasema "Mgeukie jirani yako mwambie—Shetani yupo miongoni mwetu"☹️
4
5
120
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
1 day
Mtu akikwambia maji yamenifika shingoni nataka kujiua; huyo hawezi kujiua Mtu akikwambia lazima nikushtaki, tukutane mahakamani; huyo hawezi kufungua kesi Mtu akikwambia nampenda na kumtegemea sana Mungu; huyo ni mtu mchafu hatari Watu walio genuine&serious hawaongei—wanafanya
21
30
284
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
1 day
Ukitaka kuamini IQ yako iko chini/juu ya kiwango, jibu hili swali; -Saa 12 jioni, chaji ya betri ya simu yako ni 100% -Kila baada ya dakika 15, betri inapoteza 15% -Ni saa ngapi betri itashuka chini ya 1% kwa mara ya kwanza?
42
11
224
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
2 days
Dealing with that drama queen Meghan every day must be exhausting☹️
@BRICSinfo
BRICS News
2 days
JUST IN: 🇺🇸🇬🇧 US President Trump says he will not deport Prince Harry because "he's got enough problems with his wife."
Tweet media one
Tweet media two
3
2
25
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
2 days
Fun Fact: I can't drive a manual car.☹️
27
6
117
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
2 days
@Tonnyibrahim22 Amini chochote utachoamini. Ila bila 50 000 huwezi kuwasha Jaguar.
1
0
6
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
2 days
@GillsaInt Facts💯
0
0
5
@Sirjeff_D
SIR JEFF⚡🇹🇿
2 days
Tunapost jinsi tunavyoteseka huku kwa ground watu wanadhani ni memes😔
Tweet media one
18
10
370